Mmawia
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 122,494
- 96,074
Waache wateseke maana wamepanda wenyewe pilipili kichaaKwa kweli CCM inawatesa wajumbe vibaya
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Waache wateseke maana wamepanda wenyewe pilipili kichaaKwa kweli CCM inawatesa wajumbe vibaya
Upo sahihi kabisa mkuuHata mwalimu Nyerere walimsumbua sana hawa jamaa
Nyambafu kabisa..... Ccm ni chama cha kishetaniSisi wana kigoma bado tunasubiri kigoma yetu ibadilishwe iwe kama Dubai kama tulivyo ahidiwa na Kikwete mwaka 2010
Kweli kabisaHakuna maendeleo kwenye awamu hii miradi yote iliachwa na Kikwete wao wanafanya muendelezo tu na kuingiza ufisadi humo
Anayetakiwa kuwasilisha sera mmeshampanikisha kwa kumsingizia singizia mwisho wa siku anaishia kutufokea tu majukwaani.CCM mnafeli wapi?
Leteni sera zenu tuzione, sio mambo yenu ya uzushi, tushindane kwa hoja
Lete hoja ya faida ya uwanja wa chato na sisi tulete hasara ya uwanja wa chato
Achen kuleta mada za utopolo, mnakula ela za Bure
Salaam,
CHADEMA wamekuwa na tabia ya kumzushia mambo mengi mabaya Rais wetu na mgombea wa CCM. Mfano jana eti wamezusha kuwa rais wetu alizomewa kule Kagera. Cha kushangaza hata video za kuonyesha tukio hilo hazionekani. Rais Magufuli ni kipenzi cha wana KAGERA na wanamwelewa sana ndio maana hata wanafunzi kuanzia chekechea hadi sekondari ilibidi "watoroke" mashuleni wakajae kwa wingi ili kumsikiliza kipenzi chao.
Huu ni mwendelezo tu wa uzushi wao. Chama hiki ni cha kuzusha zusha tu. Kipindi hiki cha kampeni wamezusha kuwa eti "ndege za Magufuli" hazina faida. Huu ni uzushi mkubwa sana. Ndege hizi zimeingiza faida kubwa kwa nchi kwa kusafirisha nyama za mbuzi kwenda mashariki ya Kati.
Pia wamezusha kuwa uwanja wa ndege wa Chato eti hauna manufaa yoyote kwa umma. Je, hawajaona Museveni akitua kusaini mkataba pale? Hawaoni kuwa hata wanyonge wa Vijijini sasa hivi wanaziona NDEGE KUBWA ZIKITUA hivyo kuongeza kipato chao? Lakini hawaoni pia kuwa hali hii ikiendelea basi kila Rais ajaye atajenga uwanja wa ndege KIJIJINI kwake hivyo nchi nzima itajaa viwanja vya ndege na kuwawezesha ng'ombe na mbuzi kuchunga kwenye viwanja vya ndege na hivyo kuiingiza nchi kwenye UCHUMI wa JUU?
Uzushi huu wa CHADEMA unamfanya rais wetu ambaye amejenga VIWANDA 8000 na kutoa Ajira 6,000,000 kwa Watanzania awe mtu wa kupaniki na kufokafoka kwenye majukwaa ya kampeni. Haongelei tena atatufanyia nini Watanzania bali anakuwa anatufokea tu.
WATANZANIA tuwakatae CHADEMA.
Sauti inatosha?
Anayetakiwa kuwasilisha sera mmeshampanikisha kwa kumsingizia singizia mwisho wa siku anaishia kutufokea tu majukwaani.
Duh inaelekea wewe shuleni ulikuwa unafaulu DIRECT QUESTIONS tu. Na Hesabu lazima ulikuwa unakula ZIRO.Eebwana!.
1. Viwanda 8000 vimezalisha nini na vimeajri watu 6,000,000/=. Unajua unemployment rate trend ya Tanzania inakwendaje?
2. Hivi faida ya ndege inahitaji kuzushwa ama kutetea. Kwa hiyo ndege zote zinasafirisha nyama ya mbuzi!. Unajua vipaumbele vya taifa wewe?
