Ndugu zangu Watanzania ,
Watanzania Tutamlinda , Kumpigania,kumsemea na kumtetea kwa gharama yoyote ile Rais Wetu Mpendwa na Jemedari wetu kipenzi cha watanzania Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan Mama wa shoka, chuma cha Reli, shujaa wa Afrika, jasiri muongoza njia, simba wa nyika, komandoo wa vita, nyota ya matumaini na nuru ya wanyonge.
Tutampigania, kumlinda na kumtetea Rais wetu Mpendwa kwa sababu ndio mboni yetu kama Taifa ,Ndio amani na utulivu ya Taifa letu, ndio Pumzi ya Taifa letu kiuchumi ,kisiasa ,kijamii n.k. ndio nguzo ya umoja wetu wa kitaifa na ndio tumaini la watanzania na Mbeba maono ya Taifa letu. Rais Samia ndiye jawabu la maswali yooote ya watanzania.
Tutamlinda na kumpigania kwa sababu ndio daraja la matumaini ya watanzania,ndiye aliyebeba Hatima ya maisha ya kila mtanzania na ndoto za watanzania. Ndiye kiungo cha kuwaunganisha watanzania. Ni katika uongozi wake Rais wetu Mpendwa ambapo tumeshuhudia uchumi ukiimarika na kuleta matokeo chanya kwa Maisha ya watanzania.
Ni katika uongozi wake tumeshuhudia heshima ya Taifa letu ikiongezeka kimataifa mpaka kufikia hatua ya kuaminika na kupewa nafasi ya kuongoza nafasi za kimataifa,kama vile kutoa Rais wa Umoja wa Mabunge Duniani Mheshimiwa Dkt Tulia Ackson Mwansasu pamoja na Mheshimiwa Profesa Mohammedi Janabi Mkurugenzi Wa WHO kanda ya Afrika.
Ni wakati wa Uongozi wake Mama yetu Mpendwa tumeshuhudia ajira na fursa za ajira zikiongezeka,kuongezeka kwa bajeti kwa wizara zote zinazogusa Maisha ya watanzania,kuboresha na kusogeza huduma za kijamii karibu kabisa ya wananchi ,kuongeza upatikanaji wa huduma ya umeme mpaka vitongojini huko,kupandisha na kuboresha maslahi ya watumishi wa umma na hivyo kuongeza morali na ufanisi kazini na mengine mengi sana.
Ni Mama yetu Mpendwa ambaye ameliunganisha Taifa letu na kujenga umoja wa kitaifa na hata kuwarejesha wale wote waliokuwa uhamishoni,kuimarisha demokrasia ikiwepo kuruhusu vyama vya siasa kufanya mikutano ya hadhara bila bughudha wala kubughudhiwa . Kufuta kesi zote zilizokuwa na sura ya kisiasa ,kufunguliwa vyombo vyote vya habari vilivyokuwa vimefungiwa leseni zao n.k.
Ndio maana watanzania tunasema tuna kila sababu ya kumlinda na kumpigania Rais wetu kwa sababu tumeona nuru na Mwanga wakati wake. Tunaliona tumaini mbele yetu ,tunaona Dira na mwelekeo chini ya uongozi wake na tunaona kesho iliyo njema chini yake.View attachment 3356135
Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.
Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Em jiulize, ni kwanini mtu akihoji, kukemea na kupinga utekaji na mauaji ya wananchi anatishwa na watawala na anaambiwa kuwa yeye siyo mzalendo na ni mkosefu?!!!
Itoshe kusema watekaji, wauaji, wanaowatuma, watetezi wao na machawa wao, damu za wahanga zitawalilia wao na vizazi vyao milele yote!
View: https://youtu.be/dRJMyX8vL8E?si=QZK1fDXbZiA_z2yX
Alianza Vizuri lakini toka amefunga kanisa kwa kosa la mtu moja, hapana sitamlinda
Naam muwashwambaNdugu zangu Watanzania ,
Watanzania Tutamlinda , Kumpigania,kumsemea na kumtetea kwa gharama yoyote ile Rais Wetu Mpendwa na Jemedari wetu kipenzi cha watanzania Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan Mama wa shoka, chuma cha Reli, shujaa wa Afrika, jasiri muongoza njia, simba wa nyika, komandoo wa vita, nyota ya matumaini na nuru ya wanyonge.
