Kyenyabasa
JF-Expert Member
- Mar 8, 2023
- 247
- 715
Mkataba wa DP world unasemaje?
Mama Samia kanyaga twende! Wtz hawakujua maana ya vyama vingi wakavikataa lakini Nyerere kwa uzoefu wake akasema vyama vingi ni muhimu na matunda yake tunayaona,,,kwahiyo akina Mbowe wajue kwamba hata wapige kelele kiasi gani kama Rais kaona dp world ni muarobaini basi acha afanye kazi matunda tutayaona baadae kam tunavyofurahia vyama vingi sasa.
Huo ni ugonjwa unahitaji tiba!! Samia kufika hapo alipo kawazidi wanaume wengi akiwemo baba ako anayelima magimbi huko kwenu kijijini,,,Upambanaji na akili ndo vimemfikisha hapo sasa wasiwasi wako unatokea wapi!? Wewe siyo kwamba huwaamini wanawake bali una chuki na Samia tu!! Kwahiyo hata mama ako aliyekulea na kukusomesha baada ya kukataliwa na babako naye humwamini!? Mwanamke anaweza mambo sana sema tulikandamiza kwa maslahi yetu.Mimi sijawahi mwamini mwanamke yeyote,Samahani hapa tumechanganyikana kwa wale niliowaudhi wanisamehe bure
Kauza nchi kwa wajomba zake.Huo ni ugonjwa unahitaji tiba!! Samia kufika hapo alipo kawazidi wanaume wengi akiwemo baba ako anayelima magimbi huko kwenu kijijini,,,Upambanaji na akili ndo vimemfikisha hapo sasa wasiwasi wako unatokea wapi!? Wewe siyo kwamba huwaamini wanawake bali una chuki na Samia tu!! Kwahiyo hata mama ako aliyekulea na kukusomesha baada ya kukataliwa na babako naye humwamini!? Mwanamke anaweza mambo sana sema tulikandamiza kwa maslahi yetu.
akikujibu kwa hoja zinazoeleweka nitag mkuuHoja kuu zinazohitaji majibu ni hizi hapa
1.) Tofauti ya ‘Makubaliano’ na ‘Mkataba’ ni ipi hasa kiasi mseme ule sio mkataba, kwamba ni makubaliano tu ya awali, na je Mkataba huo (makubaliano hayo) ni wa miaka mingapi? (UKOMO)
2.) Ni kwa faida ya nani kwamba DPW anapewa haki ya bandari zote za Tanganyika, kwamba hakuna mwekezaji mwingine yeyote anaweza kuja kufanya uwekezaji kwenye bandari za Tanganyika bila udalali wa DPW, je, ukiritimba huu ni kwa faida ya nani?
3.) Ni kwa faida ya nani, DPW apewe haki ya kudai kipande chochote cha ardhi yenye ukubwa wowote anaoutaka yeye ndani ya ‘Territory’ ya Tanganyika na sisi tumpe ardhi hiyo kwa kuondoa watu na miradi yote ndani ya eneo alilolitaka, na tumpatie bire kabisa kwa gharama zetu sisi, hata fidia tulipe sisi ili kuondoa watu kumpisha, huu uwendawazimu ni kwa faida ya nani?
4.) Ni kwa faida ya nani, kwamba sisi tuliowekeza matrillion ya mikopo kuendeleza bandari na tukiwa kama wamiliki wa rasimali ya bandari, tupate 0% ya faida itakayotokana na uendeshaji wa huduma za kibandari, yaani ni kana kwamba yeye kawekeza 100% na hivyo achukue 100%? Uwendawazimu huu ni kwa faida ya nani?
5.) Ni kwa faida ya nani, kwamba mkataba unahusisha bandari za Tanganyika tu na sio za Zanzibar, ilihali bandari ni suala la Muungano? Je, Zanzibar haitaki kunufaika au yenyewe haitaki matunda ya mkataba huu? Ukizingatia walioongia huu mkataba wote ni waZanzibari, kuanzia Samiah Suluhu Hassan, Makame Mbarawah, Hamza Johari na wenzao, kwamba hawataki Zanzibar yao ipate matunda mazuri ya mkataba huu?!
6.) Ni kwa faida ya nani kusema kwamba, hata DPW akavunja mkataba na kukiuka kanuni na taratibu zote zinazotambulika kimataifa, bado hatutaweza kuvunja , kuusema vibaya au kujitoa kwenye mkataba, milele! Uwendawazimu huu ni kwa faida ya nani?
Hata Mama yako mzazi humuamini pia!!Mimi sijawahi mwamini mwanamke yeyote,Samahani hapa tumechanganyikana kwa wale niliowaudhi wanisamehe bure
Yeye alinibeba kwa hisani ya Mungu bila matakwa ya Baba yangu?Hata Mama yako mzazi humuamini pia!!
