Heri kuzuia hata mtu mmoja kujeruhiwa hata kama anaenda kinyume cha katiba. Historia itakuja kumpa maua yake hata kama sisi tutambeza.Akili zako zipo kwenye sehemu gani.
Nitafutie kifungu kinasema katiba ni yakatambi.
Kwenye mikutano ya Chadema wapi kulikuwa na fujo ?Wakati wa vurugu katiba na sheria vinasimama kufanyakazi kusudiwa. Kwenye vurugu na vita hakuna mwenye haki yake, vyote kwa 100% vinapotea ghafla halafu unabakia utawala binafsi, yarabi nafsi yangu. Kama DHAMIRA ya Waziri wa mambo ya ndani, Katambi ni kuzuia haki moja tu ili kulinda haki nyingine zote za kikatiba tunamuunga mkono kwa 100%. Akifanya hivyo atakuwa amechagua dhambi ndogo (the least evil).
Watu wakumbuke hata Sudani, Congo, Somalia, Ukraine, Iran, Lybia wana Katiba lakini hakuna haki wala demokrasia sasa hivi kwasababu ya makundi yaliyokuwa yakidai haki bandia. Kumechafuka na hakuna namna ya kurudisha haki za kikatiba katika nchi hizo.
Kama demokrasia inaweza kusababisha raia wasiokuwa na hatia wafe, wakimbie majumba yao, wakose matibabu, wawe vilema, wasiende shule wala kupata chanjo basi demokrasia hiyo haifai na ni batili. Kama kuna kifungu cha Katiba au sheria ambacho kinazuia kuzuia haya yasitokee nchini basi kifungu hicho tukifute mara moja.
Kama mkusanyiko unahamasisha uvunjifu wa amani kwanini mkusanyiko huo usizuie hata na mtu yeyoyote tu? Mfano, kwenye mkusanyiko mtu anapanga tumtoe mtu mahabusu mwenye kesi mahakamani au aliyefungwa kwa amri ya mahakama mkusanyiko kama huo sio sawa kiendelea kuwepo.
Hivi ushawahi kwenda nchi ambazo unajifanya kujitoa akili au unaleta simulizi hata mkoa mwengine ujafika.Heri kuzuia hata mtu mmoja kujeruhiwa hata kama anaenda kinyume cha katiba. Historia itakuja kumpa maua yake hata kama sisi tutambeza.
China ina idadi kubwa ya watu duniani, ni robo ya watu wa dunia. Kama aina yao ya siasa inawezesha kuwafanya wachina watibiwe, wale, wavae, walale, wasome, wasafiri na kuishi kwao hiyo inatosha sana, mengineyo ni porojo tu kwao.
UNajua kauli ya mikutano ya chadema ni "free Lissu" hii maana yake nini kwa mtu ambae kesi yake iko mahakamani? Maana yake ni mbili tu; ama kuiingilia mahakama isiamue kwa haki maana mtafanya fujo kama mahakama itaamua vinginevyo au mtaenda kumtoa mtu wenu kwa nguvu. Hakuna maana nyingine zaidi ya hapo.Kwenye mikutano ya Chadema wapi kulikuwa na fujo ?
Samuya ametishwa na muitikio wa wananchi kwa Chadema ndio sababu hasa ya kumtumia Katambi kupiga marafuku mikutano
Chadema haishindani na ccm bali polisi.
Ndiyo maana mnatumia nguvu nyingi sana kuuelezea ubaya wa CCM mkizani wananchi ni mazuzu hawajui kinachoendelea kwenye nchi nyingine barani Afrika. Eti punda anataka kuifananisha Tz na nchi za ulaya na Asia kwa maendeleo bila kulinganisha contexts, supportting backgrounds. Kwenye Analytical studies lazima uzingatie ulinganifu (matching) kwenye makundi. Kuna maandazi mmoja analinganisha maendeleo yetu na nchi za EU, Canada, Marekani, Oman, Dubai na Singapore. Akili zake zinamtuma hivyo kuwa tuichome nchi yetu ili wao watungenezee nchi zama za EU, canada, Dubai. Upuuzi mtupu na ushuzi wa dharau kwa vijana wa kitanzania.Hivi ushawahi kwenda nchi ambazo unajifanya kujitoa akili au unaleta simulizi hata mkoa mwengine ujafika.
Hivi unaelewa maana ya bugs na error kwenye mfumo na mbeleni kunaweza kuwaje.
