Watanzania tutamlinda, kumpigania na kumtetea Rais Samia kwa gharama yoyote ile

Lucas Mwashambwa unachofanya ni kuchochea chuki tu, upepo ukivuma sana nakushauri usianike mashuka, ondoa bandiko lako ili usiibue chuki dhidi ya mama yako kipenzi.
 
Wewe ndio una njaa kali,kwa kusema uongo.Mnateka na na kuuwana na kudingizia wengine.Albadiri haikopeshi,mnaumbuka sasa,kwa kuropoka ovyo.
😂😂😂😂 embu ona unachoandika, unaandika huku nafsi inakusuta. Hopeless kabisa...Endelea kupambania tumbo.
 
Big up Comred
 
Ukisema baadhi ya wanasisiemu utaoungukiwa nini?
 
🚮
Hakuna mzalendo anayeweza kushabikia utekaji na mauaji ya Watanzania wenzake. Never!

Mfano, yule kijana mdogo Chaula aliyechana picha tu, hivi hilo ni kosa la mtu kustahili kuuawa?
Kwani aliuwawa lini na aliuwawa na nani na aliuliwa maeneo ya wapi
 
wajibu huo muhimu sana wa kizalendo, tutaufanya kwa wivu mkubwa na kwa moyo wote.

hayupo wa kuzuia jukumu hilo la maana sana, wala hakuna wa kuhujumu azma hiyo ya kulinda utambulisho wa Taifa letu ulimwenguni, uhuru wetu amani yetu na umoja wa Taifa letu 💪👊
 
Ni watanzania wote wazalendo
Uzalendo kwako ni nini? Tuanzie hapo, Vaa viatu vya familia ya Mzee Kibao,Soka,Mdude,Chochori na wengine? Kama walikua na makosa basi hata wangefungwa jela na mahakama ndugu zao wangekua wakiwaona, au unamaanisha kuna kakikundi kana Haki kuliko wengine ndio wao wazalendo?
 
We Mpumbavu sana. Huyo rais ndiyo pumzi ya taifa?. Unajielewa kweli wewe?. Ndiyo tatizo la kuabudu watu hili. Mpaka mnaona ndiyo uhai wenu. ZEZETA POSITIVE WEWE.
 
Vyombo vya dola vinaendelea na uchunguzi. Maana kazi ya serikali ni kulinda Maisha ya watanzania wote. Na serikali haijatoa ruhusa ya kumpoteza mtu yeyote yule hata awe na makosa ya aina gani
 
Zezeta huyo anakula kwenye meza ya wakuu. Acha aabudu watu
 
Acha kutujumlisha kwenye mambo ya kipuuz huyo bi chura mtamlinda nyie MATAHIRA wa ccm
 
We Mpumbavu sana. Huyo rais ndiyo pumzi ya taifa?. Unajielewa kweli wewe?. Ndiyo tatizo la kuabudu watu hili. Mpaka mnaona ndiyo uhai wenu. ZEZETA POSITIVE WEWE.
Kama hujaelewa hoja ni bora ukauliza tu ndugu yangu mtanzania
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…