maramojatu
JF-Expert Member
- Mar 16, 2012
- 1,749
- 2,319
Unyanyasaji wa wananchi ni mambo ya kike mkuu? Tuhurumie kidogoAcha kuingilia Mambo ya kike
Mpaka aombe msamahaUpele umefika kwa wakunaji.....
Uko sawa. Ila, tangu utoto nimefunzwa kuwa kila kosa lina wajibu wake, kuanzia kuangaliwa jicho, kuonyeshwa kidole, kufinywa shavu, kwenda kujikatia kiboko n.k. Na yeye, kama kweli ametenda kosa basi anastahili awajibishwe kulingana na sheria zilizopo.Mwacheni dada wa watu, ni nani ambae hajawahi kufanya makosa hapa duniani? Hakuna binadamu aliekamilika
Waziri mwenye dhamana na Sheria na katiba,mbunge alafu unafanya vitu kama mnyama na kuamini ushirikina,huyo mwananchi wa porini huko inakuaje? Kwani mamlaka za Sheria hazipo angempeleka huyo kijana. Hiv waafrika Nani katuroga? Sasa mzungu akiona haya katika Karne hii ataacha kuliita bara hili dark Continent linalokaliwa na wanyama Tu cz matendo YETU anashindwa kututofautisha na wanyama.Mwacheni dada wa watu, ni nani ambae hajawahi kufanya makosa hapa duniani? Hakuna binadamu aliekamilika
Mbona makonda amekukaa sana kichwani.mada NI Nani hapa?Kwa hiyo makonda alikuwa naibu Waziri wa Katiba na Sheria? Au kama makonda hakuwajibishwa na wananchi, tukimwahibisha Gekul tutakuwa tumevunja haki za wanawake?
Una uhakika gani kama ni kweli?. Wacha tusubiri vyombo vya kutoa haki vifanye kazi yake ndipo tuweze kupanua midomo yetu. Unajua wakati mwingine uongo huwa unapanda lift na ukweli huwa unapanda ngazi. Lakini taratibu utafika roof top. Tumeambiwa hawa wamama wana bifu tangu zamani. Na inasemekana wako na bifu za kiitikadi pia. So lolote linaweza kuwa kweli kwa maana ya kumzushia gekul au gekul kufanya unyama. Njia pekee ni kusubiri court watu wapeleke ushahidi na haki itatolewa.Unyanyasaji wa wananchi ni mambo ya kike mkuu? Tuhurumie kidogo
Sawa.umenena VYEMA.Una uhakika gani kama ni kweli?. Wacha tusubiri vyombo vya kutoa haki vifanye kazi yake ndipo tuweze kupanua midomo yetu. Unajua wakati mwingine uongo huwa unapanda lift na ukweli huwa unapanda ngazi. Lakini taratibu utafika roof top. Tumeambiwa hawa wamama wana bifu tangu zamani. Na inasemekana wako na bifu za kiitikadi pia. So lolote linaweza kuwa kweli kwa maana ya kumzushia gekul au gekul kufanya unyama. Njia pekee ni kusubiri court watu wapeleke ushahidi na haki itatolewa.
Nimemjibu mdukuzi hapo juu aliyeanzisha mambo ya makonda. Mimi wala huyo makonda hanihusuMbona makonda amekukaa sana kichwani.mada NI Nani hapa?
Issue ya Gekul ni tone la maji kwenye bahari, tatizo kubwa ni ccm, chukia kenge wa ccmWanaJF,
Nashauri kuanzia leo tususie biashara zote anazofanya huyu mbunge wa Babati kwa kitendo chake cha unyanyasaji. Naomba anayezifahamu aweke majina yake hapa.
Tuanze na hiyo hoteli inaitwa Palii sijui nini.
Hakuna kufanya biashara na muuaji au wanaomsapoti mpaka akili iwakae sawa.
Nimemalize
Kwa kuanzia tu, tuambie kila biashara yake, mahali ilipo na huduma inazozitoa, ikiwemo picha za hizo biashara, halafu watu tutashare kupitia social media mbalimbali ili kila mtu ajue na kuzikwepa.WanaJF,
Nashauri kuanzia leo tususie biashara zote anazofanya huyu mbunge wa Babati kwa kitendo chake cha unyanyasaji. Naomba anayezifahamu aweke majina yake hapa.
Tuanze na hiyo hoteli inaitwa Palii sijui nini.
Hakuna kufanya biashara na muuaji au wanaomsapoti mpaka akili iwakae sawa.
Nimemalize
WanaJF waliopo Babati watuwekee hizo picha na majina ya biasharaKwa kuanzia tu, tuambie kila biashara yake, mahali ilipo na huduma inazozitoa, ikiwemo picha za hizo biashara, halafu watu tutashare kupitia social media mbalimbali ili kila mtu ajue na kuzikwepa.
Kwa pamoja tuukatae uovu na shughuli za waovu.
Kufanya kosa ni jambo moja lakini kutubu kosa ni jambo lingine.Mwacheni dada wa watu, ni nani ambae hajawahi kufanya makosa hapa duniani? Hakuna binadamu aliekamilika
Wewe ni mpumbavu na mshenzi.Mwacheni dada wa watu, ni nani ambae hajawahi kufanya makosa hapa duniani? Hakuna binadamu aliekamilika
Kafanya kosa kubwa sana kuingiza chupa kwenye njia ya haja kubwa ya kidume usichukilie poa mzee hasa kwenye zama hizi za kupiga vita ushogaMwacheni dada wa watu, ni nani ambae hajawahi kufanya makosa hapa duniani? Hakuna binadamu aliekamilika