We jinga kajifunze kwanza sio kila aliyekuwepo hapa ni kilaza kama wewe.Funga nauli nenda somalia tu hapo kajifunze ujinga wako alafu uje
tuliza matako.Soma katiba kwanza inasemajeNdiyo maana mnatumia nguvu nyingi sana kuuelezea ubaya wa CCM mkizani wananchi ni mazuzu hawajui kinachoendelea kwenye nchi nyingine barani Afrika. Eti punda anataka kuifananisha Tz na nchi za ulaya na Asia kwa maendeleo bila kulinganisha contexts, supportting backgrounds. Kwenye Analytical studies lazima uzingatie ulinganifu (matching) kwenye makundi. Kuna maandazi mmoja analinganisha maendeleo yetu na nchi za EU, Canada, Marekani, Oman, Dubai na Singapore. Akili zake zinamtuma hivyo kuwa tuichome nchi yetu ili wao watungenezee nchi zama za EU, canada, Dubai. Upuuzi mtupu na ushuzi wa dharau kwa vijana wa kitanzania.
Idiot!Wakati wa vurugu katiba na sheria vinasimama kufanyakazi kusudiwa. Kwenye vurugu na vita hakuna mwenye haki yake, vyote kwa 100% vinapotea ghafla halafu unabakia utawala binafsi, yarabi nafsi yangu. Kama DHAMIRA ya Waziri wa mambo ya ndani, Katambi ni kuzuia haki moja tu ili kulinda haki nyingine zote za kikatiba tunamuunga mkono kwa 100%. Akifanya hivyo atakuwa amechagua dhambi ndogo (the least evil).
Watu wakumbuke hata Sudani, Congo, Somalia, Ukraine, Iran, Lybia wana Katiba lakini hakuna haki wala demokrasia sasa hivi kwasababu ya makundi yaliyokuwa yakidai haki bandia. Kumechafuka na hakuna namna ya kurudisha haki za kikatiba katika nchi hizo.
Kama demokrasia inaweza kusababisha raia wasiokuwa na hatia wafe, wakimbie majumba yao, wakose matibabu, wawe vilema, wasiende shule wala kupata chanjo basi demokrasia hiyo haifai na ni batili. Kama kuna kifungu cha Katiba au sheria ambacho kinazuia kuzuia haya yasitokee nchini basi kifungu hicho tukifute mara moja.
Kama mkusanyiko unahamasisha uvunjifu wa amani kwanini mkusanyiko huo usizuie hata na mtu yeyoyote tu? Mfano, kwenye mkusanyiko mtu anapanga tumtoe mtu mahabusu mwenye kesi mahakamani au aliyefungwa kwa amri ya mahakama mkusanyiko kama huo sio sawa kiendelea kuwepo.
Mkuu achana naye kabisa. Huyo Kavulata ni pandikizi la system na anafanya kazi aliyotumwa. Tukimjibu tunampa mileage ya bure, dawa yake ni kumpuuza tu.Hivi ushawahi kwenda nchi ambazo unajifanya kujitoa akili au unaleta simulizi hata mkoa mwengine ujafika.
Hivi unaelewa maana ya bugs na error kwenye mfumo na mbeleni kunaweza kuwaje.
We jinga kajifunze kwanza sio kila aliyekuwepo hapa ni kilaza kama wewe.Funga nauli nenda somalia tu hapo kajifunze ujinga wako alafu uje
Mnatumia nguvu nyingi sana kugombana na mwanamke, nguvu ambazo mngezielekeza kwa JPM. Jk, Mkapa, Mzee Mwinyi au Nyerere. Sisi kwetu anaegombana na mwanamke anadharaulika sana , wale wenye magovi. Mnatumia nguvu nyingi kutuaminisha kuwa tz kuna shida sana wakati uvivu wetu ndio unaotuumiza. Ulaya na marekani watu wanachapa kazi kama watumwa kuliko sisi. Uliza ni vijana wangapi wana kuku 100 bandani hakuna.Mkuu achana naye kabisa. Huyo Kavulata ni pandikizi la system na anafanya kazi aliyotumwa. Tukimjibu tunampa mileage ya bure, dawa yake ni kumpuuza tu.
Achana na katiba, tuhakikishe kuwa hakuna mtanzania mwenzetu anapoteza uhai kwasababu ya katiba. Katiba inatoa haki kwa mkona wa kulia na inaiondoa haki hiyo kwa mkono wa kushoto. Katiba inaruhusi polisi na jeshi kupewa bunduki na risasi na kuulia binadamu. Katiba inalinda haki za watu wote, wewe huna haki ya kuchoma usafiri wetu wa mwendokasi wakati unadai haki yako. Kwa maana nyingine wewe umekasirika watu kuzuiwa kuiangusha serikali.tuliza matako.Soma katiba kwanza inasemaje
Kaka nikwambie kitu. Tanzania ina katiba halali ya 1977, imeandikwa na Nyerere na inatumika hadi leo. Na waliopa kuilinda hii katiba hadi kufa ni wengi sana, kaa chonjo na Katiba. Tumia unyenyekevu mkubwa na hekima kama unataka iandikwe upya ili watu wakuelewe badala ya kulazimisha.Ww na katambi wote mnanuka utoko.