Tutampigania, kumlinda na kumtetea Rais wetu Mpendwa kwa sababu ndio mboni yetu kama Taifa ,Ndio amani na utulivu ya Taifa letu, ndio Pumzi ya Taifa letu kiuchumi ,kisiasa ,kijamii n.k. ndio nguzo ya umoja wetu wa kitaifa na ndio tumaini la watanzania na Mbeba maono ya Taifa letu. Rais Samia ndiye jawabu la maswali yooote ya watanzania.
Tutamlinda na kumpigania kwa sababu ndio daraja la matumaini ya watanzania,ndiye aliyebeba Hatima ya maisha ya kila mtanzania na ndoto za watanzania. Ndiye kiungo cha kuwaunganisha watanzania. Ni katika uongozi wake Rais wetu Mpendwa ambapo tumeshuhudia uchumi ukiimarika na kuleta matokeo chanya kwa Maisha ya watanzania.
Ni katika uongozi wake tumeshuhudia heshima ya Taifa letu ikiongezeka kimataifa mpaka kufikia hatua ya kuaminika na kupewa nafasi ya kuongoza nafasi za kimataifa,kama vile kutoa Rais wa Umoja wa Mabunge Duniani Mheshimiwa Dkt Tulia Ackson Mwansasu pamoja na Mheshimiwa Profesa Mohammedi Janabi Mkurugenzi Wa WHO kanda ya Afrika.
Ni wakati wa Uongozi wake Mama yetu Mpendwa tumeshuhudia ajira na fursa za ajira zikiongezeka,kuongezeka kwa bajeti kwa wizara zote zinazogusa Maisha ya watanzania,kuboresha na kusogeza huduma za kijamii karibu kabisa ya wananchi ,kuongeza upatikanaji wa huduma ya umeme mpaka vitongojini huko,kupandisha na kuboresha maslahi ya watumishi wa umma na hivyo kuongeza morali na ufanisi kazini na mengine mengi sana.
Ni Mama yetu Mpendwa ambaye ameliunganisha Taifa letu na kujenga umoja wa kitaifa na hata kuwarejesha wale wote waliokuwa uhamishoni,kuimarisha demokrasia ikiwepo kuruhusu vyama vya siasa kufanya mikutano ya hadhara bila bughudha wala kubughudhiwa . Kufuta kesi zote zilizokuwa na sura ya kisiasa ,kufunguliwa vyombo vyote vya habari vilivyokuwa vimefungiwa leseni zao n.k.
Ndio maana watanzania tunasema tuna kila sababu ya kumlinda na kumpigania Rais wetu kwa sababu tumeona nuru na Mwanga wakati wake. Tunaliona tumaini mbele yetu ,tunaona Dira na mwelekeo chini ya uongozi wake na tunaona kesho iliyo njema chini yake.View attachment 3356135
Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.
Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Very trueWatanzania wote wazalendo wa Taifa letu tunakesha tukimuombea Rais wetu Mpendwa.
Kwani kuna Rais anayelipwa mshahara Mkubwa kumpita Rais wa Marekani? Vipi kuhusu ulinzi wake? Acha umbumbumbu wako hapa ndugu yangu mtanzania uliyejaa msongo wa mawazoYaani mtu nimuajiri Mimi alafu nimlinde tena wakati anavunja miiko ya ajira nlompa🙄 acha ulimbukeni
Ungeacha wenye akili Timamu wajadili hojaPumbavu kabisa wewe chawa usiyejitambua.
Mpuuzi mmoja wewe . Ungekuwa na akili usingefanya hii kazi ya kijinga namna hii.Ungeacha wenye akili Timamu wajadili hoja
Ndugu zangu Watanzania ,
Watanzania Tutamlinda , Kumpigania,kumsemea na kumtetea kwa gharama yoyote ile Rais Wetu Mpendwa na Jemedari wetu kipenzi cha watanzania Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan Mama wa shoka, chuma cha Reli, shujaa wa Afrika, jasiri muongoza njia, simba wa nyika, komandoo wa vita, nyota ya matumaini na nuru ya wanyonge.
