Lukub
JF-Expert Member
- Feb 5, 2012
- 3,622
- 4,100
Tafuta Hela acha ujinga unaosababishwa na Roho ya wivu ,yaani niache kulala au kula sehemu nzuri kisa mambo binafsi ya mmiliki wa sehemu hiyo,mwache apambabe na mkono wa Sheria .WanaJF,
Nashauri kuanzia leo tususie biashara zote anazofanya huyu mbunge wa Babati kwa kitendo chake cha unyanyasaji. Naomba anayezifahamu aweke majina yake hapa.
Tuanze na hiyo hoteli inaitwa Palii sijui nini.
Hakuna kufanya biashara na muuaji au wanaomsapoti mpaka akili iwakae sawa.
Nimemaliza