Gen Z wamejifunza kwa namna ngumu sana katika lile tukio la October 29. Mpaka leo mwendokasi haupo kutoka pale Magomeni wilayani mpaka Morocco kwa sababu ya upuuzi wa hao vijana wanaodhani wanayo haki kuliko mtu yoyote.Achana na katiba, tuhakikishe kuwa hakuna mtanzania mwenzetu anapoteza uhai kwasababu ya katiba. Katiba inatoa haki kwa mkona wa kulia na inaiondoa haki hiyo kwa mkono wa kushoto. Katiba inaruhusi polisi na jeshi kupewa bunduki na risasi na kuulia binadamu. Katiba inalinda haki za watu wote, wewe huna haki ya kuchoma usafiri wetu wa mwendokasi wakati unadai haki yako. Kwa maana nyingine wewe umekasirika watu kuzuiwa kuiangusha serikali.
Tanzania kijiografia imewekwa pazuri sana. Mataifa karibu yote yanayotuzunguka yanaitumia bandari ya Dar. Nina uhakika ile ya Bagamoyo ikitengemaa itapata wateja wengi, hiyo fursa ya maana sana.Mnatumia nguvu nyingi sana kugombana na mwanamke, nguvu ambazo mngezielekeza kwa JPM. Jk, Mkapa, Mzee Mwinyi au Nyerere. Sisi kwetu anaegombana na mwanamke anadharaulika sana , wale wenye magovi. Mnatumia nguvu nyingi kutuaminisha kuwa tz kuna shida sana wakati uvivu wetu ndio unaotuumiza. Ulaya na marekani watu wanachapa kazi kama watumwa kuliko sisi. Uliza ni vijana wangapi wana kuku 100 bandani hakuna.
Tuko 77 huku sisi tumepunzika. Mtakufa kabla ya muda bila sababu ya maana, muda ukifika watanzania hawatapigiwa kengele kuwaita wakaandamane, ila muda huo bado kabisaa. Dalili za muda huo kufika ni siku ardhi. Maegesho na sehemu za kupanga biashara chini zimejaa na kuna namna nyingine ya kuishi.
๐ฎ๐ฎ๐ฎ๐๏ธ๐ฉWakati wa vurugu katiba na sheria vinasimama kufanyakazi kusudiwa. Kwenye vurugu na vita hakuna mwenye haki yake, vyote kwa 100% vinapotea ghafla halafu unabakia utawala binafsi, yarabi nafsi yangu. Kama DHAMIRA ya Waziri wa mambo ya ndani, Katambi ni kuzuia haki moja tu ili kulinda haki nyingine zote za kikatiba tunamuunga mkono kwa 100%. Akifanya hivyo atakuwa amechagua dhambi ndogo (the least evil).
Watu wakumbuke hata Sudani, Congo, Somalia, Ukraine, Iran, Lybia wana Katiba lakini hakuna haki wala demokrasia sasa hivi kwasababu ya makundi yaliyokuwa yakidai haki bandia. Kumechafuka na hakuna namna ya kurudisha haki za kikatiba katika nchi hizo.
Kama demokrasia inaweza kusababisha raia wasiokuwa na hatia wafe, wakimbie majumba yao, wakose matibabu, wawe vilema, wasiende shule wala kupata chanjo basi demokrasia hiyo haifai na ni batili. Kama kuna kifungu cha Katiba au sheria ambacho kinazuia kuzuia haya yasitokee nchini basi kifungu hicho tukifute mara moja.
Kama mkusanyiko unahamasisha uvunjifu wa amani kwanini mkusanyiko huo usizuie hata na mtu yeyoyote tu? Mfano, kwenye mkusanyiko mtu anapanga tumtoe mtu mahabusu mwenye kesi mahakamani au aliyefungwa kwa amri ya mahakama mkusanyiko kama huo sio sawa kiendelea kuwepo.
Mnajipa umuhimu msio kuwa nao ๐Tanzania kijiografia imewekwa pazuri sana. Mataifa karibu yote yanayotuzunguka yanaitumia bandari ya Dar. Nina uhakika ile ya Bagamoyo ikitengemaa itapata wateja wengi, hiyo fursa ya maana sana.
Yule mwanaharakati Mzimbabwe katuonya kwa maneno machache kuhusu hatima yetu, katuambia wao wanatutegemea sisi kwenye masuala mengi ya kiuchumi lakini baadhi yetu haswa hawa watoto wa Gen Z hawajielewi, hawawezi kutazama mbali na kuona namna nchi yetu inavyoweza kupiga hatua za kiuchumi.