Watanzania uvivu wa kusoma mambo utatuponza,tusome katiba pendekezwa jamani.

bora umekiri umekiri mwenyewe kuzidiwa na hoja,ulidhani jf ni shamba la bibi unaingia na uyoga wako then unaanza kuuza ukafiri utapata support -never jipange upya matusi unayo mwenyewe ila ukianza na mimi namaliza mvivu wa kufikiri.

Am to senior to argue with a fool like you my dear little sister.
 
nenda kalale wapishe wenye hoja wachangie huelewi maudhui yake na hata ukielewa haitakusaidia wewe si raia wa tanzania.

Sishangai kwa namna uliyojibu, sio wewe mwenyewe hata wale wote wanaokuja kwenye vipindi vya redio na tv na hata jukwaani hawana uwezo wa kuitetea katiba pendekezwa zaidi ya ubabe na lugha za kulewa madaraka. Kwa mfano jana nilimuona Mzee Kingunge chanel 10 akielezea uzuri wa katiba pendekezwa. Akaja na porojo kama kawaida akidhani bado watanzania ni wale wa enzi zile za kuonyeshwa mauaji ya Rwanda, ilikuwa ni aibu wakati watu walipoanza kupiga simu, ilibidi mtanganzaji amlinde kutokana na umri wake kwani shughuli ilikuwa pevu, alichoulizwa yeye hajibu analeta blablaa na mtanganzaji wa kugundua hilo ikabidi apotezee baadhi ya maswali. Na hata wewe hapa ulipo umeshinda kunipa hata hicho unachoona ni bora bali umeishia kutoa kejeli kwa kuniita sio raia. Nilitaraji ungenishawishi wangalau kwa kunipa mambo matatu mazuri kama mimi nilivyokupa madhaifu matatu dhahiri ya katiba pendekezwa. Kumbe wewe ni walewale wanaodhani kuwa kiongozi unaakili kuliko unaowaongoza. Pole ndugu yangu ngoja nikalale kama ulivyoniamuru mimi raia wa kigeni.
 
umezidiwa unabakia kuweka katuni,tupia yako pia maana na wewe ni katuni.

Ningekuwa mzazi wako,nineumia sana.Sijashindwa kwenye hoja ila sababu ninajitathmini THAMANI yangu.Na ninapenda kupokea mawazo mbadala,na nina heshimu mawazo ya mtu kwa uamuzi wake anaoufanya,na sipendi hoja zinazoambatana na MATUSI.

Nilipoona mmejenga hoja zenu kwenye MATUSI,nimewavalue ZERO BRAIN,hivyo thamani yangu ni kubwa mno kubishana na watoto wadogo wasio na uwezo wa kukubaliana katika mawazo kinzani.

Na ndiyo maana nitaendelea kusema usipoteze muda wako kubishana na mimi tuko level tofauti.

Level yangu ya kufikiri outside the box ipo juu zaidi kuliko level yako.Na wazungu wanasema.."Never argue with a fool"sababu mwisho wa siku hatutakuwa na tofauti.

:bored::bored::bored::bored: .Nitashukuru sana kama utaheshimu mawazo yangu.Na kama ulitegemea nitakutukana ili nipate BAN basi umepotea haitakaa itokee.Ningekushauri tu binadamu tunamawazo tofauti inabidi tuheshiane hivyo hivyo.

Hata kama nitafanya kampeni ya HAPANA bado sikunyimi wewe kufanya kampeni ya NDIYO,hivyo heshimu mawazo kinzani haijalishi unataka au hautaki,bado kuna HAKI ya WATANZANIA kupiga KURA ya HAPANA au NDIYO kwenye KATIBA ya FISADI CHENGE,usilazimishe kwa matusi na kudhalilisha.Kuwa mtaarabu,
 
Ndugu umemjibu kwa busara ya hali ya juu, unaweza kukuta alikuwa mjumbe katika BMK. Hebu jaribu kuwaangalia waliokuwa wajumbe wa BMK ukiwatoa UKAWA wanapoitetea katiba pendekezwa mbona utapata raha, yaani unaona watu wanalazimisha kabisa hoja, na wakipigwa maswali kuhusu udhaifu hawana majibu zaidi ya blablaa na jazba juu. Fuatilia tu wote utagundua udhaifu huo kama huyu hapa uliyemjibu.
 
