Watanzania Wakesha Makanisani Wakibubujikwa Machozi Kumuombea Heri Rais Samia

bwana lukas sijasoma maada zako kitambo leo ni mekutana na hii aseee ni bora turudi 2024 huku tunakoenda sio poa
 
Then mtanzania ananufaikaje?
Ananufaika na sera wezeshi za Rais Samia ambazo zimeleta unafuu mkubwa sana wa kimaisha kwa watanzania pamoja na kuwainua kimaisha.mfano angalia suala la kutoa Ruzuku kwenye pembejeo za kilimo hususan mbolea namna lilivyochochea uzalishaji na kuongeza kipato kwa mkulima mmoja mmoja.angalia sera ga Elimu bure namna ilivyo leta nuru na tabasamu kwa wanafunzi wengi.
 
bwana lukas sijasoma maada zako kitambo leo ni mekutana na hii aseee ni bora turudi 2024 huku tunakoenda sio poa
Rudi wewe utuache sisi tukisonga mbele kwa kishindo na Rais wetu Mgombea pekee wa chama cha Mapinduzi uchaguzi wa Urais wa hapo mwishoni mwa mwaka huu.
 
Ananufaika na sera wezeshi za Rais Samia ambazo zimeleta unafuu mkubwa sana wa kimaisha kwa watanzania pamoja na kuwainua kimaisha.mfano angalia suala la kutoa Ruzuku kwenye pembejeo za kilimo hususan mbolea namna lilivyochochea uzalishaji na kuongeza kipato kwa mkulima mmoja mmoja.angalia sera ga Elimu bure namna ilivyo leta nuru na tabasamu kwa wanafunzi wengi.

Kitu gani Kati ya hayo havikuwepo zamani?
 
Huwezi ukaelewa kama akili yako na macho yako vimepofuka.

Mbona unaanza matusi?

Ilani gani ya uchaguzi haikusema hayo mambo?

Unajua slogan ya kilimo kwanza ilitokea wapi?

Nataka unambie kipya because hayo yote umeongea yapo miaka yote kwenye ilani zite
 
Kilimo kipo miaka yote lakini sera ndizo hubadilika kulingana na wakati na mazingira na mabadiliko ya Dunia kisera na mahitaji.
 
Back
Top Bottom