Watanzania tususie biashara za Pauline Gekul mpaka aombe msamaha

Watanzania tususie biashara za Pauline Gekul mpaka aombe msamaha

WanaJF,

Nashauri kuanzia leo tususie biashara zote anazofanya huyu mbunge wa Babati kwa kitendo chake cha unyanyasaji. Naomba anayezifahamu aweke majina yake hapa.

Tuanze na hiyo hoteli inaitwa Palii sijui nini.

Hakuna kufanya biashara na muuaji au wanaomsapoti mpaka akili iwakae sawa.

Nimemaliza
Niache kwenda kulala pazuri kisa dogo kaingizwa chupa kunako?
 
Hivi Mpka raisi wa Nchi, inamfikia na kuamua kumtumbua unafikiri bado Ni Tuhuma??? Unaijua Intelligensia Ya office ya Raisi ?? Raisi hakulupuki kashapewa data kuwa ni kweli....

Then kusingiziana huku ni kwetu kajamba Nani, ww unaweza msingizia Naibu waziri wa Sheria??
Una uhakika gani kama ni kweli?. Wacha tusubiri vyombo vya kutoa haki vifanye kazi yake ndipo tuweze kupanua midomo yetu. Unajua wakati mwingine uongo huwa unapanda lift na ukweli huwa unapanda ngazi. Lakini taratibu utafika roof top. Tumeambiwa hawa wamama wana bifu tangu zamani. Na inasemekana wako na bifu za kiitikadi pia. So lolote linaweza kuwa kweli kwa maana ya kumzushia gekul au gekul kufanya unyama. Njia pekee ni kusubiri court watu wapeleke ushahidi na haki itatolewa.
 
Hivi Mpka raisi wa Nchi, inamfikia na kuamua kumtumbua unafikiri bado Ni Tuhuma??? Unaijua Intelligensia Ya office ya Raisi ?? Raisi hakulupuki kashapewa data kuwa ni kweli....

Then kusingiziana huku ni kwetu kajamba Nani, ww unaweza msingizia Naibu waziri wa Sheria??
Si ni binadamu tu kwanini nisimsingizie. Acha utaratibu wa kisheria ufuatwe bwege wewe
 
Hivi ikibainika zile chupa zilizotumika kudhalilisha ni za kampuni fluni je hawawezi kumfungulia mashitaka ya kutumia kifungashio cha bidhaa yao kufanya vitendo vya udhalilishaji?
 
Mwacheni dada wa watu, ni nani ambae hajawahi kufanya makosa hapa duniani? Hakuna binadamu aliekamilika
Ndio amuingize mtu chupa mkundun(I)
Hebu akuingoze wewe au mtoto wako then ndio umsameheme.
Yaani vaa viatu vya dogo ya kwamba "Kuna mwanao Leo umemuacha mzima ila kurudi umemkuta kaingizwa chupa au wewe umeingizwa chupa"

THEN SAMEHE...

#YNWA
 
Ngoja siku uanzishe biashara yako mtaji wake ambao umeipigania kweli.

Halafu katika vijana maelfu wanaotafuta kazi ujitolee kumsaidia mmoja kwa roho nzuri. Baadae uje kugundua lengo lake ni kuja kuharibu biashara tu; uonje maumivu ya usaliti.

Ndio huyo mama kakosea mno kwa adhabu aliyotoa, hila dogo fala sana nae.
 
Anzeni kwa kuisusia CCM maana ndio chanzo cha viburi vya hao wanaojiita viongozi...
 
Mwacheni dada wa watu, ni nani ambae hajawahi kufanya makosa hapa duniani? Hakuna binadamu aliekamilika
Wewe ulishawahi kumuingiza mtu chupa kama walivyofanya? Makosa yanatofautiana, halafu yule ni kiongozi ana nguvu ya pesa na mamlaka, unapenda kuona watu wakinyanyaswa?
 
Umechunguza kwa kina na ukabaini sababu ya mh huyo kuwapa adhabu watumishi wake hao au unashauri tu kwa Sababu uns uwezo wa kuandika?
Kwahiyo unataka kutuaminisha kama tuhuma za wahanga zingekuwa sahihi Gekul angekuwa tu sahihi.
Watu kama nyie huwa mnaamini haki na sheria vitumike pale tu umeguswa wewe na ndugu zako.
Sufficed.... You are simply stupid, selfish and uncouth!
 
Back
Top Bottom