Watanzania tutamlinda, kumpigania na kumtetea Rais Samia kwa gharama yoyote ile

Utashangaa CHADEMA wanaona wivu maana akili zao wanazijua wao wenyewe
 
Mimi niondoe sitofanya hiyo shughuli..mnatafutaga kutukanwa tu.
 
Vyombo vya dola vinaendelea na uchunguzi. Maana kazi ya serikali ni kulinda Maisha ya watanzania wote. Na serikali haijatoa ruhusa ya kumpoteza mtu yeyote yule hata awe na makosa ya aina gani
Mkubwa kwa namna ulivyojibu ndio mana Gwaji boy mmeshindwa kabisa kumjibu maswali yake kua wangekua watoto wao je uchunguzi ungekua badi unafanyika hadi leo? Mwisho wa siku njia yetu ni moja tu hata umiliki hazina yote majeshi yote hospitali na madaktari bingwa wote Mungu akikutaka hakuna kitachoweza kusaidia tuwe na Hofu ya Mungu nakutenda Haki kuliponya Taifa letu.
 
Utashangaa CHADEMA wanaona wivu maana akili zao wanazijua wao wenyewe
akili zao zimeshavurugika hao, waligoma kutii maagizo ya msajili wa vyama vya siasa kwamba Mnyika na wenzake hawastahili kua viongozi wa Chadema, sasa hivi wamesalimu amri na wanayatekeleza kwa vitendo maagizo ya msajili wa vyama vya siasa,

ni muhimu sana watu hawa wakapuuzwa tu
 
Kama hujaelewa hoja ni bora ukauliza tu ndugu yangu mtanzania
Hauna hoja zaidi ya kuabudu watu na kutaka wengine waabudu watu kama unavyofanya wewe. Nikuulize kifo kikimfika nacho mtamlinda kwa nguvu zenu zote ili kisimguse?.

Bwana asipoulinda mji. wakeshao ukesha bure.
 
Kwani hana walinzi tena na mabunduki yao yote hadi tukabanane magogoni na chamwino wote? Au washapewa watekaji zote wakaulie watu tupate kazi ya kumlinda sisi kenge wote?
 
Kila mtu pale CHADEMA anaikodolea macho Ruzuku wakati walisema hawautambui uchaguzi wa 2020 . Yaani CHADEMA sijui akili zao zikoje. Ndio hawa wanasema wanakunywa mchuzi wa jogoo 🐓 ila hawali nyama yake . Acha waendelee kunywa mchuzi wa jogoo wakati akina Mdee na Bulaya wakiendelea kula Minofu Minono
 
Alianza Vizuri lakini toka amefunga kanisa kwa kosa la mtu moja, hapana sitamlinda
 
watanzania wa wapi unaowazungumzia!!??Ni cc watanzania tunaotekwa,kupotwezwa kilakukcha??
Tumekuwa kuku cc yani katuweka kwenye banda lake kila cku anachagua leo nimchinye kuku yup..
Siwezi mtetea na kumlinda mtu mwenye roho ya kishetani..
 
Rais na watu wake wanaolawiti na kubaka, just imagine anafurahia kubaka na kulawiti. Na wewe Mwashambwa na wewe ni mmoja wa watu wa Samia wanaobaka na kulawiti. Mumpiganie ili iweje? Anateka na kuua watanzania hasa watanganyika ambao wanamuona anakosea...SHAME ON YOU.
 
Yaani mtu nimuajiri Mimi alafu nimlinde tena wakati anavunja miiko ya ajira nlompa🙄 acha ulimbukeni
 
Pumbavu kabisa wewe chawa usiyejitambua.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…