Maneno Meier
JF-Expert Member
- May 12, 2013
- 2,467
- 1,697
Naomba nitajie sifa za dikteta.Paskal are you that much hopeless? Madikiteita huwa wanafanyaje, kumbe wewe ni matope kichwani!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Naomba nitajie sifa za dikteta.Paskal are you that much hopeless? Madikiteita huwa wanafanyaje, kumbe wewe ni matope kichwani!
Wanabodi,
Wiki iliyopita nilialikwa TBC kwenye kipindi cha Mizani, kinachoendeshwa na Dr. Ayoub Rioba. Mada kwenye kipindi hicho ni "Dhima ya Vyombo vya Habari Kulinda Maslahi ya Taifa".
Kwenye mjadala kuliibuka hoja jinsi Vyombo vya habari vya nje vinavyoibagaza Africa katika ripoti zake. Kwao kuibagaza Africa ndio maslahi kwao kwa mataifa yao.
Juzi Mwenyekiti wa Chadema, Mhe. Freeman Mbowe amekatwa na Polisi na tuhuma za kijinai.
CNN wameripoti hivi:
Katika ripoti hiyo, kwanza CNN, hawakutafuta any authoritative source Kutoka nchini Tanzania, zaidi ya kuokoteza habari hiyo kama ilivyoripotiwa na media mbalimbali za ndani.
Kwa vile CNN ni chombo cha kibeberu, hivyo kina agenda ya kubagaza, CNN wakamtafuta Prof. Nic Cheeseman, ni Professor wa Democracy, University of Birmingham, kabla ya hapo, alikuwa Director wa African Studies Centre at Oxford University, ili kuichambua habari hiyo.
Prof. Huyo akatunga uongo wa wazi wa mchana kweupe kuwa Freeman Mbowe, amekamatwa kwa amri ya rais Samia ili ku divert attention ya vuguvugu la katiba na tozo kwenye miamala ya simu!.
Huu sio uongo wa mchana kweupe?. Yaani hata kwa akili ya kawaida tuu, yaani Rais wetu Samia atoe amri ya Kukamatwa kwa Mbowe, kisa ni vuguvugu la mjadala wa katiba mpya na tozo za miamala?!, Watanzania tusijue, aliyemkamata Mbowe, amezungumza na sababu ametoa, CNN badala ya kutafuta the reliable sources, wanatuletea wazushi na kutuletea uzushi!. Ukisikia Ajenda hasi ndio hizi!.
Kwa vile hii ni lugha ya watu, na pia naufahamu uwezo wa wengi wetu kwenye uelewa hizi lugha za watu, hivyo ili kuwasaidia wale wenzangu na mimi, sikiliza kwa makini jibu la swali la pili.
"it is a crackdown, she has launched or pretended to launch all along"
Watanzania Wazalendo lazima tuwe makini sana na Vyombo hivi, unaweza kujikuta unasambaza taarifa ya kuibagaza nchi yako, rais wako na watu wako bila kujijua.
Uzalendo wa kweli ni kutanguliza mbele maslahi ya nchi yako, maslahi ya taifa lako, maslahi ya watu wako.
Mungu Ibariki Tanzania.
Paskali

10 Ways to Tell if Your President Is a DictatorNaomba nitajie sifa za dikteta.
Wewe utakuwa darasa la saba... au graduate wa vyuo vya kata! if you cant contemplate that! Umeseoma [political conomy of capitalism na socialism? Anyway, kwa swali lako nimekuelimisha hapo juu. Sorry for this may be the unpleasant response, but sina jinsi ya kuiweka.Naomba nitajie sifa za dikteta.
Nilidhani utamkosoa kwa kutotumia "argumentum ad hominem" kinyume chake umeona ni sawa tu kwa CNN kutocite AUTHORITATIVE SOURCE katika habari yao....pascal ni mchumia tumbo mpuuz kabisa
👊👍Taarifa ya Msemaji wa Polisi, David Misime imesema kuwa Mbowe hakukamatwa kwa tuhuma za kupanga na kuandaa kongamano la Katiba mpya jijini Mwanza bali alifahamu tuhuma zinazomkabili .
"Mbowe alikuwa anafahamu fika kuwa tuhuma zinazomkabili zilikuwa zinachunguzwa na wakati wowote angehitajika Polisi kwa hatua za kisheria mara tu uchunguzi wake utakapokamilika.
Hatua hiyo imefikiwa sasa," alisema Misime.
