Watanzania tusiwe wanafiki, Tozo ni muhimu kwa upana wake

Watanzania tusiwe wanafiki, Tozo ni muhimu kwa upana wake

Mkuu,wafanya biashara wanalipa kodi nyingi tu Corporate tax,Personal income tax,Withhoding.hata hyo VAT unayosema wanakatwa wananchi bado kuna mzigo mkubwa unalala kwa wafanya biashara sababu si wote waliosajiliwa VAT na wakati mwingine wanalazimika kuchaji price sawa na wasiosajiliwa sababu ya ushindani.hyo PAYE inayolipwa na wafanyakazi wa serikali haiwezi kufanya miradi peke yake,kumbuka wafanyakazi wa serikali hawazidi hata laki tatu na wengi wana mishahara midogo kama walim na police,so unategemea hvyo vilaki wanavyokatwa ndo vifanye miradi mikubwa?
Wewe hujui kitu chochote kuhusu Public Finance
 
Unajua beureu ziliporwaa pesa kwa ajili gani?? Kama hujui kitu bora unyamaze ufiche ujinga wako! Wale watu wa beureu walikuwa wanaficha dola ili zipungue mitaani kisa dola ipandee..rais akaona wanasaliti nchi wakafanyiwa hivyo..sasa ww punguani unakurupuka huko fyoko fyoko hujui chochote..subir hizo tozo uone kama kuna jipyaa litakalofanywaa na hao wapuuzi.. akili yako itakaa sawaa..ila kwa kuwa ww n kipofuu hutajua hilo umekosa ilmu dunia..unaelimu yako ya hukooo
Sijui ulisomeaga shule ya ujinga!

Yaani beureu de change wafiche dola ili wazifanyie nini sasa? Hapo drc na rwanda dola zinauzwa barabarani kama karanga halafu wewe unaona ni dili.

Kwa ushamba wako ulikuwa unamwamini huyo mshamba mwenzio na mauongo yake!
 
Miaka zaidi ya 60 ya uhuru, bado stori ni zile zile! Madarasa, madawati! Huku watawala wachache wakiishi maisha ya peponi!

Halafu unaniuliza nisicho elewa ni nini!! Ni kuona miaka zaidi ya 60, tukiwa tumejaliwa kila aina ya raslimali, lakini bado serikali inawakamua wananchi wake maskini, huku kikundi cha watu wachache tu kikizifaidi hizo raslimali.

I wish tungekua na Mtawala kama Muammar Gaddaf! Ambaye aliitumia vilivyo raslimali ya mafuta, kuboresha maisha ya wananchi wenzake wa Libya.
Ukweli watu hawalipi kodi.
Na watu wanazaana kama sungura.
Toka uhuru population isingeongezeka pengine na wewe mwenyewe usingekuwepo.
Unaonaje hapo?
 
achana na Watanzania watakupasua kichwa...watanzania ni moja ya jamii ya watu wanafiki sana duniani aka jamii ya watu tusiojua nini tunataka mpaka sasa..

Kifupi ukitaka kuongoza watanzania usisikilize miluzi yao wewe nyoosha kwenye uelekeo unaona unafaa wengi ni walalamishi, wavivu ambao hautaweza kukidhi mahitaji yao hata siku moja....

Kifupi hatuna jema..
Nakubaliana na wewe mkuu.
Wanafiki wameguswa , si matusi hayo!
Walipe tozo tujenge nchi!
 
USENGENYANI mtupu.

kama kuna faida yoyote napata financially kwa kutuma muamala wa mpesa au tigo pesa au airtel money au z-pesa hiyo ni sawa kunitoza.

sasa wewe boya ulieleta hii mada niambie kuna income gani mimi nina generate kwa kumtumia mzazi wangu pesa kijijini.

yaani nyie mbwa na huyo kubwa la majibwa mwigulu mnashindwa ku exploit rasilimali za nchi zilizotapakaa kila kona mnakuja kututoza kwenye miamala?

yaani kutuma pesa ya kumtibia mama yangu anaumwa kijijini mnanilipisha? STUPID.

wamachinga nitawaona mafala mkikubali kuhamishwa katikati ya mji. onesheni mfano jinsi mapinduzi yanatakiwa kuwa. this generation will remember you forever.
 
Siku moja mdogo wangu alinipgia simu
Akasema...nanukuu( kaka naomba tsh....nitumie huku chuo sina hera kabisa)
Huruma ikaniingia
Mbali na kua ni moja ya WAJIBU ...na MUHIMU
Nikajibu sawa
Kwa bahati mbaya hakukata simu yake
Nkasikia akisema kwa rafiki zake
Jiandaeni twende zetu tukaluke club!!!!

