Dragunov Sniper
JF-Expert Member
- Mar 9, 2015
- 2,795
- 9
Sorry kwa kukugusa. Kumbe na wewe ni mmoja wa wale walioletwa JF kwa malengo maalum. Vumilia tu maana uko kazini, ila watch out: never waste your life obeying some fool's orders!
du umenishangaza sanaaa......kwa kuwa naona unafanya kazi ya kupiga ramli,nilichosema ni kuwa umeishiwa hoja,sasa swala la watu wanaotumia id fake mie linanihusu nn coz naona umegeuza hilo kuwa ni mjadala hapa badala ya kujadili hoja zenye mashiko,nadhani ww ni mamluki ndio maana unahisi kila mtu ni kama ww