Mkuu
Bepari2020 , Nyerere alipeleka wanajeshi Zanzibar ili kulinda mipaka yetu dhidi ya maadui wa nchi yetu. Ikumbuke kuwa Zanzibar ni sehem ya Tanzania. Na kwa upande wa Zanzibar tunapakana na nchi kama Kenya, ambayo sometimes imekuwa ikisema kwamba Pemba ni sehemu ya nchi yao, so ili kulinda uvamizi wowote katika ardhi yetu ilikuwa ni lazima Nyerere apele jeshi kule ili kulinda mipaka yetu. Wewe unahoji Nyerere kupeleka jeshi Zanzibar lakini mbona hauhoji wanzanzibar kumiliki ardhi, maliasili na uongozi mbali mbali kama vile ubunge, uwaziri nk huku bara?