Watanzania waliokwama Ukraine kusaidiwa kuondoka na Russia kutaichafua Sana nchi kipindi ambacho Russia inatengwa na Dunia

Huyu jamaa si bure mlioko naye karibu hata kwa mnuso tu,kamateni kesho mpeleke MILEMBE.
 
Sijui Diplomasia ya Tanzania ikoje. Jambazi anavamia sehemu. Alafu unaruhusu akuondoe wewe ni kuonesha taifa halijui Nini Cha kufanya wakati gani.
Kipindi ambacho Tawala za Afrika zenye democracy uchwara, Ubabe na uonevu mkubwa kwa wakosoaji wa viongozi zikijizuia kulaani uvamizi. NI ishara kuwa udkkteta duniani unasimikwa na Tawala Hilo.
Kipindi hichi ambacho mwenyeji wako anapigwa na adui unakubali vipi adui akusaidie kutoka kwa mwenyeji na kukusafirisha?
Ivi vita ikiisha Leo Kuna watanzania watapokelewa Ukrane kweli. Hilo sio sawa kabisa.

Kama Urusi inalinda udkkteta duniani Basi lazima tukubali tu kumtenga kwa Sasa.

Baada ya vita uchumi wake utaumia na watakuwa bize kuujenga Tena chini ya vikwazo na madeni kibao.

Russia haijawahi kusaidia masikini wananchi vitu vya msingi zaidi ya kusaidia madikteta kutawala na baadae kuleta machafuko.

Nashauri tujitenge na Russia mapema tusikose mema ya duniani. Yasitukute ya 1984. Tunaimba ujamaa tunapigwa njaa tunaenda kupigia magoti Mabepari yanatupa mahindi kulisha watu wetu.
Jintenge mwenyewe....Sisi Russia ni washirika wetu kama ilivyo wamafekank yeyote atakayetihitaji tupo naye...This is Tanzania, nchi iliyoikomboa Africa...
 
Hata mimi huyu mwamba simuelewi,hivi inakuingia akilini kuwa koelekea hakuna uhakika wa maisha anakuja mtu kukuokoa unasema acha nife,wewe utakuwa huna ndugu wala mwanao ambaye yuko huko kunakolipuka mabomu.

Kwa akili yako hata leo mbowe baada ya kuachiwa huru na wenzake angekatalia gerezani kwasababu amekaa gerezani muda halafu anaambiwa hana kesi leo?
Anasubiria diplomacy ya wa Ukraine waliowabagua ndugu zake kutoka eneo la hatari kwakua tu ni weusi
 
Koma wewe.
Huoni wanavyofanyiwa Ubaguzi Wanafunzi weusi kwenye mipaka ya Ukraine!
Ulitaka Nchi yetu ifanyeje?
Muhimu ni kuokoa uhai wa watu haijalishi wanapita mpaka gani!
Huu ushabiki maandazi usikufanye ukapoteza rationality ya fikra!

Ukisema Urusi haisaidii maskini utakuwa zamwamwa tu.
Wanafunzi zamani walikuwa wakifaulu vizuri wanapata full scholarship Urusi,wanaondoka na begi tu!
Unajua harakati za ukombozi wa Afrika bila mchango wa Urusi zisingewezekana!
Urusi walikuwa wakileta shehena ya Silaha kwa Kamati ya Ukombozi,hakukuwepo na Nchi yoyote ile Ulaya iliyotusaidia Waafrika kama Urusi,narudia tena Hakuna.
Kama huoni umuhimu wa mtu aliyekufundisha Uvuvi na kukupa nyavu na mshipi,ukamuona anayekupa mnofu wa samaki ndiye mwenye maana wewe huna tofauti na punguani.
IDUMU URUSI.
Nadhani tukubali kabisa kuwa washirika wao full ili hao mabaazazi wakome kutuibia rasilimali zetu...Wakome kabisa!
 