Na wanachofanya ni kuwatafutie watu wenye mawazo tofauti na wao wapate BAN ili wasipate wa kuzijibu hoja zao.Wengi wanatumia MATUSI na lugha za kudhalilisha sana.Ninachokishangaa ninamna mods wanavyowaacha watu hawa watusi wenzao bila sababu za msingi.

Hasa inapotokea HOJA kinzani inaumiza basi utapata MATUSI mpaka basi,kuna siku mmoja aliniwekea wazi intention yake kwamba alitaka tu nipate BAN na hana sababu za msingi.Sielewi JF ilikuwa eneo ambalo wengi tulipenda hoja zilivyokuwa zinajibiwa kwa hoja lakini sasa hivi hata usiependa kujibu utumbo unalazimishwa kujibu.Ni shida sana,na waanzilishi wa Jukwaa hili wanapaswa kulifanyia kazi ili kuitendea HAKI JF irudi kama ilivyokuwa.

Ninashaa ukisoma HOJA za Jukwaa la GT hukuti matusi ni HOJA kwa HOJA ,sijui pande hii imekuwaje.
 
Ndugu yangu hili jukwaa lilianza kuharibika rasmi siku kamati kuu ya ccm ilipokaa na kutoka na wazo la kuweka vijana wa kujibu hoja mitandaoni eti kurudisha haiba ya ccm. Nadhani unakumbuka Nape alitembelea vyombo vyote vya habari na kuhakikisha eti ccm inaandikwa vizuri kwani kwa mujibu wa mitazamo yao hawakuwa wanatumia media vizuri. Sio wazo baya kwani nilitarajia kama chama kikongwe kuona kinajenga hoja zenye mashiko, lakini looh!! Nilishangaa kuanza kuona zile mbinu za ulaya mashariki ya zamani za kuingilia mijadala na kuprovoke watu ili mada iharibike. Ninaweza kusema kweli wamefanikiwa kwa kiasi kikubwa kwenye hilo, kwani hili jukwaa kwa sasa limekuwa ni kinyaa kabisa. Na usishangae wanaoleta post za kipuuzi ni viongozi wakubwa hata wa serekali kwa kujificha kwenye id fake huku wakifanya upotoshaji mkubwa kwa makusudi kabisa.
 
Tatzio vijana hawa wamesahau kuwa Tanzania ni yetu sote.Wamewabebesha mawe kwenye ubongo wa vijana.Inatia huruma.Kijana anashindwa kutoa mawazo yake,sijui wanataka tuwe na Taifa la YES SIR?

Taifa lisilohoji,Taifa linalokubali Mabaya na mazuri bila kufikiria upande wa pili.Taifa la vijana wasiotambua UHURU wao wa mawazo.Sijui lakini inasikitisha sana.
 
Unaposema kitu ambacho hukipendi toa mifano hai ili ujibiwe kwa ufasaha, ni wapi hapo ambapo unasema haijajali wananchi? wananchi gani hao? Au ukitaka matakwa yako binafsi? Kwa taarifa yako hii katiba inayopendekezwa imejali makundi mbalimbali na ukweli wa suala hili unapatikana katika katiba inayopendekezwa katika sura ya tano ibara ya 56 (haki za makundi madogo katika jamii), pia soma ibara ya 46 haki za wakulima, wafugaji, wavuvi na wachimba madini (watumiaji wa ardhi), kwa maneno hayo naamini nitakuwa nimekusaidia kukujibu na kukutoa wasiwasi kuhusu wananchi.

Hakuna tatizo katika hilo kwani hata hiyo "kura ya ndiyo" inayopigiwa debe kwa nguvu sana itakuwa kura yake binafsi, wala si kura ya kundi lake.
 
hakuna tatizo katika hilo kwani hata hiyo "kura ya ndiyo" inayopigiwa debe kwa nguvu sana itakuwa kura yake binafsi, wala si kura ya kundi lake.

kaka c umeombwa utoe jibu? Sasa mbona unazungulukazunguluka tuu humu ndani, kama umeishiwa maneno wewe chapalapa uwaache wenye kujua kazi ya kujibu hoja za watanzania.
 
Nani mwenye hati miliki ya kutoa elimu ya katiba mpya?
Kuna watu wanataka wenyewe tu ndo wasikilizwe. Akisema mtu mwingine wanasema 'anashawishi na kuongilia mawazo binafsi ya mtu mwenye maamuzi' akisema yeye anatoa elimu.

