Watanzania tusiwe wanafiki, Tozo ni muhimu kwa upana wake

Wewe hujui kitu chochote kuhusu Public Finance
 
Sijui ulisomeaga shule ya ujinga!

Yaani beureu de change wafiche dola ili wazifanyie nini sasa? Hapo drc na rwanda dola zinauzwa barabarani kama karanga halafu wewe unaona ni dili.

Kwa ushamba wako ulikuwa unamwamini huyo mshamba mwenzio na mauongo yake!
 
Ukweli watu hawalipi kodi.
Na watu wanazaana kama sungura.
Toka uhuru population isingeongezeka pengine na wewe mwenyewe usingekuwepo.
Unaonaje hapo?
 
Nakubaliana na wewe mkuu.
Wanafiki wameguswa , si matusi hayo!
Walipe tozo tujenge nchi!
 
USENGENYANI mtupu.

kama kuna faida yoyote napata financially kwa kutuma muamala wa mpesa au tigo pesa au airtel money au z-pesa hiyo ni sawa kunitoza.

sasa wewe boya ulieleta hii mada niambie kuna income gani mimi nina generate kwa kumtumia mzazi wangu pesa kijijini.

yaani nyie mbwa na huyo kubwa la majibwa mwigulu mnashindwa ku exploit rasilimali za nchi zilizotapakaa kila kona mnakuja kututoza kwenye miamala?

yaani kutuma pesa ya kumtibia mama yangu anaumwa kijijini mnanilipisha? STUPID.

wamachinga nitawaona mafala mkikubali kuhamishwa katikati ya mji. onesheni mfano jinsi mapinduzi yanatakiwa kuwa. this generation will remember you forever.
 
Siku moja mdogo wangu alinipgia simu
Akasema...nanukuu( kaka naomba tsh....nitumie huku chuo sina hera kabisa)
Huruma ikaniingia
Mbali na kua ni moja ya WAJIBU ...na MUHIMU
Nikajibu sawa
Kwa bahati mbaya hakukata simu yake
Nkasikia akisema kwa rafiki zake
Jiandaeni twende zetu tukaluke club!!!!



Alisubili sana hiyo pesa
Nadhan alikua nje ya club akisubiri pesa....
Nlijisikia ovyo sana sana sana
 
Mwanasiasa gani atakaekuelewa katika hili?
 
Maboya wabaya zaidi kama wewe mliofadhiliwa kwa kodi za wanaume wenzenu.
Lipeni tozo/kodi kwa furaha mpande SGR kwenda Moro mwakani.
 
Ubaya hata mkichukia hamna kitu mtafanya!
 
Tunasusia na inajibu vilivyo. Nyinyi endeleeni kujikaanga na mafuta yenu mpaka muive.

TUTAELEWABA TU
 
Wapuuzi na wanafiki ni kama wewe usiyetaka kulipo kodi ya TOZO ukitegemea mwanaume mwingine akulipie maendeleo yako.
Kodi inatolewa kwenye income kama mshahara na kwenye biashara.

Tozo : mfano - watozeni faini wasiosimama kwenye zebra"

Watu wanalalamikia tozo ambazo ni kama fine,, kodi wanalipa kwenye biashara zao na kwenye mishahara yao.

Mimi nadhani hizi tozo za uzalendo ilitakiwa zielekezwe sehem maalumu inayojulikana, mfano wanavyosema vituo 200 vya afya,,, vitajwe ni wapi ili wananchi tuweze kufuatia ikiwa kweli hizo hela zimeenda huko kulikosemwa.
 
Mkuu kinachotakiwa ni fedha kuingia mfuko wa serikali.
Wewe ita tozo kodi, maduhuli, fine za barabarani, kiingilio cha utalii mbugani, vyote ni mapato ya serikali.
Tufuatilie tu matumizi yanayotazamiwa.
 
Mkuu kinachotakiwa ni fedha kuingia mfuko wa serikali.
Wewe ita tozo kodi, maduhuli, fine za barabarani, kiingilio cha utalii mbugani, vyote ni mapato ya serikali.
Tufuatilie tu matumizi yanayotazamiwa.
[emoji3][emoji3] Ni kweli, ila la tozo bado naliona haliko sawa. Hautaweza kufuatilia kama tozo zinaenda kufanya kazi au la kwani hata hivyo vituo vya afya vilipo hujui. Tegemea baadae kuletewa data ya ambacho haujawai kiona halafu watu watagonga glass na kugida ubhugimbi. Kwisha kazi.
 
Mapato ya serikali yana majina mengi.
Iwe kodi su tozo yote ni mapato.
Cha msingi Bunge na CAG wawe macho kuyasimamia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…