3. Dogo umezidi kutetemeka. Kama ungelikuwa na elimu japo ya Secondary, bila shaka ungeona haya kusema tunajenga uwanja wa Ndege ili Mseveni awe anasainia pale mikataba na watu askini waone ndege kubwa kubwa zikitua!. Eti zikitua zinaongeza kipato chao!.
Hao ni watu wangapi na itachukua Millenia ngapi kurudisha gharama za kununulia ndege na ujenzi wa huo uwanja? Hiyo ndiyo Economic Planning yako?
Kijana tumia kichwa.
Acha ujinga jibu hoja!. hapa tunataka facts. Ujinga gani hapa mnaanika utupu wa vichwa vyenu?Duh inaelekea wewe shuleni ulikuwa unafaulu DIRECT QUESTIONS tu. Na Hesabu lazima ulikuwa unakula ZIRO.
Haya bwana. Mchana mwemaAcha ujinga jibu hoja!. hapa tunataka facts. Ujinga gani hapa mnaanika utupu wa vichwa vyenu?
Jamani Mimi binafsi CCM Basi huwezi kusema unashindwa kuongeza mshahara kwamba vitu vitapanda Bei hivi Bei ya sukari ipo constant ili Hali mshahara upo constant lkn vitu vingne vinapanda Bei Kila kukicha halaf unasimama unatoa weak point Kama Hyo hapana CCM term hii mumechemkaSalaam,
CHADEMA wamekuwa na tabia ya kumzushia mambo mengi mabaya Rais wetu na mgombea wa CCM. Mfano jana eti wamezusha kuwa rais wetu alizomewa kule Kagera. Cha kushangaza hata video za kuonyesha tukio hilo hazionekani. Rais Magufuli ni kipenzi cha wana KAGERA na wanamwelewa sana ndio maana hata wanafunzi kuanzia chekechea hadi sekondari ilibidi "watoroke" mashuleni wakajae kwa wingi ili kumsikiliza kipenzi chao.
Huu ni mwendelezo tu wa uzushi wao. Chama hiki ni cha kuzusha zusha tu. Kipindi hiki cha kampeni wamezusha kuwa eti "ndege za Magufuli" hazina faida. Huu ni uzushi mkubwa sana. Ndege hizi zimeingiza faida kubwa kwa nchi kwa kusafirisha nyama za mbuzi kwenda mashariki ya Kati.
Pia wamezusha kuwa uwanja wa ndege wa Chato eti hauna manufaa yoyote kwa umma. Je, hawajaona Museveni akitua kusaini mkataba pale? Hawaoni kuwa hata wanyonge wa Vijijini sasa hivi wanaziona NDEGE KUBWA ZIKITUA hivyo kuongeza kipato chao? Lakini hawaoni pia kuwa hali hii ikiendelea basi kila Rais ajaye atajenga uwanja wa ndege KIJIJINI kwake hivyo nchi nzima itajaa viwanja vya ndege na kuwawezesha ng'ombe na mbuzi kuchunga kwenye viwanja vya ndege na hivyo kuiingiza nchi kwenye UCHUMI wa JUU?
Uzushi huu wa CHADEMA unamfanya rais wetu ambaye amejenga VIWANDA 8000 na kutoa Ajira 6,000,000 kwa Watanzania awe mtu wa kupaniki na kufokafoka kwenye majukwaa ya kampeni. Haongelei tena atatufanyia nini Watanzania bali anakuwa anatufokea tu.
WATANZANIA tuwakatae CHADEMA.
Sauti inatosha?
Yaonekana waliletwa trip ya kwanza, mapema sana kutoka Ibwera wakati hotuba ni mchanaBasi sawa..!View attachment 1572054
Ni uzushi wa CHADEMAKwahiyo unataka kusema uwanja wa chato anasingiziwa
Sent from my TECNO CA7 using JamiiForums mobile app
Wacha kuweweseka wewe gamba, anza kufungasha virago vyako maana lissu akiingia ikulu lazima kurudi kwenu Burundi pamoja na ndugu zakoMbona video hamuweki?..
Yani hilo tukio kaliona Lisu tu?
Wengine walisombwa na mabus ya karagwe kwenda bukoba mjini walilala hapo Gymkhana groundYaonekana waliletwa trip ya kwanza, mapema sana kutoka Ibwera wakati hotuba ni mchana
Mbona video hamuweki?..
Yani hilo tukio kaliona Lisu tu?