Watanzania walikataa vyama vingi kwa 80% Nyerere akaona mbali akaruhusu!! Samia kaona mbali pia, DP world twende kazi

Kyenyabasa

JF-Expert Member
Joined
Mar 8, 2023
Posts
247
Reaction score
715
Mama Samia kanyaga twende! Wtz hawakujua maana ya vyama vingi wakavikataa lakini Nyerere kwa uzoefu wake akasema vyama vingi ni muhimu na matunda yake tunayaona, kwahiyo akina Mbowe wajue kwamba hata wapige kelele kiasi gani kama Rais kaona DP world ni muarobaini basi acha afanye kazi matunda tutayaona baadae kama tunavyofurahia vyama vingi sasa.
 
Kweli kabisa. Rais Samia akonae tu, maana mitanzani ni ya kuburuza tu hii. Huwa haioni mbali.
 
Mimi sijawahi mwamini mwanamke yeyote,Samahani hapa tumechanganyikana kwa wale niliowaudhi wanisamehe bure
Mama Samia kanyaga twende! Wtz hawakujua maana ya vyama vingi wakavikataa lakini Nyerere kwa uzoefu wake akasema vyama vingi ni muhimu na matunda yake tunayaona,,,kwahiyo akina Mbowe wajue kwamba hata wapige kelele kiasi gani kama Rais kaona dp world ni muarobaini basi acha afanye kazi matunda tutayaona baadae kam tunavyofurahia vyama vingi sasa.
 
Mimi sijawahi mwamini mwanamke yeyote,Samahani hapa tumechanganyikana kwa wale niliowaudhi wanisamehe bure
Huo ni ugonjwa unahitaji tiba!! Samia kufika hapo alipo kawazidi wanaume wengi akiwemo baba ako anayelima magimbi huko kwenu kijijini,,,Upambanaji na akili ndo vimemfikisha hapo sasa wasiwasi wako unatokea wapi!? Wewe siyo kwamba huwaamini wanawake bali una chuki na Samia tu!! Kwahiyo hata mama ako aliyekulea na kukusomesha baada ya kukataliwa na babako naye humwamini!? Mwanamke anaweza mambo sana sema tulikandamiza kwa maslahi yetu.
 
Kauza nchi kwa wajomba zake.
 
Hoja kuu zinazohitaji majibu ni hizi hapa

1.) Tofauti ya ‘Makubaliano’ na ‘Mkataba’ ni ipi hasa kiasi mseme ule sio mkataba, kwamba ni makubaliano tu ya awali, na je Mkataba huo (makubaliano hayo) ni wa miaka mingapi? (UKOMO)

2.) Ni kwa faida ya nani kwamba DPW anapewa haki ya bandari zote za Tanganyika, kwamba hakuna mwekezaji mwingine yeyote anaweza kuja kufanya uwekezaji kwenye bandari za Tanganyika bila udalali wa DPW, je, ukiritimba huu ni kwa faida ya nani?

3.) Ni kwa faida ya nani, DPW apewe haki ya kudai kipande chochote cha ardhi yenye ukubwa wowote anaoutaka yeye ndani ya ‘Territory’ ya Tanganyika na sisi tumpe ardhi hiyo kwa kuondoa watu na miradi yote ndani ya eneo alilolitaka, na tumpatie bire kabisa kwa gharama zetu sisi, hata fidia tulipe sisi ili kuondoa watu kumpisha, huu uwendawazimu ni kwa faida ya nani?

4.) Ni kwa faida ya nani, kwamba sisi tuliowekeza matrillion ya mikopo kuendeleza bandari na tukiwa kama wamiliki wa rasimali ya bandari, tupate 0% ya faida itakayotokana na uendeshaji wa huduma za kibandari, yaani ni kana kwamba yeye kawekeza 100% na hivyo achukue 100%? Uwendawazimu huu ni kwa faida ya nani?

5.) Ni kwa faida ya nani, kwamba mkataba unahusisha bandari za Tanganyika tu na sio za Zanzibar, ilihali bandari ni suala la Muungano? Je, Zanzibar haitaki kunufaika au yenyewe haitaki matunda ya mkataba huu? Ukizingatia walioongia huu mkataba wote ni waZanzibari, kuanzia Samiah Suluhu Hassan, Makame Mbarawah, Hamza Johari na wenzao, kwamba hawataki Zanzibar yao ipate matunda mazuri ya mkataba huu?!

