BIG DOGG
JF-Expert Member
- Sep 15, 2024
- 1,869
- 2,707
Hapana amevuka mtaroyoNa wewe Umevuka Mwaka?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hapana amevuka mtaroyoNa wewe Umevuka Mwaka?
Nakuambia una kanisa Moja lililokesha kumuombea Samia? Kwamba mkesha na Congratulations ilikutana Kwa sababu ya kumuombea Samia? Yeye Samia anakuona kama Malaya wa kujipendekeza Kwa sababu ya Maandiko Yako ya ngonjera na tatarira zisizobeba mantiki yoyote ambayo Ina impact Kwa jamii!Wivu na chuki binafsi ndio vinakusumbua sana.Umepofuka akili na macho.
Umechanganyikiwa wewe unaebubujikwa na nyaaaOna hata kuandika tu huwezi kwa namna ulivyo changanyikiwa.
Watanzania waliokesha ni wewe na familia yakoAcha wivu wako wewe. watanzania wanatambua mchango Chanya wa Rais Samia katika kuinua Maisha yao
Tuone hayo machozi walijaza pipa ngapiUtaanzaje kuwapiga Watu picha wakati wamezama kimaombi.
Bichwa kubwa akili kisodaNdugu zangu Watanzania,
Rais Samia anapendwa sijapata kuona, anakubalika kama Nabii.kiukweli Mama anaheshimika kwa watanzania haijapata kutokea.
Nimeshuhudia Waumini katika makanisa mbalimbali wakiwa wamepiga magoti huku wakibubujikwa na machozi kumuombea heri Rais Samia utafikiri mabomu ya machozi yamepigwa makanisani .
Watanzania bila kujali itikadi zao za kisiasa wanakubali kuwa Mama huyu mwenye moyo wa upendo,huruma, unyenyekevu na uvumilivu ni mtu sahihi anayestahili kuungwa mkono na kuombewa sana.
Imani ya Watanzania ni Kuwa Mama Anatosha,Mama amekidhi matarajio ya wengi, Mama pamoja na changamoto mbalimbali lakini ameonyesha umadhubuti na uhodari katika kuzitatua na Kwamba Taifa ni salama Mikononi Mwake.
watanzania wameona na kukiri kwa vinywa vyao kuwa Maisha ya Mama yamekuwa kwa ajili ya kuwatumikia watu,kuleta matumaini na tabasamu kwa watu pamoja na kuwainua watu.ndio Maana wanabubujikwa na machozi kumuombea heri na Maisha Marefu pamoja na nguvu za kuendelea kututumikia na kutuongoza watanzania.
Kwa hakika Rais Samia anaendelea kuchanja mbuga katika mioyo ya mamilioni ya watanzania.hii ni baada ya kugusa na kubadilisha maisha ya mamilioni ya watu wengi ,kwa kuwapa matumaini yaliyo hai kwa kuwafanya watanzania kuona kila uchao ni bora kuliko jana na kila mmoja kuliona tumaini machoni pake.
Kwa hakika Rais Samia ni Mpango wa Mungu Mwenyewe na ni chaguo la Mungu Mwenyewe kumuinua kuliongoza Taifa letu. Hakuna mkono wa Mwanadamu uwezao kumshusha kwa hila ,wivu na chuki binafsi.View attachment 3190248
Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.
Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Mkuu, wakati Watanzania wako makanisani wakisali wewe ulikuwa unapita kanisa moja baada ya lingine ukiandika prayer points zao badala ya kujiunga nao kwenye kuomba.Nimekusamehe bure kabisa.Amani Ya Bwana iwe pamoja nawe.Mungu akupe hekima na busara ndani yako na kukufanya kuwa chombo chake kipya cha kueneza upendo na amani kwa Watu wote.
Ndugu zangu Watanzania,
Rais Samia anapendwa sijapata kuona, anakubalika kama Nabii.kiukweli Mama anaheshimika kwa watanzania haijapata kutokea.
Nimeshuhudia Waumini katika makanisa mbalimbali wakiwa wamepiga magoti huku wakibubujikwa na machozi kumuombea heri Rais Samia utafikiri mabomu ya machozi yamepigwa makanisani .
Watanzania bila kujali itikadi zao za kisiasa wanakubali kuwa Mama huyu mwenye moyo wa upendo,huruma, unyenyekevu na uvumilivu ni mtu sahihi anayestahili kuungwa mkono na kuombewa sana.
