Tetty
JF-Expert Member
- Jan 6, 2012
- 26,355
- 21,411
iniume nini kwani we unalisha? Labda wewe ndo unaumia maneno yangu yenye ukweli kwako, pole pia ndo ukubwa huo vumilia lakini ukiona unaumi sana kanywe sumu ufe.
Walasijaumia maana hebu angalia LUGHA yangu na LUGHA yako zilivyotofauti.Lugha yako imekaa kama tunagombana.Inshort kama avarta yangu inavyoonyesha mimi Nitaendelea kushawishi washawishiwa wa KURA ya HAPANA kama walivyotamka viongozi wetu wa dini.
Na wewe pia nakualika kwenye KIJIWE cha KURA YA HAPANA,nausemea moyo wangu,na nitaendelea kuusemea moyo wangu.
Mimi ni mimi nilizaliwa na kuumbwa kama mimi,sikuzaliwa na kuumbwa kama wewe,na wewe ni wewe.
Unamaisha yako,unamawazo yako,unauamuzi wako,hivyo ASLANI siwezi kuingilia HAKI zako za msingi kama RAIA ,MPIGA KURA,nitayaheshimu maamuzi yako sababu ni ya kwako,hata siwezi kukulazimisha kutenda nitakavyo mimi,ndivyo ningefurahi pia kama utayaheshimu maamuzi yangu sababu ni yangu na sivunji sheria wala HAKI za msingi za wengine.
Tuheshimiane katika kutofautiana kwetu,kwani tumeumbwa kila mtu na akili,na uwezo wake wa kupembua mambo,na kila mtu ana maamuzi yake.