Watanzania wafika ubalozi wa Marekani kumshitaki Mange Kimambi

Watanzania wafika katika Ubalozi wa Marekani nchini Tanzania kuwasilisha malalamiko dhidi ya mwanaharakati Mange Kimambi,
Ukiniuliza nikutajie huyo mzungumzaji wa kundi hilo sitapata shida sana kukutajia: Lucas Mshamba

Ukiniuliza na aliofuatana nao sitashindwa kukwambia kuwa Tlaatlaah hakosi kwenye orodha hiyo; lakini wapo wengi sana humu JF, kwa hiyo sina lazima ya kumtaja kila mmoja wao.

Hamza Johari alitangaza moja kwa moja baada ya kurudishwa kwenye cheo chake cha Mwanasheria Mkuu wa Serikali (FEKI), kwamba kazi ya kwanza aliyopewa ni kuhakikisha Mange anarudishwa Tanzania. Inaonekana kazi hiyo imemshinda, sasa wameamua kutumia mamluki.
 
Ya Vatican yaliishia wapi.

Nimeamini Mange ni kiboko cha Samia hadi katuma watu wamsemee. Big up Mange.
Huyo mwanamke shetani anayo hali mbaya sana. Samia ni mtu wa kupenda masifa kila mara, hata kama ni ya kununua.
Anapoona anavurugwa kiasi hiki na akina Mange na mitandaoni kote; na hasa hasa sasa hivi hata huko mitaani; hali hiyo inampa wakati mgumu sana.

Hivi Samia sifa zote anazomwagiwa na hawa akina Lucas/Tlaatlaah hazitoshi kumpa furaha moyoni mwake hadi ahangaike na akina Mange?
 
UVCCM waoga sana, wenzao wa PLU wanatokeza na mabango bila uwoga, kutetea mtawala wao wa Uganda sasa kama mtawala wa Tanzania aliyejiweka ikulu kwa asilimia 98% nini kinawafanya waende kwa kificho ?
Leo sijaelewa maana yako ya kutafuta na kuleta bandiko kama hili humu JF, mkuu 'Bagamoyo', tofauti na nilivyoelewa juhudi zako za muda mrefu za kufanya hivi.

Kama ni maswala ya ku'balance' mizani ya kiuandishi wa habari, basi hii ni hali mbovu kabisa ya taaluma hiyo.
 
Wanafikiri wamarekani hawana akili kama ccm
 

Mwanasheria Mkuu Hamza siku anaapishwa alitamka kuwa atamleta Mange. Sasa kashindwa ama ndiyo strategy yake ya kutuma watu wake.
 
The very same CHAWA ambao huwa wanasema kuwa vijimaneno vya Mange havina relevance na pia havina impact, what are they cooking up?
 
Barua hiyo ya malalamiko ilikabidhiwa kwa mlinzi wa usalama wa ubalozi, anayetajwa kwa jina la Patrick Mandiba
Wananchi hao wameeleza matumaini yao kuwa barua hiyo itawafikia walengwa na kufanyiwa kazi.
Aliyekabidhiwa ametajwa jina.

Hao "wananchi" waliopeleka na kukabidhi hiyo barua mbona hawatajwi majina??

Inafaa hao watetezi wa maovu dhidi ya umma wa wananchi yanayoendelea kushika kasi ndani ya Tanzania wajulikane kwa majina yao na picha ikiwezekana
 
hako ka dada hajielewi ni kadangaji kinachotumia siasa
 
mange ni mzalilishaji na muongo ..mara ngapi katoa taarifa za kinafki au mnajidai hamjui ?inasikitisha sanaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…