Imani ya Watanzania ni Kuwa Mama Anatosha,Mama amekidhi matarajio ya wengi, Mama pamoja na changamoto mbalimbali lakini ameonyesha umadhubuti na uhodari katika kuzitatua na Kwamba Taifa ni salama Mikononi Mwake.
watanzania wameona na kukiri kwa vinywa vyao kuwa Maisha ya Mama yamekuwa kwa ajili ya kuwatumikia watu,kuleta matumaini na tabasamu kwa watu pamoja na kuwainua watu.ndio Maana wanabubujikwa na machozi kumuombea heri na Maisha Marefu pamoja na nguvu za kuendelea kututumikia na kutuongoza watanzania.
Kwa hakika Rais Samia anaendelea kuchanja mbuga katika mioyo ya mamilioni ya watanzania.hii ni baada ya kugusa na kubadilisha maisha ya mamilioni ya watu wengi ,kwa kuwapa matumaini yaliyo hai kwa kuwafanya watanzania kuona kila uchao ni bora kuliko jana na kila mmoja kuliona tumaini machoni pake.
Kwa hakika Rais Samia ni Mpango wa Mungu Mwenyewe na ni chaguo la Mungu Mwenyewe kumuinua kuliongoza Taifa letu. Hakuna mkono wa Mwanadamu uwezao kumshusha kwa hila ,wivu na chuki binafsi.View attachment 3190248
Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.
Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
CCM ndio chama kilichobeba matumaini ya watanzaniaHivi ndio jinsi ccm wanavyotuona watanzania 😂
Hata mimi nilijiunga nao ndio maana nikasikia maneno yao ambayo yalikuwa yakinenwa na vinywa vyao,Mkuu, wakati Watanzania wako makanisani wakisali wewe ulikuwa unapita kanisa moja baada ya lingine ukiandika prayer points zao badala ya kujiunga nao kwenye kuomba.
Vv
RubbishNdugu zangu Watanzania,
Rais Samia anapendwa sijapata kuona, anakubalika kama Nabii.kiukweli Mama anaheshimika kwa watanzania haijapata kutokea.
Nimeshuhudia Waumini katika makanisa mbalimbali wakiwa wamepiga magoti huku wakibubujikwa na machozi kumuombea heri Rais Samia utafikiri mabomu ya machozi yamepigwa makanisani .
Watanzania bila kujali itikadi zao za kisiasa wanakubali kuwa Mama huyu mwenye moyo wa upendo,huruma, unyenyekevu na uvumilivu ni mtu sahihi anayestahili kuungwa mkono na kuombewa sana.
Imani ya Watanzania ni Kuwa Mama Anatosha,Mama amekidhi matarajio ya wengi, Mama pamoja na changamoto mbalimbali lakini ameonyesha umadhubuti na uhodari katika kuzitatua na Kwamba Taifa ni salama Mikononi Mwake.
watanzania wameona na kukiri kwa vinywa vyao kuwa Maisha ya Mama yamekuwa kwa ajili ya kuwatumikia watu,kuleta matumaini na tabasamu kwa watu pamoja na kuwainua watu.ndio Maana wanabubujikwa na machozi kumuombea heri na Maisha Marefu pamoja na nguvu za kuendelea kututumikia na kutuongoza watanzania.
Kwa hakika Rais Samia anaendelea kuchanja mbuga katika mioyo ya mamilioni ya watanzania.hii ni baada ya kugusa na kubadilisha maisha ya mamilioni ya watu wengi ,kwa kuwapa matumaini yaliyo hai kwa kuwafanya watanzania kuona kila uchao ni bora kuliko jana na kila mmoja kuliona tumaini machoni pake.
Kwa hakika Rais Samia ni Mpango wa Mungu Mwenyewe na ni chaguo la Mungu Mwenyewe kumuinua kuliongoza Taifa letu. Hakuna mkono wa Mwanadamu uwezao kumshusha kwa hila ,wivu na chuki binafsi.View attachment 3190248
Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.
Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Nimepita Mengi sana na wengine walipita Mengine kwa niaba yanguUlipitia makanisa yote tz
Rais Wetu ndiye Rais mwenye ushawishi zaidi barani Afrika kwa sasa.ndio maana uliona akipata mualiko kwenye mkutano wa G20 Mwaka jana.Rais aliyepwaya hata watu wakifanya maombi wakiwa wapi haisaidii chochote .
Ruto alimpa mwaliko hadi Benny Hinn kwenda kuhubiri Kenya ila haikusaidia chochote.
Rais anayepwaya siku zote yuko busy kutengeneza matukio ili kuonyesha anafanya kazi na visingizio vya kusema aombewe.
Mkuu ulizunguka mikoa mingapNimepita Mengi sana na wengine walipita Mengine kwa niaba yangu
Wewe unaota!Rais Wetu ndiye Rais mwenye ushawishi zaidi barani Afrika kwa sasa.ndio maana uliona akipata mualiko kwenye mkutano wa G20 Mwaka jana.
CCM ndio chama kilichobeba matumaini ya watanzania