Watanzania tutamlinda, kumpigania na kumtetea Rais Samia kwa gharama yoyote ile


"If you want to avoid criticism, say nothing, do nothing, be nothing" - Aristotle

Human rights must be promoted, protected and preserved.

Hatufurahi kuona Watanzania wenzetu wakiendelea kutekwa, kuteswa na kuuwawa na wale wanaojiita wasiojulikana wakati mamlaka zinazohusika na ulinzi na usalama zipo na hazioneshi any any suluhisho lolote.

Haki Huinua Taifa.
 
Hakuna anayependa utekaji
Hakuna kiongozi mwenye kuzuia ukemeaji wa wa utekaji

Ila Kuna tofauti kati ya kuhoji utekaji na kutumia tukio la utekaji kuchonganisha wananchi na serikali

Usijitoe ufahamu
 
Naam muwashwamba
 
Yaani mtu nimuajiri Mimi alafu nimlinde tena wakati anavunja miiko ya ajira nlompa🙄 acha ulimbukeni
Kwani kuna Rais anayelipwa mshahara Mkubwa kumpita Rais wa Marekani? Vipi kuhusu ulinzi wake? Acha umbumbumbu wako hapa ndugu yangu mtanzania uliyejaa msongo wa mawazo
 


Unaposema watanzania jaribu kufikiria kwanza. Hata wanaompinga ni watanzania, na hatuji idadi yao ni ndogo au kubwa kiasi gani.
Popoe pale duniani, kupingwa kisiasa sio jambo geni. Ila siku hizi kama hujipendi, basi anza kusema hiki naona hakiko sawa. Maana kina Lucas wanataka tufanye kazi moja tu...kuimba sifa zake bwana mkubwa
 
Yaani watanzania tuache kulinda wazazi na familia zetu zisizokuwa na ulinzi tukamlinde Rais ambaye ana ulinzi madhubuti ukiwa chawa na akili ni kiduchu kama kichwa kilivyo.
 
Tunamuombea heri ya Maisha marefu na nguvu za kuendelea kututumikia watanzania. Tunampenda sana Rais wetu na ndio maana tunakesha tukimuombea
Mnamwombea kwa mungu gani huyo wakati mnafungia nyumba zake za ibada kwa ajili ya mtu mmoja hii ni Tabia ya upande wa pili wa imani na Mungu asitimize haja ovu za mioyo yenu.
 
Wenye "D" moja tumeshakuelewa kuwa hawa ""WATANZANIA" ni akina nani...
 
ccm ibirisi ndiyo sumu ya maendeleo imekumbatia vitendo haramu vya kishetani kuliko maendeleo, pesa wanayotumia kukandamiza demokrasia ni pesa nyingi kuliko ya kuleta maendeleo ccm ni chama cha hovyo kwa sasa
 
CCM ni chama chenye uchungu na Maisha ya watanzania na chenye kuwajali watanzania wote.
ibirisi ccm ni chama cha kishetani, mkoloni kaburu toka Zanzibar anawatesa kuwanyanyasa watanganyika ni mda sasa Tanganyika idai Uhuru wake
 
Mnamwombea kwa mungu gani huyo wakati mnafungia nyumba zake za ibada kwa ajili ya mtu mmoja hii ni Tabia ya upande wa pili wa imani na Mungu asitimize haja ovu za mioyo yenu.
Madhabahu ibakie mahali pa kuhubiri neno la Mungu na siyo kupeleka mambo ya siasa na kuwagawa waumini kwa misingi ya itikadi za kisiasa.
 
Mimi ni msema kweli na mzalendo wa kweli wa Taifa letu
Taifa lipi lako? Uzalendo upi? Kuteka watu kuua watu kuonea watu kuwabambikia kesi watu ni Uzalendo? Mwambie mama iddy Amin dada watanganyika hawamtaki arejee kwao Zanzibar muungano ufe Tanganyika iwe huru
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…