Sijui Diplomasia ya Tanzania ikoje. Jambazi anavamia sehemu. Alafu unaruhusu akuondoe wewe ni kuonesha taifa halijui Nini Cha kufanya wakati gani.
Kipindi ambacho Tawala za Afrika zenye democracy uchwara, Ubabe na uonevu mkubwa kwa wakosoaji wa viongozi zikijizuia kulaani uvamizi. NI ishara kuwa udkkteta duniani unasimikwa na Tawala Hilo.
Kipindi hichi ambacho mwenyeji wako anapigwa na adui unakubali vipi adui akusaidie kutoka kwa mwenyeji na kukusafirisha?
Ivi vita ikiisha Leo Kuna watanzania watapokelewa Ukrane kweli. Hilo sio sawa kabisa.

Kama Urusi inalinda udkkteta duniani Basi lazima tukubali tu kumtenga kwa Sasa.

Baada ya vita uchumi wake utaumia na watakuwa bize kuujenga Tena chini ya vikwazo na madeni kibao.

Russia haijawahi kusaidia masikini wananchi vitu vya msingi zaidi ya kusaidia madikteta kutawala na baadae kuleta machafuko.

Nashauri tujitenge na Russia mapema tusikose mema ya duniani. Yasitukute ya 1984. Tunaimba ujamaa tunapigwa njaa tunaenda kupigia magoti Mabepari yanatupa mahindi kulisha watu wetu.
Uganda ambayo ina Rais mpaka leo yule yule inalindwa na Russia?
 
Kama Urusi inalinda udkkteta duniani Basi lazima tukubali tu kumtenga kwa Sasa.

Baada ya vita uchumi wake utaumia na watakuwa bize kuujenga Tena chini ya vikwazo na madeni kibao.

Russia haijawahi kusaidia masikini wananchi vitu vya msingi zaidi ya kusaidia madikteta kutawala na baadae kuleta machafuko.

Bush, George Bush, obama, tony Blair, trump n.k sio madikteta?
 
Tena afadhali hao wengine wana kila sababu...Huyu obima huyu mweusi mwenzetu kuja kuvuruga bara letu...tsuuuu nimemzarau kwa zarau zote nilizowahi kuzarau huku duniani...Namshkuru sana Mungu na wale wapambe wake wa humu nchini wamepata message yao kwamba Tanzania ni ile ile jana leo na kesho...Ahsante baba wa taifa Mwl Nyerere kutuwekea misingi imara ya nchi yetu
 
Mkuu kwaza tambua wanaosaidiwa sio wanajeshi bali ni wanafunzi
na vita URUSI anapigana na makundi maalum sio RAIA
na jambo jingine URUSI hana shida na nchi yoyote ya AFRCA
kama Tanzania wameanza inamaana hata nchi zingine zenye uhitaji kama huo zitafuatuata
hvyo URUSI kukubali kuwasaidia wanafunzi watanzania inamaana anakaribisha pia mataifa mengine yenye kuhitaji kufanya hivyo

kumbuka ile sio VITA kama ulivyovizoe wewe
ni operesheni maalum ya kijeshi kujirinda na ndio maana afurushi mabomu hovyo isipokuwa sehemu husika ukisikia RAIA wa ukraine amekufa basi huyo kayataka mwenyewe
 
Sijui Diplomasia ya Tanzania ikoje. Jambazi anavamia sehemu. Alafu unaruhusu akuondoe wewe ni kuonesha taifa halijui Nini Cha kufanya wakati gani.
Kipindi ambacho Tawala za Afrika zenye democracy uchwara, Ubabe na uonevu mkubwa kwa wakosoaji wa viongozi zikijizuia kulaani uvamizi. NI ishara kuwa udkkteta duniani unasimikwa na Tawala Hilo.
Kipindi hichi ambacho mwenyeji wako anapigwa na adui unakubali vipi adui akusaidie kutoka kwa mwenyeji na kukusafirisha?
Ivi vita ikiisha Leo Kuna watanzania watapokelewa Ukrane kweli. Hilo sio sawa kabisa.

