Watanzania wakiitaka kupata HAKI ya kweli wasiwategemee wanasiasa na viongozi wa dini

Watanzania wakiitaka kupata HAKI ya kweli wasiwategemee wanasiasa na viongozi wa dini

HAKI KWA WOTE

JF-Expert Member
Joined
Nov 30, 2022
Posts
2,783
Reaction score
2,396
Wanasiasa wote duniani ni wachumia tumbo wapo kwaajili ya matumbo yao na famila zao na ndiyo wasaliti wakubwa kwa jamii zao.

Viongozi wa dini na waumini wao ndiyo wasaliti wakubwa wa wananchi kwani wamesaliti UAFRIKAWAO na ASILI ZAO na kufuata imani,mila na desturi za WAKOLONI ambao ni warabu na wazungu.

Hayo makundi mawili yanatumika na serikali iliyoko madarakani kupora HAKI za WATANZANIA kwa kivuli cha dini na uongozi.

Watanzania jipambanieni kama mmeona njia ya MAANDAMANO ndiyo sahihi basi fanyeni maandamano kwa AKILI na UJUZI wa hali ya juu ili kiepusha madhara ya uharibifu wa mali na kisababisha vifo kwa wananchi.

Nguvu ya umma isipochanganywa na dini, siasa na mihemko siku zote hueleta majibu chanya!!
 
Back
Top Bottom