johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Ninaunga mkono hoja. Huu uzi ufutwe. Huyu jamaa ni miongoni mwa binadamu wajinga zaidi kwenye historia ya binadamu.mods futeni huu uzi wa jamaa maana ninamatusi nusu mia juu yake! Mtanipiga ban bure tu.. au na nyie mnaunga mkono mawazo yake haya ya ajabu..?
Ngoja tuwatie mods majaribuni eti Maxence Melo mnaonaje huu uzi unastahili kweli..?Ninaunga mkono hoja. Huu uzi ufutwe. Huyu jamaa ni miongoni mwa binadamu wajinga zaidi kwenye historia ya binadamu.
Jintenge mwenyewe....Sisi Russia ni washirika wetu kama ilivyo wamafekank yeyote atakayetihitaji tupo naye...This is Tanzania, nchi iliyoikomboa Africa...Sijui Diplomasia ya Tanzania ikoje. Jambazi anavamia sehemu. Alafu unaruhusu akuondoe wewe ni kuonesha taifa halijui Nini Cha kufanya wakati gani.
Kipindi ambacho Tawala za Afrika zenye democracy uchwara, Ubabe na uonevu mkubwa kwa wakosoaji wa viongozi zikijizuia kulaani uvamizi. NI ishara kuwa udkkteta duniani unasimikwa na Tawala Hilo.
Kipindi hichi ambacho mwenyeji wako anapigwa na adui unakubali vipi adui akusaidie kutoka kwa mwenyeji na kukusafirisha?
Ivi vita ikiisha Leo Kuna watanzania watapokelewa Ukrane kweli. Hilo sio sawa kabisa.
Kama Urusi inalinda udkkteta duniani Basi lazima tukubali tu kumtenga kwa Sasa.
Baada ya vita uchumi wake utaumia na watakuwa bize kuujenga Tena chini ya vikwazo na madeni kibao.
Russia haijawahi kusaidia masikini wananchi vitu vya msingi zaidi ya kusaidia madikteta kutawala na baadae kuleta machafuko.
Nashauri tujitenge na Russia mapema tusikose mema ya duniani. Yasitukute ya 1984. Tunaimba ujamaa tunapigwa njaa tunaenda kupigia magoti Mabepari yanatupa mahindi kulisha watu wetu.
Anasubiria diplomacy ya wa Ukraine waliowabagua ndugu zake kutoka eneo la hatari kwakua tu ni weusiHata mimi huyu mwamba simuelewi,hivi inakuingia akilini kuwa koelekea hakuna uhakika wa maisha anakuja mtu kukuokoa unasema acha nife,wewe utakuwa huna ndugu wala mwanao ambaye yuko huko kunakolipuka mabomu.
Kwa akili yako hata leo mbowe baada ya kuachiwa huru na wenzake angekatalia gerezani kwasababu amekaa gerezani muda halafu anaambiwa hana kesi leo?
Nadhani tukubali kabisa kuwa washirika wao full ili hao mabaazazi wakome kutuibia rasilimali zetu...Wakome kabisa!Koma wewe.
Huoni wanavyofanyiwa Ubaguzi Wanafunzi weusi kwenye mipaka ya Ukraine!
Ulitaka Nchi yetu ifanyeje?
Muhimu ni kuokoa uhai wa watu haijalishi wanapita mpaka gani!
Huu ushabiki maandazi usikufanye ukapoteza rationality ya fikra!
Ukisema Urusi haisaidii maskini utakuwa zamwamwa tu.
Wanafunzi zamani walikuwa wakifaulu vizuri wanapata full scholarship Urusi,wanaondoka na begi tu!
Unajua harakati za ukombozi wa Afrika bila mchango wa Urusi zisingewezekana!
Urusi walikuwa wakileta shehena ya Silaha kwa Kamati ya Ukombozi,hakukuwepo na Nchi yoyote ile Ulaya iliyotusaidia Waafrika kama Urusi,narudia tena Hakuna.
Kama huoni umuhimu wa mtu aliyekufundisha Uvuvi na kukupa nyavu na mshipi,ukamuona anayekupa mnofu wa samaki ndiye mwenye maana wewe huna tofauti na punguani.
IDUMU URUSI.
Uganda ambayo ina Rais mpaka leo yule yule inalindwa na Russia?Sijui Diplomasia ya Tanzania ikoje. Jambazi anavamia sehemu. Alafu unaruhusu akuondoe wewe ni kuonesha taifa halijui Nini Cha kufanya wakati gani.
Kipindi ambacho Tawala za Afrika zenye democracy uchwara, Ubabe na uonevu mkubwa kwa wakosoaji wa viongozi zikijizuia kulaani uvamizi. NI ishara kuwa udkkteta duniani unasimikwa na Tawala Hilo.
