Demi
JF-Expert Member
- Nov 22, 2016
- 40,466
- 88,695
Upo sahihi. Anzisha tutakuunga mkonoBasi kama hivyo tuanzishe kampeni ya kuwasaidia wototo waliopo kwenye mazingira magumu maana ni wengi tena wengine wanamazingira magumu zaidi ya huyo dogo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Upo sahihi. Anzisha tutakuunga mkonoBasi kama hivyo tuanzishe kampeni ya kuwasaidia wototo waliopo kwenye mazingira magumu maana ni wengi tena wengine wanamazingira magumu zaidi ya huyo dogo
Inshallah Mungu akinijaliaUpo sahihi. Anzisha tutakuunga mkono
hahahaha maskini akipataKwa nini wazazi wake wasiuze ng'ombe wamsomeshe??
Wafugaji huwa wanaona mifugo kama watoto wao,Ila bongo bana mtu anamiliki ng'ombe 20 ila bado anajiita maskini hawezi mpeleka mtoto shule
Angalia clip ya kwanza kabisa jinsi mtoto alivyopatikanaKwa nini wazazi wake wasiuze ng'ombe wamsomeshe??
tena hao wazazi wake inatakiwa wachukuliwe hatua kali, kwanin hawampeleki mtoto shuleAlikutwa anachunga ng'ombe na kuishi maporini badala ya kwenda shule.
Wasiwasi wa nini!Sijui kwanini nakuwa na wasiwasi na watoto wa Kigoma na Mikoa mingine inayopakana na Rwanda.
Haonewi huruma yeye Bali watoto wakeSasa huyo anahitaji kuelimishwa,sio kuonewa huruma!
Ukiona mpaka watu wanataka mtoto asaidiwe ujue imeshindika naBasi ibidi afahamishwe kwanza baba yake umhimu wa elimu Kisha auze baadhi ya ng'ombe apelekwe shule
Msaadi ni pamoja na ushauriUkiona mpaka watu wanataka mtoto asaidiwe ujue imeshindika na
Haoni faida ya mtoto kusoma, jamii ya wafugaji wapo hivyo akili zao Kam ng'ombe zaoAnasaidiwa kwa sababu zipi wakati wanamiliki mifugo??
Masikini wa akili naweweIla bongo bana mtu anamiliki ng'ombe 20 ila bado anajiita maskini hawezi mpeleka mtoto shule