Watanzania tusithubutu kuingilia mambo ya akina Putin kwani ni ndugu yetu kabisa

Mbona Dr. Gwajima akili hazijamruka mkuu acha uongo.
 
Ukiachana na ile meli ya uturuki iliopigwa jana kwa kuzuia eti majeshi ya Urusi, leo meli ya Japan imepigwa kombora karibu na Black sea

2 more merchant ships hit by Russian attacks in Black Sea.

Japanese bulk carrier MV Namura Queen hit by a rocket at anchor off Yuzhne.

Moldovan chemical tanker MV Millennial Spirit hit and set on fire 12 miles to the south


Video: suvaribeyinnotdefteri https://t.co/p5BHZmUPIk
 
Kuna jirani yetu hapa mkenya kakosa raha aliposikia chuma Vradmir Putin kawaambia ukweli wamalize njaa kwanza.
 
Mkuu Putin kazaliwa 1952. Kwa hiyo 1973 alikuwa na Miaka 21 Tu, na kwenye Historia ya Maisha yake inaonyesha 1970 hadi 1975 alikuwa akisoma Chuo Kikuu (St. Petersburg State University). Hii Imekaaje?
Kachukua story ya uongo ya whatsapp kaileta humu. Samora alizaliwa 1933, ukimtazama huyo mrusi kiumri anaonekana analingana na Putin.

Kuna tofauti ya miaka 19 kati ya Samora na Putin mwenyewe, umesema kweli kuwa 1973 alikuwa anasoma chuo kwao.
 
Mtu anaitwa PUTIN alafu bado unataka kupigana nae yaani ukisikia jina lake tu unajua ni mtu mbad
 

Russians wana eneo kubwa sana lisilokaliwa na watu. While the country is roughly two times bigger than the USA, its population is less than one-half of that of USA. Ndiyo maana hawakuona shida hata kuiuza Alaska kwa Wamarekani.
 
Aisee
 
Kwa taarifa tu, kiwanda cha AK-47 kiko Kiev
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…