Watanzania tumegawanyika kwa sasa tupo:
1. Ambao hatujaisoma katiba lakini kwa kuwa fulani amesema poa au sio poa basi tutapiga kura ya ndio au hapana kwa kuwa tunamuamini huyo mtu 100% na maamuzi yake kwetu ni muafaka kabisa. Sisi hata mikutano au kusoma au makelele yoyote hayatuhusu msijisumbue na sisi. Tumeshafanya au tumeshafanyiwa maamuzi.
2. Tuko na sie ambao hatujaisoma katiba tunatamani tuipate tuisome tufanye maamuzi so kama ikitokea tukaipata mapema tukaisoma tunaweza kuikubali au kuikataa. Wenye jukumu chonde chonde mtuangalie muda uanisha. Muda ukiisha kabla ya kuisoma kura itakuwa ya hapana ila wengine hatutaenda kupiga kura.
3. Tuko wale tulioisoma kidogo na kuichukia rasmi. Tumesha fanya maamuzi hatuitaki mpaka iboreshwe. Kura ya hapana. Msijichoshe kutuhubiria.
4. Tuko ambao tumeshaona tulichotaka kwenye latiba pendekezwa tayari hata kama kwingine tunahisi hakutuhusu sana. Maadamu kikio chetu kimesikilizwa tumefurahi sana. Very risky kutokuipitisha katiba hii kwani vipengele vinaweza kutolewa. Lazima tutaipigia kura ya ndio. Hamna haja kuhangaika na sisi. Hakikisheni tu hamsogezi tarehe za upigaji kura mbele.
5. Sie ambao hatujasoma tunategemea kuendelea kusikiliza majukwaani au maredioni na kwenye vyombo vingine. Maoni ya wachambuzi. Sie ni watanzania halisi tunaenda na upepo nadhani tupo wengi endeleeni kutushawishi upepo utakapoishia ndio hapo maamuzi yetu yalipo.
 
You are pathetic. Jinsi unavyoandika na maneno unayotumia vinanipa picha kujua wewe ni mtu wa namna gani. Uko chini ile mbaya! Nitajitahidi kutojihusisha na wewe kimjadala maana wewe umekaa ki-mipasho-mipasho.

Wenye kujibu hoja zako za kipuuzi nani kawazuia? Mimi natumia nafasi yangu kuongea kila ninachojisikia kuongea na wala simzuii mtu kuongea anachojisikia kuopngea. na pia simlazimishi mtu kusoma kile nilichoandika. kama umekisoma kikakuudhi, NISAMEHE, kisha uendelee na kampeni zako za NDIYO!
 
Nani mwenye hati miliki ya kutoa elimu ya katiba mpya?
Kuna watu wanataka wenyewe tu ndo wasikilizwe. Akisema mtu mwingine wanasema 'anashawishi na kuongilia mawazo binafsi ya mtu mwenye maamuzi' akisema yeye anatoa elimu.

Watanzania tumegawanyika kwa sasa tupo:
1. Ambao hatujaisoma katiba lakini kwa kuwa fulani amesema poa au sio poa basi tutapiga kura ya ndio au hapana kwa kuwa tunamuamini huyo mtu 100% na maamuzi yake kwetu ni muafaka kabisa. Sisi hata mikutano au kusoma au makelele yoyote hayatuhusu msijisumbue na sisi. Tumeshafanya au tumeshafanyiwa maamuzi.
2. Tuko na sie ambao hatujaisoma katiba tunatamani tuipate tuisome tufanye maamuzi so kama ikitokea tukaipata mapema tukaisoma tunaweza kuikubali au kuikataa. Wenye jukumu chonde chonde mtuangalie muda uanisha. Muda ukiisha kabla ya kuisoma kura itakuwa ya hapana ila wengine hatutaenda kupiga kura.
3. Tuko wale tulioisoma kidogo na kuichukia rasmi. Tumesha fanya maamuzi hatuitaki mpaka iboreshwe. Kura ya hapana. Msijichoshe kutuhubiria.
4. Tuko ambao tumeshaona tulichotaka kwenye latiba pendekezwa tayari hata kama kwingine tunahisi hakutuhusu sana. Maadamu kikio chetu kimesikilizwa tumefurahi sana. Very risky kutokuipitisha katiba hii kwani vipengele vinaweza kutolewa. Lazima tutaipigia kura ya ndio. Hamna haja kuhangaika na sisi. Hakikisheni tu hamsogezi tarehe za upigaji kura mbele.
5. Sie ambao hatujasoma tunategemea kuendelea kusikiliza majukwaani au maredioni na kwenye vyombo vingine. Maoni ya wachambuzi. Sie ni watanzania halisi tunaenda na upepo nadhani tupo wengi endeleeni kutushawishi upepo utakapoishia ndio hapo maamuzi yetu yalipo.

