Lucas Mwashambwa
JF-Expert Member
- Jul 28, 2022
- 28,722
- 20,610
Ndugu zangu Watanzania,
Rais Samia anapendwa sijapata kuona, anakubalika kama Nabii.kiukweli Mama anaheshimika kwa watanzania haijapata kutokea.
Nimeshuhudia Waumini katika makanisa mbalimbali wakiwa wamepiga magoti huku wakibubujikwa na machozi kumuombea heri Rais Samia utafikiri mabomu ya machozi yamepigwa makanisani .
Watanzania bila kujali itikadi zao za kisiasa wanakubali kuwa Mama huyu mwenye moyo wa upendo,huruma, unyenyekevu na uvumilivu ni mtu sahihi anayestahili kuungwa mkono na kuombewa sana.
Imani ya Watanzania ni Kuwa Mama Anatosha,Mama amekidhi matarajio ya wengi, Mama pamoja na changamoto mbalimbali lakini ameonyesha umadhubuti na uhodari katika kuzitatua na Kwamba Taifa ni salama Mikononi Mwake.
watanzania wameona na kukiri kwa vinywa vyao kuwa Maisha ya Mama yamekuwa kwa ajili ya kuwatumikia watu,kuleta matumaini na tabasamu kwa watu pamoja na kuwainua watu.ndio Maana wanabubujikwa na machozi kumuombea heri na Maisha Marefu pamoja na nguvu za kuendelea kututumikia na kutuongoza watanzania.
Kwa hakika Rais Samia anaendelea kuchanja mbuga katika mioyo ya mamilioni ya watanzania.hii ni baada ya kugusa na kubadilisha maisha ya mamilioni ya watu wengi ,kwa kuwapa matumaini yaliyo hai kwa kuwafanya watanzania kuona kila uchao ni bora kuliko jana na kila mmoja kuliona tumaini machoni pake.
Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.
Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.

Kwa hakika Rais Samia ni Mpango wa Mungu Mwenyewe na ni chaguo la Mungu Mwenyewe kumuinua kuliongoza Taifa letu. Hakuna mkono wa Mwanadamu uwezao kumshusha kwa hila ,wivu na chuki binafsi.