Kipindi hichi ambacho mwenyeji wako anapigwa na adui unakubali vipi adui akusaidie kutoka kwa mwenyeji na kukusafirisha?
Ivi vita ikiisha Leo Kuna watanzania watapokelewa Ukrane kweli. Hilo sio sawa kabisa.
Kama Urusi inalinda udkkteta duniani Basi lazima tukubali tu kumtenga kwa Sasa.
Baada ya vita uchumi wake utaumia na watakuwa bize kuujenga Tena chini ya vikwazo na madeni kibao.
Russia haijawahi kusaidia masikini wananchi vitu vya msingi zaidi ya kusaidia madikteta kutawala na baadae kuleta machafuko.
Nashauri tujitenge na Russia mapema tusikose mema ya duniani. Yasitukute ya 1984. Tunaimba ujamaa tunapigwa njaa tunaenda kupigia magoti Mabepari yanatupa mahindi kulisha watu wetu.
Kama Urusi inalinda udkkteta duniani Basi lazima tukubali tu kumtenga kwa Sasa.
Baada ya vita uchumi wake utaumia na watakuwa bize kuujenga Tena chini ya vikwazo na madeni kibao.
Russia haijawahi kusaidia masikini wananchi vitu vya msingi zaidi ya kusaidia madikteta kutawala na baadae kuleta machafuko.
Tena afadhali hao wengine wana kila sababu...Huyu obima huyu mweusi mwenzetu kuja kuvuruga bara letu...tsuuuu nimemzarau kwa zarau zote nilizowahi kuzarau huku duniani...Namshkuru sana Mungu na wale wapambe wake wa humu nchini wamepata message yao kwamba Tanzania ni ile ile jana leo na kesho...Ahsante baba wa taifa Mwl Nyerere kutuwekea misingi imara ya nchi yetuBush, George Bush, obama, tony Blair, trump n.k sio madikteta?
Samahani kwa kutopata neno la kuandika zaidi ya kukuita KICHAA namba 1, 2022. Unahatari sana wewe. Futa uzi wako mwenyewe.Sijui Diplomasia ya Tanzania ikoje. Jambazi anavamia sehemu. Alafu unaruhusu akuondoe wewe ni kuonesha taifa halijui Nini Cha kufanya wakati gani.
Kipindi ambacho Tawala za Afrika zenye democracy uchwara, Ubabe na uonevu mkubwa kwa wakosoaji wa viongozi zikijizuia kulaani uvamizi. NI ishara kuwa udkkteta duniani unasimikwa na Tawala Hilo.
Kipindi hichi ambacho mwenyeji wako anapigwa na adui unakubali vipi adui akusaidie kutoka kwa mwenyeji na kukusafirisha?
Ivi vita ikiisha Leo Kuna watanzania watapokelewa Ukrane kweli. Hilo sio sawa kabisa.
Kama Urusi inalinda udkkteta duniani Basi lazima tukubali tu kumtenga kwa Sasa.
Baada ya vita uchumi wake utaumia na watakuwa bize kuujenga Tena chini ya vikwazo na madeni kibao.
Russia haijawahi kusaidia masikini wananchi vitu vya msingi zaidi ya kusaidia madikteta kutawala na baadae kuleta machafuko.
Nashauri tujitenge na Russia mapema tusikose mema ya duniani. Yasitukute ya 1984. Tunaimba ujamaa tunapigwa njaa tunaenda kupigia magoti Mabepari yanatupa mahindi kulisha watu wetu.
Hii ni elimu tosha na maswali mazuri sana. Endeleeni kumpeni elimu huyu kijana. Hana aibu kabisa! Mimi naondoka katika uzi huu. Moderator futa uzi huumkuu kwaza tambua wanaosaidiwa sio wanajeshi bali ni wanafunzi
na vita urusi anapigana na makundi maalum SIO Raia
na jambo jingine URUSI hana shida na nchi yoyote ya AFRCA
kama Tanzania wameanza inamaana hata nchi zingine zitafuatu
hvyo URUSI kukubali kuwasaidia wanafunzi watanzania inamaana anakaribisha pia mataifa mengine yenye kuhitaji kufanya hivyo
kumbuka ile sio VITA ni operesheni ya kijeshi kujirinda na ndio maana afurushi mabomu hovyo isipokuwa sehemu husika ukisikia RAIA wa ukraine amekufa basi huyo kayataka mwenyewe
dunia ilishatambua tupo upande gani pale tu tulipoacha kupiga kuraSijui Diplomasia ya Tanzania ikoje. Jambazi anavamia sehemu. Alafu unaruhusu akuondoe wewe ni kuonesha taifa halijui Nini Cha kufanya wakati gani.