Uchaguzi 2020 Watanzania tuwakatae CHADEMA na uzushi wao

CCM mnafeli wapi?
Leteni sera zenu tuzione, sio mambo yenu ya uzushi, tushindane kwa hoja

Lete hoja ya faida ya uwanja wa chato na sisi tulete hasara ya uwanja wa chato

Achen kuleta mada za utopolo, mnakula ela za Bure
Anayetakiwa kuwasilisha sera mmeshampanikisha kwa kumsingizia singizia mwisho wa siku anaishia kutufokea tu majukwaani.
 
Salaam,

CHADEMA wamekuwa na tabia ya kumzushia mambo mengi mabaya Rais wetu na mgombea wa CCM. Mfano jana eti wamezusha kuwa rais wetu alizomewa kule Kagera. Cha kushangaza hata video za kuonyesha tukio hilo hazionekani. Rais Magufuli ni kipenzi cha wana KAGERA na wanamwelewa sana ndio maana hata wanafunzi kuanzia chekechea hadi sekondari ilibidi "watoroke" mashuleni wakajae kwa wingi ili kumsikiliza kipenzi chao.

Huu ni mwendelezo tu wa uzushi wao. Chama hiki ni cha kuzusha zusha tu. Kipindi hiki cha kampeni wamezusha kuwa eti "ndege za Magufuli" hazina faida. Huu ni uzushi mkubwa sana. Ndege hizi zimeingiza faida kubwa kwa nchi kwa kusafirisha nyama za mbuzi kwenda mashariki ya Kati.

Pia wamezusha kuwa uwanja wa ndege wa Chato eti hauna manufaa yoyote kwa umma. Je, hawajaona Museveni akitua kusaini mkataba pale? Hawaoni kuwa hata wanyonge wa Vijijini sasa hivi wanaziona NDEGE KUBWA ZIKITUA hivyo kuongeza kipato chao? Lakini hawaoni pia kuwa hali hii ikiendelea basi kila Rais ajaye atajenga uwanja wa ndege KIJIJINI kwake hivyo nchi nzima itajaa viwanja vya ndege na kuwawezesha ng'ombe na mbuzi kuchunga kwenye viwanja vya ndege na hivyo kuiingiza nchi kwenye UCHUMI wa JUU?

Uzushi huu wa CHADEMA unamfanya rais wetu ambaye amejenga VIWANDA 8000 na kutoa Ajira 6,000,000 kwa Watanzania awe mtu wa kupaniki na kufokafoka kwenye majukwaa ya kampeni. Haongelei tena atatufanyia nini Watanzania bali anakuwa anatufokea tu.

WATANZANIA tuwakatae CHADEMA.

Sauti inatosha?

Eebwana!.

1. Viwanda 8000 vimezalisha nini na vimeajri watu 6,000,000/=. Unajua unemployment rate trend ya Tanzania inakwendaje?

2. Hivi faida ya ndege inahitaji kuzushwa ama kutetea. Kwa hiyo ndege zote zinasafirisha nyama ya mbuzi!. Unajua vipaumbele vya taifa wewe?

3. Dogo umezidi kutetemeka. Kama ungelikuwa na elimu japo ya Secondary, bila shaka ungeona haya kusema tunajenga uwanja wa Ndege ili Mseveni awe anasainia pale mikataba na watu askini waone ndege kubwa kubwa zikitua!. Eti zikitua zinaongeza kipato chao!.

Hao ni watu wangapi na itachukua Millenia ngapi kurudisha gharama za kununulia ndege na ujenzi wa huo uwanja? Hiyo ndiyo Economic Planning yako?

Kijana tumia kichwa.
 
Duh inaelekea wewe shuleni ulikuwa unafaulu DIRECT QUESTIONS tu. Na Hesabu lazima ulikuwa unakula ZIRO.
 
Uchaguzi 2020: Watanzania tuwakatae ccm na uzushi na ulaghai wao. Eti Tanzania itakua km ulaya??!! Shein aliahidi Zanzibar itakua km Dubai. Hali ikoje hapo Dubai?
 