TATIZO KUBWA LA BAADHI YA WATANZANIA NI KUWEKA UGUMU KATIKA KUSOMA, HAPO NDO TATIZO KUBWA LINALOSUMBUA, KWA MFANO, UKIMUULIZA MTU KATIBA YA 1977 UNAIJUA AU UMEISOMA LAZIMA ATAKUJIBU HAIJUI, JE KATIBA HII INAYOPENDEKEZWA UTAIJUA VIPI KAMA HUISOMI? MATOKEO YAKEWANAKUJA HUMU NDANI WANASHAWISHI WATU LKUWA ETI KATIBA HII INA MAPUNGUFU UKIMWAMBIA YATAJE HAYO MAPUNGUFU WALA HAYAJUI KABISAA NA ANASHINDWA HATA KUTETEA HOJA. HII NISHEEDAH JAMANI!!. Duh
 
Kwa muda mrefu nimekuwa nikijiuliza kwa watanzania wenzangu, kwa sasa kila mtu kwa anaweza kutunufaika na maendeleo ya technolojia ya mawasiliano bila kujalisha yupo mjini ama vijijini,kwa sasa ni rahisi hata kwa watu ambao hawana elimu ya kawaida, unamkuta yumo FB,Wasap na pia kuangalia taarifa zingine kupitia simu! Katika siku za hivi karibuni watu wengi wamekuwa wakilalamikia kutopata nakala za katiba,lakini mie kengele leo imegonga kichwani nikaona watu walivyo na ueledi mkubwa wa matumizi ya mitandao ya kijamii na katiba pendekezwa jitihada kidogo tu mtu waweza ipata kupitia mitandao hiyo.

Sasa je swali la kujiuliza kwamba kama si ushabiki wa kisiasa tu,kweli mtu ukipania kuisoma huwezi kuisoma kweli? AMA tukisikia kauli za kisiasa tunapandia hapo hapo,sidhani kama tunaweza kwenda kwa mfumo huu,nijuavyo mie watanzania waliowengi hawana utamanaduni wa kusomo mrundikano wa maandishi hilo hakuna hata mmoja anagusia,ila kusema nakala hazijasambazwa zile za hard copy,hiyo ndo inakuwa habari ya mjini.

Mie nadhani kutokana na umhimu wa katiba katika mstakabali wa nchi kwa siku zijazo kila mtu angepumnzika kidogo tu kuchat na kuingia online kuisoma katika inayopendekezwa,na si kuishia malalamiko ambayo nahisi ni ya wachache kwamba hawawezi kupata nakala ya katiba pendekezwa, ila wengine ni kama hatutaki tu kuifikia katiba hiyo kwa ya kimitandao.

Nawasilisha jamvini mawazo tete haya
Nadhani ni muda muafaka kwetu watanzania kuanza utamaduni wa kuisoma katiba pendekezwa kwa wale wenzangu ambao bado hatujaanza ili tuepuke upotoshaji unaofanywa na watu wachache
 
Ndugu yangu hili jukwaa lilianza kuharibika rasmi siku kamati kuu ya ccm ilipokaa na kutoka na wazo la kuweka vijana wa kujibu hoja mitandaoni eti kurudisha haiba ya ccm. Nadhani unakumbuka Nape alitembelea vyombo vyote vya habari na kuhakikisha eti ccm inaandikwa vizuri kwani kwa mujibu wa mitazamo yao hawakuwa wanatumia media vizuri. Sio wazo baya kwani nilitarajia kama chama kikongwe kuona kinajenga hoja zenye mashiko, lakini looh!! Nilishangaa kuanza kuona zile mbinu za ulaya mashariki ya zamani za kuingilia mijadala na kuprovoke watu ili mada iharibike. Ninaweza kusema kweli wamefanikiwa kwa kiasi kikubwa kwenye hilo, kwani hili jukwaa kwa sasa limekuwa ni kinyaa kabisa. Na usishangae wanaoleta post za kipuuzi ni viongozi wakubwa hata wa serekali kwa kujificha kwenye id fake huku wakifanya upotoshaji mkubwa kwa makusudi kabisa.

Kwa mtindo huu natamani ifikie wakati tusiwe tunatumia ID feki hapa JF ili hao waliopachikwa kutuharibia jukwaa letu warudi walikotoka! Hasara inayopatikana sasa inazidi ile inayoweza kupatikana kwa kutambulika.
 
