Watanzania tususie biashara za Pauline Gekul mpaka aombe msamaha

Kwani muuaji ni yeye peke yake? Au tutasusia kwa wote?
 
Unaweza kuta ni Jungu tu lililopikwa kwa ustadi mkubwa! nampa pole Gekul akae kwa kumtumaini Mungu hili litapita! Maisha ya Kisiasa yana Fitna Kubwa!
 
Kwani kafanya nini?
 
Sikia, Hakuna mahakama ya kumhukumu Waziri Bongo. Mahakama ziko pale kuprotect interest zao.
Naam mkuu nakusikiliza, Hebu jichukulie sheria mkononi halafu uje utufahamishe kama hakuna mahakama.
 
Naam mkuu nakusikiliza, Hebu jichukulie sheria mkononi halafu uje utufahamishe kama hakuna mahakama.
As Long as ni hoehae hakuna Kila rangi utaacha kuona, Ila Ukiwa Top Tier ndani ya CCM unaweza kubeba silaha na kuvamiaa sehemu kama Clouds, bila kufanywa chochote ...Muulize makonda akufundishe.
 
Kwa kuanzia tu, tuambie kila biashara yake, mahali ilipo na huduma inazozitoa, ikiwemo picha za hizo biashara, halafu watu tutashare kupitia social media mbalimbali ili kila mtu ajue na kuzikwepa.

Kwa pamoja tuukatae uovu na shughuli za waovu.
Unaweza kujikuta ukifanya hivyo utajikuta umetangaza miashara yake
 
Kwani swala la kwenda mahakamani imeshindikana[emoji45][emoji45][emoji45][emoji45][emoji45][emoji45]
 
Tusiwe wepesi wa kuhukumu.mbona habari yenyewe imepata umaarufu kupita kiasi.fikiria watu wanatoka walikotoka na kuwa watetezi wa familia
UKARIMU WA AJABU. tupate upande wapili wa shilingi.subra subra teaches mihemuko
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…