Kaka mbona wanaopiga KURA ya ndiyo wako busy kuwashawishi wenye KURA ya HAPANA wabadilike na hakuna mtu anayewatukana?Tafadhali msiwe too biased,na daima wanasema 'USICHOPENDA KUTENDEWA WEWE,USIMTENDEE MWENZAKO".Kama ambavyo hamtaki Tuwashawishi WATANZANIA wapige kura ya HAPANA vivyo hivyo kwenu hamtakiwi kuwashawishi WATANZANIA kupiga KURA YA NDIYO!
Pili yake haijaniuma chochote nimekujibu kulingana na post au hoja yako.Nimekwambia sina ID nyingi ninayo moja tu,kama huamini waulize wahusika watakwambia,ila nadhani wewe ndiyo imekuuma sana baada ya kujua nina ID moja tu,na pili SHERIA ya nchi inaniruhusu kufanya yafuatayo:
1.Kupiga KURA YA NDIYO
2.Kupiga KURA YA HAPANA
3.KUHARIBU KURA yangu.
Hivyo basi sitopfanya point 1 & 3,hilo pia imekushinda kunielewa?
Na ya mwisho sikereki na KURA YAKO YA NDIYO hata kidogo kwa sababi kimsingi,kisheria,na kwa HAKI ni maamuzi yako.Wala sikereki ukujitahidi KUWASHAWISHI wa HAPANA kuwa ndiyo.Hilo nalo hulielewi?Sasa nimeumizwa na nini ikiwa ninajua HAKI zako za msingi na ninajua HAKI zangu za msingi,ila ninasikitika haujui HAKI ZANGU ZA MSINGI.