Watanzania tusithubutu kuingilia mambo ya akina Putin kwani ni ndugu yetu kabisa

๐˜‚๐—ป๐—ฎ๐˜๐—ฎ๐—ธ๐—ฎ ๐˜๐˜‚๐˜๐—ฒ๐—บ๐—ฏ๐—ฒ๐—น๐—ฒ๐—ฒ ๐—บ๐—ฎ๐—ด๐—ผ๐˜๐—ถ
 
Nasikia hata kwenye matope haijam
 
Ni ukweli mtu
Ili sidhani kama ameongea Putin mwenyewe haya
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] Kenya kaambiwa apambane na njaa kwanza
Tatizo la Kenya nikutaka kuipiku Tanzania kidiplomasia na nguvu ya ushawishi huko UN! Russia yuko sahihi kufukuza maadui mbali na nyumbani kwake! Ile speech ina vocabulary nzuri ila haina mantiki kama speech za legendary Mugabe!
 
Amkaribishe muuaji mwingine?
 


Ushabiki tu amewahi kusema lolote kuhusu Tanzania au mko busy kuweka picha za watu wengine na kuwaita Putin
 
๐—ž๐—”๐— ๐—” ๐—จ๐—Ÿ๐—œ๐—ž๐—จ๐—” ๐—›๐—จ๐—œ๐—๐—จ๐—œ ๐—ก๐—–๐—›๐—œ ๐—ž๐—จ๐—•๐—ช๐—” ๐—ž๐—ช๐—” ๐—˜๐—ก๐—˜๐—ข ๐—ž๐—จ๐—Ÿ๐—œ๐—ž๐—ข ๐—ก๐—–๐—›๐—œ ๐—ญ๐—ข๐—ง๐—˜ ๐——๐—จ๐—ก๐—œ๐—”๐—ก๐—œ ๐—ก๐—š๐—ข๐—๐—” ๐—ก๐—œ๐—ž๐—จ๐—™๐—”๐—›๐—”๐— ๐—œ๐—ฆ๐—›๐—˜;-

-URUSI ndio nchi kubwa kuliko zote duniani,
-URUSI ipo Barani Asia na Ulaya,
  • Ni nchi moja iligawanyika katika mabara mawili,
  • Mji mkuu wa URUSI huitwa MOSCOW mji ambao Kombe la Dunia lilifanyika 2018,
  • Lugha ya taifa hilo ni Kirusi,
  • Kirusi ni moja ya Lugha ngumu sana kujifunza duniani,
  • Ugumu wa Lugha hio pia husabishwa na herufi zake,
Kwani hawatumii herufi hizi za kawaida wao hutumia herufi zao tofauti kabisa,
Kama vile;- Wachina,Waarabu na Wajeruma na wao hawatumii kabisa herufi kama tunazotumia sisi,
  • Nchi ya URUSI ina ukubwa wa kilometa za mraba 17075400,
  • Fedha ya URUSI huitwa RUB,
  • Nchi ya URUSI ndio nchi inayoongoza kwa kupakana na nchi nyingi duniani,
  • Kwa jumla inapakana na nchi zipatazo14,
  • Miongoni mwa nchi zinazopakana na Urusi ni Korea Kaskazini,China na Norway,
-URUSI ni Nchi ya KWANZA Kwa kuzalisha gesi Duniani,
  • URUSI ni Nchi ya PILI kwa kuzalisha mafuta Duniani,
  • Huku nchi ya kwanza Duniani kuzalisha mafuta ikiwa ni Saudi Arabia,
  • Nchi ya Urusi ndio nchi yenye kodi ndogo kuliko nchi zote Barani Asia na kodi yake ni 7% wakati Tanzania kodi yake ni asilimia 18%,
  • URUSI ina idadi ya watu 144,000,000,
  • URUSI ni nchi ya 9 kwa idadi ya watu duniani,
  • Sehemu kubwa ya URUSI ni Tambarare na milima baadhi ya Maeneo,
  • Nchi ya URUSI ina pakana na Bahari 11 zikiwemo kubwa na ndogo,
Yaani Iko hivi;- Duniani kuna Bahari Kubwa zinaitwa OCEAN ambazo ni Bahari ya HINDI, PASIFIC NA ATLANTIC na kuna Ndogo ambazo ndio nyingi zinaitwa Sea kwa mfano;- Red sea, Dead sea na kadhalika.
  • Nchi ya URUSI ndio nchi yenye Ufukwe mrefu kuliko nchi zote Duniani urefu wake ni kilometer 37000,
  • Nchi ya URUSI ina miliki Visiwa 7,
  • Nchi ya URUSI ina Mito 8,
  • Nchi ya URUSI ndio Nchi inayoongoza kwa Kutoa Huduma Bora za Udaktari,
  • Nchi ya URUSI ndio nchi inayoongoza kwa uchoyo wa elimu duniani,
yaani ukienda URUSI kusoma wakikiuona unaakili sana,
Lazima watakupa dawa kwa njia yeyote ile ili wakupumbaze akili na ndio maana madaktari wengi waliokwenda Kusoma URUSI,
Wakirudi nchini kwao kama vile Tanzania akili zao huwa zimeruka kidogo mfano Mzuri Dokta shika na wengine wengi.
 
Mzungu kamwe siyo ndugu yako. Mzungu siku zote ni adui yako. Pamoja na vizazi vyako vyote mtakuwa mmelaaniwa kama umezaa na Mzungu. Mzungu ni Shetani. Mjinga wewe.
 

Freedom fighters walidanganywa maana walimtoa mkoloni mweupe, wakaletewa mkoloni mweusi. Huko Zimbabwe walimtoa Ian Smith wakamuingiza Mugabe. Mugabe kaiharibu Zimbabwe, kaifilisi, kala keki yote ya taifa kawaachia hao freedom fighters sahani tupu. Nafikiri leo ungewauliza wangesema walipotea step kama wanaongea ukweli.
 
๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚Jitokeze basi mzungumze chochote, watuwashie moto. tutatumiwa ndege moja, tu hapa bongo. Huyo mwamba ni balaa. Tutulie tu
Hana lolote huyo Putin wako.Ufupi wa kimo unalingana na akili yake.Anafanya mambo ya kale sana.Kuteka makoloni?๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜
 
Uingilie una ubavu? Ubavu wetu NI kuwadhibiti kina Mbowe tu siyo zaidi ya hapo.

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Putin ni rafiki yetu, napenda misimamo yake. Mungu amlinde.
 
Hana lolote huyo Putin wako.Ufupi wa kimo unalingana na akili yake.Anafanya mambo ya kale sana.Kuteka makoloni?๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜

Hana lolote wakati jamaa washapeleka mashambulizi yao Ukraine nyie mnabweka tu ๐Ÿ˜„ puttin ni kidume
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