Nani mwenye hati miliki ya kutoa elimu ya katiba mpya?
Kuna watu wanataka wenyewe tu ndo wasikilizwe. Akisema mtu mwingine wanasema 'anashawishi na kuongilia mawazo binafsi ya mtu mwenye maamuzi' akisema yeye anatoa elimu.

Watanzania tumegawanyika kwa sasa tupo:
1. Ambao hatujaisoma katiba lakini kwa kuwa fulani amesema poa au sio poa basi tutapiga kura ya ndio au hapana kwa kuwa tunamuamini huyo mtu 100% na maamuzi yake kwetu ni muafaka kabisa. Sisi hata mikutano au kusoma au makelele yoyote hayatuhusu msijisumbue na sisi. Tumeshafanya au tumeshafanyiwa maamuzi.
2. Tuko na sie ambao hatujaisoma katiba tunatamani tuipate tuisome tufanye maamuzi so kama ikitokea tukaipata mapema tukaisoma tunaweza kuikubali au kuikataa. Wenye jukumu chonde chonde mtuangalie muda uanisha. Muda ukiisha kabla ya kuisoma kura itakuwa ya hapana ila wengine hatutaenda kupiga kura.
3. Tuko wale tulioisoma kidogo na kuichukia rasmi. Tumesha fanya maamuzi hatuitaki mpaka iboreshwe. Kura ya hapana. Msijichoshe kutuhubiria.
4. Tuko ambao tumeshaona tulichotaka kwenye latiba pendekezwa tayari hata kama kwingine tunahisi hakutuhusu sana. Maadamu kikio chetu kimesikilizwa tumefurahi sana. Very risky kutokuipitisha katiba hii kwani vipengele vinaweza kutolewa. Lazima tutaipigia kura ya ndio. Hamna haja kuhangaika na sisi. Hakikisheni tu hamsogezi tarehe za upigaji kura mbele.
5. Sie ambao hatujasoma tunategemea kuendelea kusikiliza majukwaani au maredioni na kwenye vyombo vingine. Maoni ya wachambuzi. Sie ni watanzania halisi tunaenda na upepo nadhani tupo wengi endeleeni kutushawishi upepo utakapoishia ndio hapo maamuzi yetu yalipo.

nadhani ndg unahitaji kuelewa kwamba unapozungumzia katiba pendekezwa ni mustakabali wa taifa hili,hivyo unapotoa mawazo yako ni sawa lakini usiweke ushawishi kwamba kuna watu wameelewa na wengine hawaelewi,katiba hii ni ya watanzania sasa unataka kusema hawajui wanachokifanya,ndg yangu hebu tuwahamasishe watanzania wasome katiba pendekezwa na mwisho wataamua wnyewe,sio kuwafanyia maamuzi saizi,kwamba katiba haifai,nadhani hujaisoma katiba yenyewe kabla ya kutoa mawazo yako,kazi kwako jielimishe kwanza kabla ya kuja na utafiti wako ambao una taarifa za kuokoteza tu
 
Kwa mtindo huu natamani ifikie wakati tusiwe tunatumia ID feki hapa JF ili hao waliopachikwa kutuharibia jukwaa letu warudi walikotoka! Hasara inayopatikana sasa inazidi ile inayoweza kupatikana kwa kutambulika.

mtu ukiishiwa hoja si afadhali uchukue jembe ukalime au ukafanye shughuli nyingine za kukusaidia katika maisha yako kuliko kuanza kutoa hoja za kuokoteza na kuzileta humu kwenye jukwaa,kama una hoja mahususi si uzitoe hapa na uache kutapata kama mfa maji.
Ukiona mtu anababaika ni dalili ya kuishiwa na hoja na piam upeo wake umefika mwisho hana hoja wala hana swala la msingi bali anatafuta mahali pa kujiegemeza.
 
Sorry kwa kukugusa. Kumbe na wewe ni mmoja wa wale walioletwa JF kwa malengo maalum. Vumilia tu maana uko kazini, ila watch out: never waste your life obeying some fool's orders!
 
sorry kwa kukugusa. Kumbe na wewe ni mmoja wa wale walioletwa jf kwa malengo maalum. Vumilia tu maana uko kazini, ila watch out: Never waste your life obeying some fool's orders!

na wewe umetumwa wewe wala sio bure kabisa, kwanini unamsema mwenzio hivyo wewe una ushaidi gani juu ya hilo? kojoa ulale huko
 
Back
Top Bottom