Watanzania tuwe makini na vyombo vya habari vya Kibeberu. CNN wazusha kukamatwa kwa Freeman Mbowe ni amri ya Rais Samia!

Mkuu asilimia kubwa ya wamarekani wenyewe wanatambua CNN, Tweeter na Facebook ni tools za mabeberu na hizi vyombo vya habari zipo very biased katika kutoa habari. CNN ilitumika sana katika kampeni dhidi ya chama cha Republicans katika uchaguzi wa urais huko Marekani. Ni muhimu kwa serikali kuichukulia hatua kali tweeter ikiwezekana kuifungia kabisa kwani imekuwa platform ya genge la wahuni katika kutumika kutoa lugha chafu chafu dhidi ya serikali.
 
UZALENDO NDO KUMKAMATA FAM?? KUMPIGA TUNDU LISU RISAS? KUPORA HELA KUPITIA TOZO? KUDAI KATIBA NDO UGAIDI? Mnapenda kusifia mmekuwa CHAWA wote kama baba levo
 
Naomba nitajie sifa za dikteta.
10 Ways to Tell if Your President Is a Dictator


1. Systematic efforts to intimidate the media.

2. Building an official pro-dictator/ruler media network....... Msiba et al

3. Politicizing the civil service, military, the domestic security agencies.

4. Using government surveillance against domestic political opponents.

5. Using state power to reward corporate backers and punish opponents.

6. Stacking the Judiciary.

7. Enforcing the law for only one side.

8. Really rigging the system.

9. Fear mongering.


10. Demonizing the opposition
 
👊👍
 
Tutawasifia wakitupa $600M za wizara za Afya na chanjo lakini kukosolewa hatutaki

View attachment 1866452
Tunaweza kuiweka hivi?!

Hivi......

Kwani mtu anapotoa msaada na mpokeaji akashukuru huo msaada....ndani yake ni lazima kuwe na MKATABA WA MASHARTI....

Masharti ya kuweza kukukosoa pale atakapo.....?
Masharti ya kukuchagulia yeye jinsi ya kukukosoa.....?

By the way kama BINADAMU tunaotegemeana ,UTU ni kusaidiana hususani ukikumbuka AFRIKA ndio iliyotoa NGUVU KAZI NA RASLIMALI kuijenga DUNIA YA MAGHARIBI.....

#KaziInaendelea
#NchiKwanza
#UtulivuKwanza
 
CNN mambo ya Tanzania wao yanawahusu kitu gan??

Fake mainstream media hawawez kuingilia mambo yetu ya ndan,so chadema wanadhan hao CNN watawasaidia kitu gan
 
Ila mkuu paskali ,kweli mbele za mungu wewe binafsi huamini kwamba kukamatwa KWA mh MboweSSH rais,hausiki?
 
CNN mambo ya Tanzania wao yanawahusu kitu gan??

Fake mainstream media hawawez kuingilia mambo yetu ya ndan,so chadema wanadhan hao CNN watawasaidia kitu gan
 
CNN wazee wa "BIASES"......

Jiulize hivi....

KUPENDA KWAO MAANDAMANO YA KIDEMOKRASIA DHIDI YA TAWALA
**************************

Mathalani maandamano ya demokrasia ya nchini BAHRAIN hawakuyaripoti kabisa ijapokuwa CNN ndicho chombo cha nchi za magharibi kinachoangaliwa zaidi MASHARIKI YA KATI....wao walikata "kona" na kuripoti habari za IRAN na SYRIA🤣🤣

Leo akitokea Prof.Cheeseman na kuongea bila ya kupata habari kutoka AUTHORITATIVE SOURCE basi unaelewa tu ule mwendelezo wao wa "KUMILI PANDE MASLAHI"......

#KaziIendelee
 
Tueleze ukweli wewe basi kukakamtwa kwa Mbowe ni amri ya nani?
 
Jamaa una phobism tu na vyombo vya habari vya kibeberu nadhani hata huwa unakurupuka sana ndotoni ukiota unaangalia CNN
 
Mawazo mfu!
Mnarudisha tena lugha za kijinga ati vyombo vya mabeberu na huku wiki hii hii tumepokea chanjo toka kwao.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…