6.) Ni kwa faida ya nani kusema kwamba, hata DPW akavunja mkataba na kukiuka kanuni na taratibu zote zinazotambulika kimataifa, bado hatutaweza kuvunja , kuusema vibaya au kujitoa kwenye mkataba, milele! Uwendawazimu huu ni kwa faida ya nani?
 
akikujibu kwa hoja zinazoeleweka nitag mkuu
 
Hata Mama yako mzazi humuamini pia!!

Alikubeba tumboni mwake miezi 9 kisha akakuzaa na kukulea mpaka umekua na kupata akili ya uelewa,ila leo hii unakuja JF na kumsema kua humuamini na hujawahi kumuamini.
Yeye alinibeba kwa hisani ya Mungu bila matakwa ya Baba yangu?
 
Mama Samia kanyaga twende! Wtz hawakujua maana ya vyama vingi wakavikataa lakini Nyerere kwa uzoefu wake akasema vyama vingi ni muhimu na matunda yake tunayaona, kwahiyo akina Mbowe wajue kwamba hata wapige kelele kiasi gani kama Rais kaona DP world ni muarobaini basi acha afanye kazi matunda tutayaona baadae kama tunavyofurahia vyama vingi sasa.
Shida mnahamisha magoli, watu hawakatai DP world wanakataa vipengele vya mkataba ambavyo hata wanaojaribu kutetea hawavufafanui wanasema tu ni uongo ni uongo.
 
Hoja kuu zinazohitaji majibu ni hizi hapa

1.) Tofauti ya ‘Makubaliano’ na ‘Mkataba’ ni ipi hasa kiasi mseme ule sio mkataba, kwamba ni makubaliano tu ya awali, na je Mkataba huo (makubaliano hayo) ni wa miaka mingapi? (UKOMO)

2.) Ni kwa faida ya nani kwamba DPW anapewa haki ya bandari zote za Tanganyika, kwamba hakuna mwekezaji mwingine yeyote anaweza kuja kufanya uwekezaji kwenye bandari za Tanganyika bila udalali wa DPW, je, ukiritimba huu ni kwa faida ya nani?

3.) Ni kwa faida ya nani, DPW apewe haki ya kudai kipande chochote cha ardhi yenye ukubwa wowote anaoutaka yeye ndani ya ‘Territory’ ya Tanganyika na sisi tumpe ardhi hiyo kwa kuondoa watu na miradi yote ndani ya eneo alilolitaka, na tumpatie bire kabisa kwa gharama zetu sisi, hata fidia tulipe sisi ili kuondoa watu kumpisha, huu uwendawazimu ni kwa faida ya nani?

4.) Ni kwa faida ya nani, kwamba sisi tuliowekeza matrillion ya mikopo kuendeleza bandari na tukiwa kama wamiliki wa rasimali ya bandari, tupate 0% ya faida itakayotokana na uendeshaji wa huduma za kibandari, yaani ni kana kwamba yeye kawekeza 100% na hivyo achukue 100%? Uwendawazimu huu ni kwa faida ya nani?

5.) Ni kwa faida ya nani, kwamba mkataba unahusisha bandari za Tanganyika tu na sio za Zanzibar, ilihali bandari ni suala la Muungano? Je, Zanzibar haitaki kunufaika au yenyewe haitaki matunda ya mkataba huu? Ukizingatia walioongia huu mkataba wote ni waZanzibari, kuanzia Samiah Suluhu Hassan, Makame Mbarawah, Hamza Johari na wenzao, kwamba hawataki Zanzibar yao ipate matunda mazuri ya mkataba huu?!

6.) Ni kwa faida ya nani kusema kwamba, hata DPW akavunja mkataba na kukiuka kanuni na taratibu zote zinazotambulika kimataifa, bado hatutaweza kuvunja , kuusema vibaya au kujitoa kwenye mkataba, milele! Uwendawazimu huu ni kwa faida ya nani?
Hizo hoja makuwadi ya warabu na madalali wake wakizijibu natoka jf, uvccm na baba zao ccm yamebaki kama mazezeta hayawezi kujibu hoja bali utayasikia yakisema na hili litapita tu.
 
Back
Top Bottom