Alisubili sana hiyo pesa
Nadhan alikua nje ya club akisubiri pesa....
Nlijisikia ovyo sana sana sana
 
Ukweli mchungu ila wote tunapaswa kulipa kodi. Tukishalipa tuwabane viongozi waache kuchezea kodi zetu kwa kufanya mambo ya anasa. Haya mambo ya kuendesha V8 kila upande na bila sababu za msingi yakomeshwe. Mbona mikutano mingine inaweza kufanyika virtually? Kwanini wanaenda na kutoka Dodoma kama wanaenda sinza mjini kila week?
Tubadilike ili tujenge nchi yetu kwa hiki kipato kidogo kilichopo
Mwanasiasa gani atakaekuelewa katika hili?
 
USENGENYANI mtupu.

kama kuna faida yoyote napata financially kwa kutuma muamala wa mpesa au tigo pesa au airtel money au z-pesa hiyo ni sawa kunitoza.

sasa wewe boya ulieleta hii mada niambie kuna income gani mimi nina generate kwa kumtumia mzazi wangu pesa kijijini.

yaani nyie mbwa na huyo kubwa la majibwa mwigulu mnashindwa ku exploit rasilimali za nchi zilizotapakaa kila kona mnakuja kututoza kwenye miamala?

yaani kutuma pesa ya kumtibia mama yangu anaumwa kijijini mnanilipisha? STUPID.

wamachinga nitawaona mafala mkikubali kuhamishwa katikati ya mji. onesheni mfano jinsi mapinduzi yanatakiwa kuwa. this generation will remember you forever.
Maboya wabaya zaidi kama wewe mliofadhiliwa kwa kodi za wanaume wenzenu.
Lipeni tozo/kodi kwa furaha mpande SGR kwenda Moro mwakani.
 
Kodi lazima tulipe hakuna jinsi. Baada ya kulipa tusiwaonee haya hawa watumishi na viongozi wa umma wanaochezea hela zetu za kodi. katika miaka sita ya JPM Dar imebadilika. Inafanana na ncho za nje kwa barabara na unadhifu wake. Hawa wengine wasithubutu kuchukua kodi zetu ili wasafiri na kujilipa per diem. Wananchi watawachukia. Huo ndio ukweli
Ubaya hata mkichukia hamna kitu mtafanya!
 
Unafiki unatumaliza Watanzania.

Kodi zilizokuwa zikitozwa na serikali ya Awamu ya Tano kwa wafanyabiashara na wajasiria mali, wengi waliitikia wakisema mafisadi hao au wahujumu uchumi.

Kipindi cha Awamu ya Tano uonezi mwingi wa kupora, kunyang'anya, kubambika kodi na hata watu kuwekwa ndani na kufunguliwa kesi za uongo za uhujumu uchumi zilikuwepo tena nyingi sana.

Lengo lake kupata fedha kwa udi na uvuma kwa miradi ya SGR na Stiglaz Umeme na mingine mingi.

Kuna wananchi walishangilia sana uonezi uliofanywa.

Wapo viongozi walio kundi hili, Waziri Mpango wakati huo hakosekani humo.

Sasa Awamu ya Sita imerekebisha hilo ili KODI IWE KWA WATANZANIA WOTE.

Na hili linatekelezwa kwa kupitia TOZO za miamala ambazo zinamgusa kila mtu.

Hapo ndio unaona unafiki wa watu.

Hawapendi kuchangia kodi kwa maendeleo, wao wanafikiri kundi fulani tu ndio litoe kodi ili wao waneemeke.

Mshindwe, lipeni kodi Watanzania.
Tunasusia na inajibu vilivyo. Nyinyi endeleeni kujikaanga na mafuta yenu mpaka muive.

TUTAELEWABA TU
 
Wapuuzi na wanafiki ni kama wewe usiyetaka kulipo kodi ya TOZO ukitegemea mwanaume mwingine akulipie maendeleo yako.
Kodi inatolewa kwenye income kama mshahara na kwenye biashara.

Tozo : mfano - watozeni faini wasiosimama kwenye zebra"

Watu wanalalamikia tozo ambazo ni kama fine,, kodi wanalipa kwenye biashara zao na kwenye mishahara yao.

Mimi nadhani hizi tozo za uzalendo ilitakiwa zielekezwe sehem maalumu inayojulikana, mfano wanavyosema vituo 200 vya afya,,, vitajwe ni wapi ili wananchi tuweze kufuatia ikiwa kweli hizo hela zimeenda huko kulikosemwa.
 
Mkuu kinachotakiwa ni fedha kuingia mfuko wa serikali.
Wewe ita tozo kodi, maduhuli, fine za barabarani, kiingilio cha utalii mbugani, vyote ni mapato ya serikali.
Tufuatilie tu matumizi yanayotazamiwa.
 
[emoji3][emoji3] Ni kweli, ila la tozo bado naliona haliko sawa. Hautaweza kufuatilia kama tozo zinaenda kufanya kazi au la kwani hata hivyo vituo vya afya vilipo hujui. Tegemea baadae kuletewa data ya ambacho haujawai kiona halafu watu watagonga glass na kugida ubhugimbi. Kwisha kazi.
 
Mapato ya serikali yana majina mengi.
Iwe kodi su tozo yote ni mapato.
Cha msingi Bunge na CAG wawe macho kuyasimamia.
 
Back
Top Bottom