Watanzania wafika ubalozi wa Marekani kumshitaki Mange Kimambi

Yale maandamano yenu ya "wakatoliki" yaliishia wapi?
 
Ubalozi ni mahakama siku hizi??

Vipi ile kesi ya Johari aliyokua anajipiga kifua kuwa ataifungua na Mange lazima akamatwe na kurudishwa Tanzania iliishia wapi?
 

Hao akina Tlaatlaaaa na Lucas na wengine anajua kabisa kuwa wanampa sifa feki kama kura alizopata.
 
Eti Watanzania, je nikiwemo? Nchi hii kila mtu anakuwa msemaji wa mwenzake bila ya kutumwa
 
Walikumbuka kuvaa vijora? Tupiamo kaclip tafadhali.
 
Mange ni moja la kutisha..!!
Go Mange
Endelea kuwapelekea moto
 
Waligoma kupigwa picha.
Kazi ni kipimo cha utu
Sio kweli. Siku hizi, na kwa Teknolojia iliyopo, hakuna hiari - hata ukikata gogo au "kukoroma au kunguruma" picha na vid clip vyaweza kuchukuliwa vitachukuliwa tuu; mbona walipo vaa vijora walipigwa picha? au hao ni kundi lingine tena -tuambie boss.
 
Walioandamana kwenda kumshitaki Padre Kitima kwa papa waliishia wapi?.
Watu wajinga sana aisee.
 
Huyu ajuza anatumia kila mbinu apendwe ye angetulia tu anywe urojo asepe zake
 
Barua nyingine pelekeni kwa Japanese embassy ili yule naye ikibidi aletwe hapa!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…