Tutampigania, kumlinda na kumtetea Rais wetu Mpendwa kwa sababu ndio mboni yetu kama Taifa ,Ndio amani na utulivu ya Taifa letu, ndio Pumzi ya Taifa letu kiuchumi ,kisiasa ,kijamii n.k. ndio nguzo ya umoja wetu wa kitaifa na ndio tumaini la watanzania na Mbeba maono ya Taifa letu. Rais Samia ndiye jawabu la maswali yooote ya watanzania.
Tutamlinda na kumpigania kwa sababu ndio daraja la matumaini ya watanzania,ndiye aliyebeba Hatima ya maisha ya kila mtanzania na ndoto za watanzania. Ndiye kiungo cha kuwaunganisha watanzania. Ni katika uongozi wake Rais wetu Mpendwa ambapo tumeshuhudia uchumi ukiimarika na kuleta matokeo chanya kwa Maisha ya watanzania.
Ni katika uongozi wake tumeshuhudia heshima ya Taifa letu ikiongezeka kimataifa mpaka kufikia hatua ya kuaminika na kupewa nafasi ya kuongoza nafasi za kimataifa,kama vile kutoa Rais wa Umoja wa Mabunge Duniani Mheshimiwa Dkt Tulia Ackson Mwansasu pamoja na Mheshimiwa Profesa Mohammedi Janabi Mkurugenzi Wa WHO kanda ya Afrika.
Ni wakati wa Uongozi wake Mama yetu Mpendwa tumeshuhudia ajira na fursa za ajira zikiongezeka,kuongezeka kwa bajeti kwa wizara zote zinazogusa Maisha ya watanzania,kuboresha na kusogeza huduma za kijamii karibu kabisa ya wananchi ,kuongeza upatikanaji wa huduma ya umeme mpaka vitongojini huko,kupandisha na kuboresha maslahi ya watumishi wa umma na hivyo kuongeza morali na ufanisi kazini na mengine mengi sana.
Ni Mama yetu Mpendwa ambaye ameliunganisha Taifa letu na kujenga umoja wa kitaifa na hata kuwarejesha wale wote waliokuwa uhamishoni,kuimarisha demokrasia ikiwepo kuruhusu vyama vya siasa kufanya mikutano ya hadhara bila bughudha wala kubughudhiwa . Kufuta kesi zote zilizokuwa na sura ya kisiasa ,kufunguliwa vyombo vyote vya habari vilivyokuwa vimefungiwa leseni zao n.k.
Ndio maana watanzania tunasema tuna kila sababu ya kumlinda na kumpigania Rais wetu kwa sababu tumeona nuru na Mwanga wakati wake. Tunaliona tumaini mbele yetu ,tunaona Dira na mwelekeo chini ya uongozi wake na tunaona kesho iliyo njema chini yake.View attachment 3356135
Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.
Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Nimekusamehe bure kabisa kwa sababu najua kichwani ni 0Mpuuzi mmoja wewe . Ungekuwa na akili usingefanya hii kazi ya kijinga namna hii.
Yaani watanzania tuache kulinda wazazi na familia zetu zisizokuwa na ulinzi tukamlinde Rais ambaye ana ulinzi madhubuti ukiwa chawa na akili ni kiduchu kama kichwa kilivyo.Ndugu zangu Watanzania ,
Watanzania Tutamlinda , Kumpigania,kumsemea na kumtetea kwa gharama yoyote ile Rais Wetu Mpendwa na Jemedari wetu kipenzi cha watanzania Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan Mama wa shoka, chuma cha Reli, shujaa wa Afrika, jasiri muongoza njia, simba wa nyika, komandoo wa vita, nyota ya matumaini na nuru ya wanyonge.
Tutampigania, kumlinda na kumtetea Rais wetu Mpendwa kwa sababu ndio mboni yetu kama Taifa ,Ndio amani na utulivu ya Taifa letu, ndio Pumzi ya Taifa letu kiuchumi ,kisiasa ,kijamii n.k. ndio nguzo ya umoja wetu wa kitaifa na ndio tumaini la watanzania na Mbeba maono ya Taifa letu. Rais Samia ndiye jawabu la maswali yooote ya watanzania.
