Jidu La Mabambasi
JF-Expert Member
- Oct 20, 2014
- 16,419
- 26,594
- Thread starter
-
- #61
Hilo neno mkuu.Ukweli mchungu ila wote tunapaswa kulipa kodi. Tukishalipa tuwabane viongozi waache kuchezea kodi zetu kwa kufanya mambo ya anasa. Haya mambo ya kuendesha V8 kila upande na bila sababu za msingi yakomeshwe. Mbona mikutano mingine inaweza kufanyika virtually? Kwanini wanaenda na kutoka Dodoma kama wanaenda sinza mjini kila week?
Tubadilike ili tujenge nchi yetu kwa hiki kipato kidogo kilichopo
Tatizo hakuna limitsUnafiki unatumaliza Watanzania.
Kodi zilizokuwa zikitozwa na serikali ya Awamu ya Tano kwa wafanyabiashara na wajasiria mali, wengi waliitikia wakisema mafisadi hao au wahujumu uchumi.
Kipindi cha Awamu ya Tano uonezi mwingi wa kupora, kunyang'anya, kubambika kodi na hata watu kuwekwa ndani na kufunguliwa kesi za uongo za uhujumu uchumi zilikuwepo tena nyingi sana.
Lengo lake kupata fedha kwa udi na uvuma kwa miradi ya SGR na Stiglaz Umeme na mingine mingi.
Kuna wananchi walishangilia sana uonezi uliofanywa.
Wapo viongozi walio kundi hili, Waziri Mpango wakati huo hakosekani humo.
Sasa Awamu ya Sita imerekebisha hilo ili KODI IWE KWA WATANZANIA WOTE.
Na hili linatekelezwa kwa kupitia TOZO za miamala ambazo zinamgusa kila mtu.
Hapo ndio unaona unafiki wa watu.
Hawapendi kuchangia kodi kwa maendeleo, wao wanafikiri kundi fulani tu ndio litoe kodi ili wao waneemeke.
Mshindwe, lipeni kodi Watanzania.
Watu walikuwa hawalipi hata senti tano kama kodi.Awamu ya tano taratibu za kodi zilifuatwa ila wale wazoefu wa kukwepa walipatikana. Tozo hatupingi bali kiwango ndoo kero.
Kodi lazima tulipe hakuna jinsi. Baada ya kulipa tusiwaonee haya hawa watumishi na viongozi wa umma wanaochezea hela zetu za kodi. katika miaka sita ya JPM Dar imebadilika. Inafanana na ncho za nje kwa barabara na unadhifu wake. Hawa wengine wasithubutu kuchukua kodi zetu ili wasafiri na kujilipa per diem. Wananchi watawachukia. Huo ndio ukweliHilo neno mkuu.
Wanaolalamikia sana tozo ni wale walikuwa hawalipi chochote kwa maana ya kodi.
Sasa mzigo wa maendeleo ya jami8 ni wetu sote.
Ww n kimaUnafiki unatumaliza Watanzania.
Kodi zilizokuwa zikitozwa na serikali ya Awamu ya Tano kwa wafanyabiashara na wajasiria mali, wengi waliitikia wakisema mafisadi hao au wahujumu uchumi.
Kipindi cha Awamu ya Tano uonezi mwingi wa kupora, kunyang'anya, kubambika kodi na hata watu kuwekwa ndani na kufunguliwa kesi za uongo za uhujumu uchumi zilikuwepo tena nyingi sana.
Lengo lake kupata fedha kwa udi na uvuma kwa miradi ya SGR na Stiglaz Umeme na mingine mingi.
Kuna wananchi walishangilia sana uonezi uliofanywa.
Wapo viongozi walio kundi hili, Waziri Mpango wakati huo hakosekani humo.
Sasa Awamu ya Sita imerekebisha hilo ili KODI IWE KWA WATANZANIA WOTE.
Na hili linatekelezwa kwa kupitia TOZO za miamala ambazo zinamgusa kila mtu.
Hapo ndio unaona unafiki wa watu.
Hawapendi kuchangia kodi kwa maendeleo, wao wanafikiri kundi fulani tu ndio litoe kodi ili wao waneemeke.
Mshindwe, lipeni kodi Watanzania.
we jamaa ni kilaza, unadhani kila anaetoa maoni kuuelezea uhalisia wa mambo ni maskini? jamaa kaelezea vile walimu, madaktari wanavyotegemea mishahara yao kujikimu akati kuna watumishi wengine wanahudumiwa na serikali kila kitu nje ya mishahara yaoHuu ndio ujinga mliopandikizwa na wajinga wenzenu.
Sasa hao unaona ndio matajiri wako wangspi nchini dhidi ya nyie mliokubali kuitwa kijinga ati "wanyinge"?
Ukitawaliwa kiakili utabaki nyuma dsima.
Lipa tozo bana!
Kima wewe unayeishi kwa kufadhiliwa na wanaume walipakodi.Ww n kima
Mkuu ukikubali kuitwa mnyonge, nawe ukakubali kwa furaha basi ujue umeikubali dharau.we jamaa ni kilaza, unadhani kila anaetoa maoni kuuelezea uhalisia wa mambo ni maskini? jamaa kaelezea vile walimu, madaktari wanavyotegemea mishahara yao kujikimu akati kuna watumishi wengine wanahudumiwa na serikali kila kitu nje ya mishahara yao
sasa mi na wewe pamoja na serikali yako mjinga nani, wakati watu mliowapa leseni wavune hizo rasilimali halafu hawalipi kodi unategemea nini. acha tozo tu hata kodi ya kichwa itakuwepo pia.Wewe hujakaa nchi za
Hayo ndo mawazo ya mtu ambaye si mvivu tu bali mjinga pia.