Alikubeba tumboni mwake miezi 9 kisha akakuzaa na kukulea mpaka umekua na kupata akili ya uelewa,ila leo hii unakuja JF na kumsema kua humuamini na hujawahi kumuamini.
Shida mnahamisha magoli, watu hawakatai DP world wanakataa vipengele vya mkataba ambavyo hata wanaojaribu kutetea hawavufafanui wanasema tu ni uongo ni uongo.Mama Samia kanyaga twende! Wtz hawakujua maana ya vyama vingi wakavikataa lakini Nyerere kwa uzoefu wake akasema vyama vingi ni muhimu na matunda yake tunayaona, kwahiyo akina Mbowe wajue kwamba hata wapige kelele kiasi gani kama Rais kaona DP world ni muarobaini basi acha afanye kazi matunda tutayaona baadae kama tunavyofurahia vyama vingi sasa.
Baba yako hakua nae 24/7 kama angetaka kukudhuru angekudhuru tu,but alikulea mpaka ukawa hivi ulivyo leo,Yeye alinibeba kwa hisani ya Mungu bila matakwa ya Baba yangu?
Bila Baba kulima na kumtunza mama nnisingekuwa kama nilivyo leo.Baba yako hakua nae 24/7 kama angetaka kukudhuru angekudhuru tu,but alikulea mpaka ukawa hivi ulivyo leo,
Hizo hoja makuwadi ya warabu na madalali wake wakizijibu natoka jf, uvccm na baba zao ccm yamebaki kama mazezeta hayawezi kujibu hoja bali utayasikia yakisema na hili litapita tu.Hoja kuu zinazohitaji majibu ni hizi hapa
1.) Tofauti ya ‘Makubaliano’ na ‘Mkataba’ ni ipi hasa kiasi mseme ule sio mkataba, kwamba ni makubaliano tu ya awali, na je Mkataba huo (makubaliano hayo) ni wa miaka mingapi? (UKOMO)
2.) Ni kwa faida ya nani kwamba DPW anapewa haki ya bandari zote za Tanganyika, kwamba hakuna mwekezaji mwingine yeyote anaweza kuja kufanya uwekezaji kwenye bandari za Tanganyika bila udalali wa DPW, je, ukiritimba huu ni kwa faida ya nani?
3.) Ni kwa faida ya nani, DPW apewe haki ya kudai kipande chochote cha ardhi yenye ukubwa wowote anaoutaka yeye ndani ya ‘Territory’ ya Tanganyika na sisi tumpe ardhi hiyo kwa kuondoa watu na miradi yote ndani ya eneo alilolitaka, na tumpatie bire kabisa kwa gharama zetu sisi, hata fidia tulipe sisi ili kuondoa watu kumpisha, huu uwendawazimu ni kwa faida ya nani?
4.) Ni kwa faida ya nani, kwamba sisi tuliowekeza matrillion ya mikopo kuendeleza bandari na tukiwa kama wamiliki wa rasimali ya bandari, tupate 0% ya faida itakayotokana na uendeshaji wa huduma za kibandari, yaani ni kana kwamba yeye kawekeza 100% na hivyo achukue 100%? Uwendawazimu huu ni kwa faida ya nani?
5.) Ni kwa faida ya nani, kwamba mkataba unahusisha bandari za Tanganyika tu na sio za Zanzibar, ilihali bandari ni suala la Muungano? Je, Zanzibar haitaki kunufaika au yenyewe haitaki matunda ya mkataba huu? Ukizingatia walioongia huu mkataba wote ni waZanzibari, kuanzia Samiah Suluhu Hassan, Makame Mbarawah, Hamza Johari na wenzao, kwamba hawataki Zanzibar yao ipate matunda mazuri ya mkataba huu?!
6.) Ni kwa faida ya nani kusema kwamba, hata DPW akavunja mkataba na kukiuka kanuni na taratibu zote zinazotambulika kimataifa, bado hatutaweza kuvunja , kuusema vibaya au kujitoa kwenye mkataba, milele! Uwendawazimu huu ni kwa faida ya nani?
Ni wajibu wa mume kumtunza mkewe,hiyo siyo hisani bali ni wajibu.Bila Baba kulima na kumtunza mama nnisingekuwa kama nilivyo leo.
Huo wajibu ndiyo umenifanya niwe kama nilivyo na kama Baba asingepambana na mimi ningekuwa nimekufa kwa njaa au kuliwa na wanyama wakali.Baba ni mwumbaji.Ni wajibu wa mume kumtunza mkewe,hiyo siyo hisani bali ni wajibu.
Mkuu kuna watu wanawakataa DP World kwa chuki za kidini na uarabu wao. Nchi ngumu Sana hiiShida mnahamisha magoli, watu hawakatai DP world wanakataa vipengele vya mkataba ambavyo hata wanaojaribu kutetea hawavufafanui wanasema tu ni uongo ni uongo.