Watanzania walalamikia utaratibu wa Mkuu wa Wilaya ya Uvinza Mkoani Kigoma Mh Dina Mathamani wa kumsaidia kijana Shauri John Bintanya

Watanzania walalamikia utaratibu wa Mkuu wa Wilaya ya Uvinza Mkoani Kigoma Mh Dina Mathamani wa kumsaidia kijana Shauri John Bintanya

Basi kama hivyo tuanzishe kampeni ya kuwasaidia wototo waliopo kwenye mazingira magumu maana ni wengi tena wengine wanamazingira magumu zaidi ya huyo dogo
Upo sahihi. Anzisha tutakuunga mkono
 
Sijui kwanini nakuwa na wasiwasi na watoto wa Kigoma na Mikoa mingine inayopakana na Rwanda.
 
Kwa nini wazazi wake wasiuze ng'ombe wamsomeshe??
Angalia clip ya kwanza kabisa jinsi mtoto alivyopatikana
Mtoto anauliza where are you from
Jamaa anajibu am from to london 😄 🤣
Hapo kijana anajieleza na ndio mkasa ukaendelea
Ila kijana anakaa karibu na mifugo na shule iko mbali sana na anataka asome sana
Anajieleza vizuri sana na ana hamu ya kusoma ila anaona hapo sio mahali pake
Screenshot_20250221_071029_YouTube~2.png
 
Alikutwa anachunga ng'ombe na kuishi maporini badala ya kwenda shule.
tena hao wazazi wake inatakiwa wachukuliwe hatua kali, kwanin hawampeleki mtoto shule
 
Huwezi kuwatenganisha Watanzania na unafki... Tena hawa wanasiasa wanawatumia hawa watoto au wengine wa namna hii kuendelea kutrend..
 
Back
Top Bottom