Watanzania walioko Ukraine watakiwa kurudi Tanzania

wanataka kuanza kuleta ubabe wa Hittler hawa wameshashiba vodka...Cow boy aka mzee wa mipango anawachora tu, waangalia Russia isijekugeuka DRC nyingine ya Ulaya mashariki.
Unaropoka wew sasa kwa tarifa yako ukrain ishaanza kupigwa uyo cow boy yupo wapi sasa ?
 
Tumemiss vita za kibabe, dunia imekuwa ya hovyo hadi wanawake wanatawala…. bure kabisa.
 
Wewe ni mjinga wa zama hizi
 
Salaaam!
Vita ya Urusi na Ukraine imeanza tayari na mashambulizi ya makombora yanaendelea kutoka maeneo tofauti tofauti ya nchi.

Wizara ya mambo ya nje ipo kimya ni kama hakuna Watanzania wanaoishi Ukraine na Urusi. Je hali ikiwa mbaya Wizara na nchi ina mpango gani wa kuenda kuwaokoa raia wa kitanzania waliopo katikati ya vita hivyo?

Sijakutana na taarifa yoyote ya onyo au kusihi watanzania waishio huko kuchukua tahadhari, hii ina maana serikali haifahamu kama kuna raia katika nchi hizo au sio jambo la muhimu sana kwa wizara kuutambua mgogoro huo?

Tafadhali kama una ndugu au jamaa Ulaya ya mashariki, hebu mjulie hali maana huu ni mwanzo wa vita na siku zote ni rahisi kuanzisha vita ila kumaliza ndio hua tatizo.

Siku njema!
 
Hakuna wa kumdhibiti urusi! America hawathubutu kuingilia mzozo huo kwa vita
Usisahau China, Iran, na Noth Korea wako pamoja na Mrusi
 
Mrusi ana saport ya China na Korea ikiwa marekani ataingia patachimbika
 
Habari za jioni wana jamii forums,Kwa kwel nmeona suala la ndugu Watanzania walioko Ukraine kutakiwa kurudi Tanzania na wengine Kutolewa na mataifa Yao ,Sababu kubwa ni nini?Putin anahusikaje ?Tujuzane

Maestro de Quimica!!OPView attachment 2129084
Sawa tunashukuru taarifa ya Ubalozi wetu.

Lakini nashangaa, nchi nyingi ktk hali kama hii Balozi husika ndio huandaa utaratibu wa kuwarudisha watu wa nchi zao. Lakini hapa wanatakiwa wazazi na watu wengine Binafsi kujitafutia namna ya Kuondoka.

Sasa ktk hali tete kama hii, Balozi zetu kwa nini zinakwepa jukumu lao la Msingi?
 
Too late, Hakuna ndege yoyote inaruka sasa hivi huko ukraine
 
Habari za jioni wana jamii forums,Kwa kwel nmeona suala la ndugu Watanzania walioko Ukraine kutakiwa kurudi Tanzania na wengine Kutolewa na mataifa Yao ,Sababu kubwa ni nini?Putin anahusikaje ?Tujuzane

Maestro de Quimica!!OPView attachment 2129084
Naona kuna watu wanalaumu tu lakini hakuna mtu anaelezea kiini cha tatizo: Ninavyofahamu kiini chake kwa kifupi ni kama ifuatavyo:
Marekani enzi za JFKENNEDY iliwahi kutokea tishio la vita kati ya USSR na Marekani iliyoitwa Cuba Missile Crisis ambapo Marekani haukuruhusu Umoja wa Urusi waweke silaha hapo jirani Cuba.
Baada ya Umoja wa Urusi kusambaratika, Ukraine ambayo baadhi yao ni Warusi na inapakana na Urusi yenyewe imekuwa nchi huru na imehamasishwa kujiunga na umoja wa kujihami kivita wa NATO, jambo ambalo linawezesha silaha za NATO kuwa Ukraine, mpakani mwa Urusi! Jambo kama hilo Marekani waliapa lisitokee Cuba!
Putin anasema Ukraine kujiunga na NATO bila usalama wake kuhakikishiwa hataruhusu na yuko tayari kuingia vitani sasa kuliko kungoja mpaka siku hiyo ambapo NATO itakuwa imejaa mlangoni pake ikiwa Ukraine. Hicho ndiyo kiini cha ugomvi ingawa kuna vibwagizo kadhaa nimeviacha vinavyohusu vipengele vingine.
 
USA akingia na KOREA KASKAZINI & CHINA , SOME OF ARABIC COUNTRIES SUCH AS IRAN WATAKUWA UPANDE WA RUSSIA....na inaweza tokea THIRD WORLD WAR...
Yaani nikikumbuka tu zile 1 na 2,japo kwa kusoma kwenye mwandishi impact zake sitamani WW3 itokee
 
Malizia mkuu hivyo vipengele,hebu nifanyie wepesi,hizi habari kuzisikiliza CNN na AL Jazeera inabidi uwe umekula umeshiba....
 
Na wewe unadhani Moscow ataingia Mzigoni peke ake? Hana washirika?
 
Anachofanya Putin kule Ukraine ni kama Nyerere alivyofanya Zanzibar, vamizi. Kwa bahati nzuri Ukraine wamepewa silaha na nchi za magharibi kwa hiyo wanaweza kupambana na Putin na vamizi lake. Wazanzibari walikuwa hawana silaha maana kilikuwa ni kisiwa cha amani na utulivu halafu mkoloni Mwingereza aliwanyang'anya silaha Wazanzibari wote kwa hiyo wakashindwa kupambana na vamizi la Nyerere.
 
Huu ushabiki wa hii vita sijui vurugu ni mimi tu ambaye sielewi au
Nimecheka taarifa ya serikali inasema wanani warudi nyumbani kwaniiii ndio leo wamesikia vuguvugu la huko au
mf Serikali ingekaa kimya... hao Jamaa zetu wasingeiona hiyo hatari?
 
Ngoma ikiwambwa sana hupasuka. Putin yuko vizuri sana lakini nahisi sifa zinampanda kichwani sasa. Akiivamia Ukraine itakuwa keshwapa chance kubwa mahasimu wake hasa USA kummaliza kabisa...
China yupo na mimi hadi mda huu, france,Japan,Germany na UK hawawezi kuwapiga China,Iran na Korea. Vita hii ndio mwisho wa USA kwenye uso wa dunia. Rafiki yang Van amenihakikishia hilo ila kwa sasa hajibu sms zangu ila nitawaletea update maana nachat nae
 
Ukraine paka dakika hii wake wachache na wameshazidiwa... lazıma watasaliti amri mapema tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…