Salaam,

CHADEMA wamekuwa na tabia ya kumzushia mambo mengi mabaya Rais wetu na mgombea wa CCM. Mfano jana eti wamezusha kuwa rais wetu alizomewa kule Kagera. Cha kushangaza hata video za kuonyesha tukio hilo hazionekani. Rais Magufuli ni kipenzi cha wana KAGERA na wanamwelewa sana ndio maana hata wanafunzi kuanzia chekechea hadi sekondari ilibidi "watoroke" mashuleni wakajae kwa wingi ili kumsikiliza kipenzi chao.

Huu ni mwendelezo tu wa uzushi wao. Chama hiki ni cha kuzusha zusha tu. Kipindi hiki cha kampeni wamezusha kuwa eti "ndege za Magufuli" hazina faida. Huu ni uzushi mkubwa sana. Ndege hizi zimeingiza faida kubwa kwa nchi kwa kusafirisha nyama za mbuzi kwenda mashariki ya Kati.

Pia wamezusha kuwa uwanja wa ndege wa Chato eti hauna manufaa yoyote kwa umma. Je, hawajaona Museveni akitua kusaini mkataba pale? Hawaoni kuwa hata wanyonge wa Vijijini sasa hivi wanaziona NDEGE KUBWA ZIKITUA hivyo kuongeza kipato chao? Lakini hawaoni pia kuwa hali hii ikiendelea basi kila Rais ajaye atajenga uwanja wa ndege KIJIJINI kwake hivyo nchi nzima itajaa viwanja vya ndege na kuwawezesha ng'ombe na mbuzi kuchunga kwenye viwanja vya ndege na hivyo kuiingiza nchi kwenye UCHUMI wa JUU?

Uzushi huu wa CHADEMA unamfanya rais wetu ambaye amejenga VIWANDA 8000 na kutoa Ajira 6,000,000 kwa Watanzania awe mtu wa kupaniki na kufokafoka kwenye majukwaa ya kampeni. Haongelei tena atatufanyia nini Watanzania bali anakuwa anatufokea tu.

WATANZANIA tuwakatae CHADEMA.

Sauti inatosha?
Jamani Mimi binafsi CCM Basi huwezi kusema unashindwa kuongeza mshahara kwamba vitu vitapanda Bei hivi Bei ya sukari ipo constant ili Hali mshahara upo constant lkn vitu vingne vinapanda Bei Kila kukicha halaf unasimama unatoa weak point Kama Hyo hapana CCM term hii mumechemka
Watanzania ifike hatua tujitambue kuwa wanaposema maendeleo ya watu na haki maana yake ni kwamba maendeleo yawalenge watu na syo bulabula huwezi kujisifia kuwa umenunua ndege,haya umejega uwanja wa kimataifa chato haya watu wa vijini ambao ndo asilimia kubwa ya watanzania wananufaika vipi na huo uwanja na hizo ndege kitu kingne ni kwamba mnasema Tanzania huru na haki wakati huo ukiimba tu wimbo wa kumkosoa rais unatekwa,vitisho vingi lkn ukimsifia unamwagiwa hela Sasa tumechoka na sifa zenu.
Mwana CCM mmoja ajibu hoja syo matusi

Jana nipo sehem moja nahifadhi bendera ya CCM ilikuwepo Ila Sasa kitendo Cha kwenda kupandisha bendera ya upinzani ilizua taharuki kwa watu wa CCM Hadi ikafika hatua watu wanatishiwa maisha kwamba hamtaishi hapa Sasa duuuuuuh nimechoka

Tuambieni kwa Nini mlitaka kumuua lisu na je BENI SANANE Yuko wapi
 
Usishawishi wakatae, washawishi wasikilize, waelewe walinganishe, na wapime ili waweze kuamua, wewe sio komputa ufikiri kwa niaba yetu!
 
Mbona video hamuweki?..

Yani hilo tukio kaliona Lisu tu?
Wacha kuweweseka wewe gamba, anza kufungasha virago vyako maana lissu akiingia ikulu lazima kurudi kwenu Burundi pamoja na ndugu zako
 
Back
Top Bottom