Hivyo, kilichoongelewa CNN na profesa Cheeseman ni maoni yake mwenyewe na angetumia maneno kama "nadhani" na "nahisi" serikali imeamua kumkata kutokana na hayo angeeleweka kuwa haenezi propaganda.
Kisha akaenda mbali zaidi kueleza kuwa ndani ya serikali kuna hardliners na masalia ya hayati Magufuli, kwani walitaka masalia waende na Magufuli na yataondoka taratibu kama shida ni masalia?
Kwa kuwa dhamira yao ya kuona Magufuli hayupo imetimia sasa wanakuwa "frustrated" kuona hakuna dalili za kubadili kila kitu kwa faida yao.
Lakini pia Profesa Cheeseman hapaswi kutumia elimu yake kuwahadaa watazamaji na walaji habari walioko hukohuko majuu kwa maslahi yake binafsi.
Tunaweza kuiweka hivi?!Tutawasifia wakitupa $600M za wizara za Afya na chanjo lakini kukosolewa hatutaki
View attachment 1866452
Case Closed.ili ku divert attention ya vuguvugu la katiba na tozo kwenye miamala ya simu!.
Wanabodi,
Wiki iliyopita nilialikwa TBC kwenye kipindi cha Mizani, kinachoendeshwa na Dr. Ayoub Rioba. Mada kwenye kipindi hicho ni "Dhima ya Vyombo vya Habari Kulinda Maslahi ya Taifa".
Kwenye mjadala kuliibuka hoja jinsi Vyombo vya habari vya nje vinavyoibagaza Africa katika ripoti zake. Kwao kuibagaza Africa ndio maslahi kwao kwa mataifa yao.
Juzi Mwenyekiti wa Chadema, Mhe. Freeman Mbowe amekatwa na Polisi na tuhuma za kijinai.
CNN wameripoti hivi:
Katika ripoti hiyo, kwanza CNN, hawakutafuta any authoritative source Kutoka nchini Tanzania, zaidi ya kuokoteza habari hiyo kama ilivyoripotiwa na media mbalimbali za ndani.
Kwa vile CNN ni chombo cha kibeberu, hivyo kina agenda ya kubagaza, CNN wakamtafuta Prof. Nic Cheeseman, ni Professor wa Democracy, University of Birmingham, kabla ya hapo, alikuwa Director wa African Studies Centre at Oxford University, ili kuichambua habari hiyo.
Prof. Huyo akatunga uongo wa wazi wa mchana kweupe kuwa Freeman Mbowe, amekamatwa kwa amri ya rais Samia ili ku divert attention ya vuguvugu la katiba na tozo kwenye miamala ya simu!.
Huu sio uongo wa mchana kweupe?. Yaani hata kwa akili ya kawaida tuu, yaani Rais wetu Samia atoe amri ya Kukamatwa kwa Mbowe, kisa ni vuguvugu la mjadala wa katiba mpya na tozo za miamala?!, Watanzania tusijue, aliyemkamata Mbowe, amezungumza na sababu ametoa, CNN badala ya kutafuta the reliable sources, wanatuletea wazushi na kutuletea uzushi!. Ukisikia Ajenda hasi ndio hizi!.
Kwa vile hii ni lugha ya watu, na pia naufahamu uwezo wa wengi wetu kwenye uelewa hizi lugha za watu, hivyo ili kuwasaidia wale wenzangu na mimi, sikiliza kwa makini jibu la swali la pili.
"it is a crackdown, she has launched or pretended to launch all along"
Watanzania Wazalendo lazima tuwe makini sana na Vyombo hivi, unaweza kujikuta unasambaza taarifa ya kuibagaza nchi yako, rais wako na watu wako bila kujijua.
Uzalendo wa kweli ni kutanguliza mbele maslahi ya nchi yako, maslahi ya taifa lako, maslahi ya watu wako.
Mungu Ibariki Tanzania.
Paskali
Kwa hiyo ungekuwa ndio wewe mwandishi wa habari....je tukupigie makofi kwa kunukuu taarifa nyeti kutoka kwa NON-AUTHORITATIVE SOURCE?Mayala jiheshimu! Ni swala la kujitambua tu, sipendi uzalendo wenu wa hovyo!

Sio ajabu aliishia redio Tanzania daresalaam na dtvJamaa una phobism tu na vyombo vya habari vya kibeberu nadhani hata huwa unakurupuka sana ndotoni ukiota unaangalia CNN