Hizo natural resuorces unazozisema si unaziona?
Kazivune ulipe tozo!
Mkuu ukikaa na kulakamika tu, tozo nyingine tena zitakuja na zitakuzingua.sasa mi na wewe pamoja na serikali yako mjinga nani, wakati watu mliowapa leseni wavune hizo rasilimali halafu hawalipi kodi unategemea nini. acha tozo tu hata kodi ya kichwa itakuwepo pia.
Nskubaliana kabisa.Unafiki unatumaliza Watanzania.
Kodi zilizokuwa zikitozwa na serikali ya Awamu ya Tano kwa wafanyabiashara na wajasiria mali, wengi waliitikia wakisema mafisadi hao au wahujumu uchumi.
Kipindi cha Awamu ya Tano uonezi mwingi wa kupora, kunyang'anya, kubambika kodi na hata watu kuwekwa ndani na kufunguliwa kesi za uongo za uhujumu uchumi zilikuwepo tena nyingi sana.
Lengo lake kupata fedha kwa udi na uvuma kwa miradi ya SGR na Stiglaz Umeme na mingine mingi.
Kuna wananchi walishangilia sana uonezi uliofanywa.
Wapo viongozi walio kundi hili, Waziri Mpango wakati huo hakosekani humo.
Sasa Awamu ya Sita imerekebisha hilo ili KODI IWE KWA WATANZANIA WOTE.
Na hili linatekelezwa kwa kupitia TOZO za miamala ambazo zinamgusa kila mtu.
Hapo ndio unaona unafiki wa watu.
Hawapendi kuchangia kodi kwa maendeleo, wao wanafikiri kundi fulani tu ndio litoe kodi ili wao waneemeke.
Mshindwe, lipeni kodi Watanzania.
Huna unalojuaHuu ndio ujinga mliopandikizwa na wajinga wenzenu.
Sasa hao unaona ndio matajiri wako wangspi nchini dhidi ya nyie mliokubali kuitwa kijinga ati "wanyinge"?
Ukitawaliwa kiakili utabaki nyuma dsima.
Lipa tozo bana!
Kwani mbona kuna jamaa alisema hata kama watanzania mtakula majani lakini lazima ndege inunuliwe, Sasa yuko wapi? lakini nchi siinaendelea je? ndege hiyo iko wapi?Unafiki unatumaliza Watanzania.
Kodi zilizokuwa zikitozwa na serikali ya Awamu ya Tano kwa wafanyabiashara na wajasiria mali, wengi waliitikia wakisema mafisadi hao au wahujumu uchumi.
Kipindi cha Awamu ya Tano uonezi mwingi wa kupora, kunyang'anya, kubambika kodi na hata watu kuwekwa ndani na kufunguliwa kesi za uongo za uhujumu uchumi zilikuwepo tena nyingi sana.
Lengo lake kupata fedha kwa udi na uvuma kwa miradi ya SGR na Stiglaz Umeme na mingine mingi.
Kuna wananchi walishangilia sana uonezi uliofanywa.
Wapo viongozi walio kundi hili, Waziri Mpango wakati huo hakosekani humo.
Sasa Awamu ya Sita imerekebisha hilo ili KODI IWE KWA WATANZANIA WOTE.
Na hili linatekelezwa kwa kupitia TOZO za miamala ambazo zinamgusa kila mtu.
Hapo ndio unaona unafiki wa watu.
Hawapendi kuchangia kodi kwa maendeleo, wao wanafikiri kundi fulani tu ndio litoe kodi ili wao waneemeke.
Mshindwe, lipeni kodi Watanzania.
At least ninalojua ni kwamba nyie kula kulala mnapenda kuletewa maendeleo bure na wanaume wenzenu mko wengi.Huna unalojua
Kwa nini tutumie fedha za rambi rambi, za wagonjwa? Badala ya kupunguza matumizi ya wakuu wa mikoa, wilaya, viongozi wa ccm wanaotembea na magari ya millions mia nne?Unafiki unatumaliza Watanzania.
Kodi zilizokuwa zikitozwa na serikali ya Awamu ya Tano kwa wafanyabiashara na wajasiria mali, wengi waliitikia wakisema mafisadi hao au wahujumu uchumi.
Kipindi cha Awamu ya Tano uonezi mwingi wa kupora, kunyang'anya, kubambika kodi na hata watu kuwekwa ndani na kufunguliwa kesi za uongo za uhujumu uchumi zilikuwepo tena nyingi sana.
Lengo lake kupata fedha kwa udi na uvuma kwa miradi ya SGR na Stiglaz Umeme na mingine mingi.
Kuna wananchi walishangilia sana uonezi uliofanywa.
Wapo viongozi walio kundi hili, Waziri Mpango wakati huo hakosekani humo.
Sasa Awamu ya Sita imerekebisha hilo ili KODI IWE KWA WATANZANIA WOTE.
Na hili linatekelezwa kwa kupitia TOZO za miamala ambazo zinamgusa kila mtu.
Hapo ndio unaona unafiki wa watu.
Hawapendi kuchangia kodi kwa maendeleo, wao wanafikiri kundi fulani tu ndio litoe kodi ili wao waneemeke.
Mshindwe, lipeni kodi Watanzania.
Wewe huwezi jenga hoja bila kulinganisha na Magufuli,tozo ni ujinga mtupu,na huyo mtu wenu mwenye mwili kama TemboHamkulalamika hivyo wakati wa Magufuli, kuwa fedha wanazonyang'anya wafanya biashara zinaenda wapi?
Arusha Beureu De Change zimeporwa na vyombo vya serikali, hela ilienda wapi?
Ndio maana nasema tusiwe wanafiki.
😍👍Unafiki unatumaliza Watanzania.