Jidu La Mabambasi
JF-Expert Member
- Oct 20, 2014
- 16,419
- 26,594
- Thread starter
- #61
Hilo neno mkuu.Ukweli mchungu ila wote tunapaswa kulipa kodi. Tukishalipa tuwabane viongozi waache kuchezea kodi zetu kwa kufanya mambo ya anasa. Haya mambo ya kuendesha V8 kila upande na bila sababu za msingi yakomeshwe. Mbona mikutano mingine inaweza kufanyika virtually? Kwanini wanaenda na kutoka Dodoma kama wanaenda sinza mjini kila week?
Tubadilike ili tujenge nchi yetu kwa hiki kipato kidogo kilichopo
Wanaolalamikia sana tozo ni wale walikuwa hawalipi chochote kwa maana ya kodi.
Sasa mzigo wa maendeleo ya jami8 ni wetu sote.