Kama Urusi inalinda udkkteta duniani Basi lazima tukubali tu kumtenga kwa Sasa.

Baada ya vita uchumi wake utaumia na watakuwa bize kuujenga Tena chini ya vikwazo na madeni kibao.

Russia haijawahi kusaidia masikini wananchi vitu vya msingi zaidi ya kusaidia madikteta kutawala na baadae kuleta machafuko.

Nashauri tujitenge na Russia mapema tusikose mema ya duniani. Yasitukute ya 1984. Tunaimba ujamaa tunapigwa njaa tunaenda kupigia magoti Mabepari yanatupa mahindi kulisha watu wetu.
Samahani kwa kutopata neno la kuandika zaidi ya kukuita KICHAA namba 1, 2022. Unahatari sana wewe. Futa uzi wako mwenyewe.

Ni kwa vile huna mtoto kuleee.
 
mkuu kwaza tambua wanaosaidiwa sio wanajeshi bali ni wanafunzi
na vita urusi anapigana na makundi maalum SIO Raia
na jambo jingine URUSI hana shida na nchi yoyote ya AFRCA
kama Tanzania wameanza inamaana hata nchi zingine zitafuatu
hvyo URUSI kukubali kuwasaidia wanafunzi watanzania inamaana anakaribisha pia mataifa mengine yenye kuhitaji kufanya hivyo

kumbuka ile sio VITA ni operesheni ya kijeshi kujirinda na ndio maana afurushi mabomu hovyo isipokuwa sehemu husika ukisikia RAIA wa ukraine amekufa basi huyo kayataka mwenyewe
Hii ni elimu tosha na maswali mazuri sana. Endeleeni kumpeni elimu huyu kijana. Hana aibu kabisa! Mimi naondoka katika uzi huu. Moderator futa uzi huu
 
Sijui Diplomasia ya Tanzania ikoje. Jambazi anavamia sehemu. Alafu unaruhusu akuondoe wewe ni kuonesha taifa halijui Nini Cha kufanya wakati gani.
Kipindi ambacho Tawala za Afrika zenye democracy uchwara, Ubabe na uonevu mkubwa kwa wakosoaji wa viongozi zikijizuia kulaani uvamizi. NI ishara kuwa udkkteta duniani unasimikwa na Tawala Hilo.
Kipindi hichi ambacho mwenyeji wako anapigwa na adui unakubali vipi adui akusaidie kutoka kwa mwenyeji na kukusafirisha?
Ivi vita ikiisha Leo Kuna watanzania watapokelewa Ukrane kweli. Hilo sio sawa kabisa.

Kama Urusi inalinda udkkteta duniani Basi lazima tukubali tu kumtenga kwa Sasa.

Baada ya vita uchumi wake utaumia na watakuwa bize kuujenga Tena chini ya vikwazo na madeni kibao.

Russia haijawahi kusaidia masikini wananchi vitu vya msingi zaidi ya kusaidia madikteta kutawala na baadae kuleta machafuko.

Nashauri tujitenge na Russia mapema tusikose mema ya duniani. Yasitukute ya 1984. Tunaimba ujamaa tunapigwa njaa tunaenda kupigia magoti Mabepari yanatupa mahindi kulisha watu wetu.
dunia ilishatambua tupo upande gani pale tu tulipoacha kupiga kura
 
Mleta mada naomba ukae kimya au umove humu babaa. Umagharibi umekuingia mno. Baki na mabeberu wako wanaokutambuwa SOKWE, na ictoshe huko marekani waafrika wenzio wanauliwa. Dahh Ila ninyi watu ni wa ajabu sana. Hivii unaanzaje kumsapoti muuwaji/marekani na washirika wake wameuwa mamilioni ya wa2 waco na hatia!!
 
Back
Top Bottom