Tutamlinda na kumpigania kwa sababu ndio daraja la matumaini ya watanzania,ndiye aliyebeba Hatima ya maisha ya kila mtanzania na ndoto za watanzania. Ndiye kiungo cha kuwaunganisha watanzania. Ni katika uongozi wake Rais wetu Mpendwa ambapo tumeshuhudia uchumi ukiimarika na kuleta matokeo chanya kwa Maisha ya watanzania.
Ni katika uongozi wake tumeshuhudia heshima ya Taifa letu ikiongezeka kimataifa mpaka kufikia hatua ya kuaminika na kupewa nafasi ya kuongoza nafasi za kimataifa,kama vile kutoa Rais wa Umoja wa Mabunge Duniani Mheshimiwa Dkt Tulia Ackson Mwansasu pamoja na Mheshimiwa Profesa Mohammedi Janabi Mkurugenzi Wa WHO kanda ya Afrika.
Ni wakati wa Uongozi wake Mama yetu Mpendwa tumeshuhudia ajira na fursa za ajira zikiongezeka,kuongezeka kwa bajeti kwa wizara zote zinazogusa Maisha ya watanzania,kuboresha na kusogeza huduma za kijamii karibu kabisa ya wananchi ,kuongeza upatikanaji wa huduma ya umeme mpaka vitongojini huko,kupandisha na kuboresha maslahi ya watumishi wa umma na hivyo kuongeza morali na ufanisi kazini na mengine mengi sana.
Ni Mama yetu Mpendwa ambaye ameliunganisha Taifa letu na kujenga umoja wa kitaifa na hata kuwarejesha wale wote waliokuwa uhamishoni,kuimarisha demokrasia ikiwepo kuruhusu vyama vya siasa kufanya mikutano ya hadhara bila bughudha wala kubughudhiwa . Kufuta kesi zote zilizokuwa na sura ya kisiasa ,kufunguliwa vyombo vyote vya habari vilivyokuwa vimefungiwa leseni zao n.k.
Ndio maana watanzania tunasema tuna kila sababu ya kumlinda na kumpigania Rais wetu kwa sababu tumeona nuru na Mwanga wakati wake. Tunaliona tumaini mbele yetu ,tunaona Dira na mwelekeo chini ya uongozi wake na tunaona kesho iliyo njema chini yake.View attachment 3356135
Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.
Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Mnamwombea kwa mungu gani huyo wakati mnafungia nyumba zake za ibada kwa ajili ya mtu mmoja hii ni Tabia ya upande wa pili wa imani na Mungu asitimize haja ovu za mioyo yenu.Tunamuombea heri ya Maisha marefu na nguvu za kuendelea kututumikia watanzania. Tunampenda sana Rais wetu na ndio maana tunakesha tukimuombea
ibirisi ccm ni chama cha kishetani, mkoloni kaburu toka Zanzibar anawatesa kuwanyanyasa watanganyika ni mda sasa Tanganyika idai Uhuru wakeCCM ni chama chenye uchungu na Maisha ya watanzania na chenye kuwajali watanzania wote.
Madhabahu ibakie mahali pa kuhubiri neno la Mungu na siyo kupeleka mambo ya siasa na kuwagawa waumini kwa misingi ya itikadi za kisiasa.Mnamwombea kwa mungu gani huyo wakati mnafungia nyumba zake za ibada kwa ajili ya mtu mmoja hii ni Tabia ya upande wa pili wa imani na Mungu asitimize haja ovu za mioyo yenu.
Huna adabu wewe.ibirisi ccm ni chama cha kishetani, mkoloni kaburu toka Zanzibar anawatesa kuwanyanyasa watanganyika ni mda sasa Tanganyika idai Uhuru wake
Taifa lipi lako? Uzalendo upi? Kuteka watu kuua watu kuonea watu kuwabambikia kesi watu ni Uzalendo? Mwambie mama iddy Amin dada watanganyika hawamtaki arejee kwao Zanzibar muungano ufe Tanganyika iwe huruMimi ni msema kweli na mzalendo wa kweli wa Taifa letu