Kuna watu wanaopinga uvamizi wa urusi huko Ukraine. Je, nao Ni Wa-ukraine?
Wanaopinga TU au wanaopinga Kwa sababu?Katika hili mrusi hahitaji kulaumiwa hata kidogo,na bahati nzuri amekuwa mwazi sana na amekuwa akionya juu ya kuvuka mstari aliouita ni mstari mwekundu.kutokana na uchokozi wa Nato kupitia Ukraine
 
Mrusi atalipia damu anazomwaga hayawani yule. Unaua watu kisa wanataka kujiunga NATO?. Unaingilia Uhuru wa nchi nyingine?. Kama watu hawakupendi usilazimishe urafiki kwa nguvu.
 
Sema hako katisheti sijui alikaokota wapi!?
 
Mrusi atalipia damu anazomwaga hayawani yule. Unaua watu kisa wanataka kujiunga NATO?. Unaingilia Uhuru wa nchi nyingine?. Kama watu hawakupendi usilazimishe urafiki kwa nguvu.
Mkuu, jaribu kupanua akili yako kidogo, maanake naona umeifungia ndani ya kisanduku.
Mrusi anapigania usalama wake, wewe hilo hulioni?
 
Kaskazini ndiyo Tanzania yenyewe.
Mnafahamu makao makuu ya nchi yalikuwaga Lushoto? Baada ya Uhuru ndio yakahamia Dar kwa muda.
 
Mrusi atalipia damu anazomwaga hayawani yule. Unaua watu kisa wanataka kujiunga NATO?. Unaingilia Uhuru wa nchi nyingine?. Kama watu hawakupendi usilazimishe urafiki kwa nguvu.
Mrusi ameingilia uhuru wa Ukraine,ila ulaya yote na Amerika ,pamoja na anayepigwa waneingilia uhuru wa mrusi,nani anayestahili kulaaniwa na kulaumiwa ?
 
Mrusi atalipia damu anazomwaga hayawani yule. Unaua watu kisa wanataka kujiunga NATO?. Unaingilia Uhuru wa nchi nyingine?. Kama watu hawakupendi usilazimishe urafiki kwa nguvu.

Unawasema Urusi au unawasema CCM?
 
Wameratibia na nani? Ili tuweze kijua mwelekeo wao
Usichoelewa nini walichofanya hapo au mnataka kutuletea ugoro wenu wa police state, tabia za kujifanya mna haki kuliko wengine , watu kama wewe ni sumu
 
Mbowe na makundi yake wana taabu sanaa 🤣🤣🤣

Waje kuandamana huku nyumbani Tanzania kwani Wamarekani hawatoweza kuwasaidia lolote katika hoja yao ya katiba mpya 🤣🤣

#Siempre JMT🙏
Marekani wiki hii inashughulika na Trump ktaka kushughulikiwa na Israel/Lebanon.
Hawana muda na waandamanaji. Sijui wakaandamane ubelgiji.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…