William Mshumbusi
JF-Expert Member
- Mar 27, 2012
- 1,761
- 2,391
- Thread starter
-
- #41
Ubaya wote hamna hoja NI vijembe na matusi. Nimezungumza vitu viwili hapo. Kwanza Tanzania kutopiga kura kulaani uvamizi na Kisha watanzania kupitia Russia badala ya Poland au nchi nyingine NI doa sababu Sasa Russia inatengwa kimataifa. Nchi zinatoa raia Russia nyie mnapitia uko.Ninaunga mkono hoja. Huu uzi ufutwe. Huyu jamaa ni miongoni mwa binadamu wajinga zaidi kwenye historia ya binadamu.
Ubaya wote hamna hoja NI vijembe na matusi. Nimezungumza vitu viwili hapo. Kwanza Tanzania kutopiga kura kulaani uvamizi na Kisha watanzania kupitia Russia badala ya Poland au nchi nyingine NI doa sababu Sasa Russia inatengwa kimataifa. Nchi zinatoa raia Russia nyie mnapitia uko.
Angalau umeangazia hoja. Kuliko watu wenye Akili wanaokuja kutukana tu. Tusome historia kidogo.Mkuu kwaza tambua wanaosaidiwa sio wanajeshi bali ni wanafunzi
na vita URUSI anapigana na makundi maalum sio RAIA
na jambo jingine URUSI hana shida na nchi yoyote ya AFRCA
kama Tanzania wameanza inamaana hata nchi zingine zenye uhitaji kama huo zitafuatuata
hvyo URUSI kukubali kuwasaidia wanafunzi watanzania inamaana anakaribisha pia mataifa mengine yenye kuhitaji kufanya hivyo
kumbuka ile sio VITA kama ulivyovizoe wewe
ni operesheni maalum ya kijeshi kujirinda na ndio maana afurushi mabomu hovyo isipokuwa sehemu husika ukisikia RAIA wa ukraine amekufa basi huyo kayataka mwenyewe
Hujui ujamaa ulivyotufanya tutembee peku na kuishi kwenye nyumba za nyasi miaka 40 baada ya Uhuru. Maendeleo ya kisekta yamekuja kuanzia 1995. Tulipojiunga na uchumi wa dunia. Tukirudi tulipotoka ni shidaUngekua na mtoto wako ungezungumza hayo? So ikitengwa Ndio nini na wewe unaogopa kutengwa au ?! Nilichokiona kwako Una mahaba ya kijinga na Ukraine Kama vile una udugu nao sbb ni hiyo tu huna lolote
Wewe kenge nitolee upumbavu wako hapa π‘π‘π‘. Tanzania ina sera ya kutofungamana na upande wowote tangu enzi za baba wa taifa. Pia nchi yetu haijawahi kuwa na uoga kwenye misimamo yake. Hii sio mara ya kwanza Tanzania kufanya maamuzi magumu kwa maslahi ya watu wake. Kama ubalozi wa Uingereza ulishawahi kufungwa hapa nchini ndo iwe hilo suala la kupiga kura UN? Halafu ulitaka hao wanafunzi waliokwama wapitie njia gani salama zaidi ya hiyo ya Urusi? Hujasikia wapoland wakiwabagua waziwazi waafrika huko kwenye mpaka wao? Futa huu uzi wako unaonuka mavi.Ubaya wote hamna hoja NI vijembe na matusi. Nimezungumza vitu viwili hapo. Kwanza Tanzania kutopiga kura kulaani uvamizi na Kisha watanzania kupitia Russia badala ya Poland au nchi nyingine NI doa sababu Sasa Russia inatengwa kimataifa. Nchi zinatoa raia Russia nyie mnapitia uko.
Sleeper agent ktk ubora wakoSijui Diplomasia ya Tanzania ikoje. Jambazi anavamia sehemu. Alafu unaruhusu akuondoe wewe ni kuonesha taifa halijui Nini Cha kufanya wakati gani.
Kipindi ambacho Tawala za Afrika zenye democracy uchwara, Ubabe na uonevu mkubwa kwa wakosoaji wa viongozi zikijizuia kulaani uvamizi. NI ishara kuwa udkkteta duniani unasimikwa na Tawala Hilo.
Kipindi hichi ambacho mwenyeji wako anapigwa na adui unakubali vipi adui akusaidie kutoka kwa mwenyeji na kukusafirisha?
Ivi vita ikiisha Leo Kuna watanzania watapokelewa Ukrane kweli. Hilo sio sawa kabisa.
Kama Urusi inalinda udkkteta duniani Basi lazima tukubali tu kumtenga kwa Sasa.
Baada ya vita uchumi wake utaumia na watakuwa bize kuujenga Tena chini ya vikwazo na madeni kibao.
Russia haijawahi kusaidia masikini wananchi vitu vya msingi zaidi ya kusaidia madikteta kutawala na baadae kuleta machafuko.
Nashauri tujitenge na Russia mapema tusikose mema ya duniani. Yasitukute ya 1984. Tunaimba ujamaa tunapigwa njaa tunaenda kupigia magoti Mabepari yanatupa mahindi kulisha watu wetu.
Kwahiyo ulivyopewa mtumba wenye fangas kama substitution umeona unafanana na hao mabeberu wanaokufadhili?Hujui ujamaa ulivyotufanya tutembee peku na kuishi kwenye nyumba za nyasi miaka 40 baada ya Uhuru. Maendeleo ya kisekta yamekuja kuanzia 1995. Tulipojiunga na uchumi wa dunia. Tukirudi tulipotoka ni shida
Daah lina hasara tumbo lililokuleta huku duniani...Wewe mtu ameijenga nchi hii kwa jasho lake na damu yake leo unamwitwa dikteta!Angalau umeangazia hoja. Kuliko watu wenye Akili wanaokuja kutukana tu. Tusome historia kidogo.
Kwa miaka 7 Tanzania ilikumbatia udiktete kamili. Uvunjwaji wa wazi wa katiba na mateso kwa wapinzani.
Baadae mkaacha kupiga kura ya kulaani uvamizi. Theni Leo mnatoka kupitia mpaka wa mahalamia. Baada ya hii vita Russia anaanguka na hakuna shangazi wakutuamini tena
Hakutusaidia kupata Uhuru kamili. Bali kupigania maslahi yake Afrika dhidi ya Magharibi. Na Russia haikutusaidia lolote la maana zaidi ya bunduki na Vifaru. Nchi karibu zote zilizokuwa chini ya Russia ziliishia kupigana vita vya wenyewe kwa wenyewe na umasikini mkubwa. Wakati Magharibi wakiwekeza kwa huduma za kijamii na elimuLabda kama wewe ni mdogo kiumri. Kwa wale wa zamani kidogo ushirikiano wa Russia na Tanzania haukuanza leo bali ulianza wakati wa mapambano ya kudai uhuru kwa nchi za kusini mwa Africa.
Kama ndio taifa la Mashariki lililostaarabika zaidi. Lililofadhili wageni kibao kupata elimu huko. Kifupi lilikuwa rafiki Sana kwetu. Wasomi wetu waliokwenda Russia wengi walikumbana na ubaguzi wa Hali ya juu na usiokemewa. Lazima tukubali uhalisia. Russia haijawahi kuwa na urafiki na waafrika wenyewe Bali viongozi wao Tena kuwasaidia kukaa madarakani.Ungekua na mtoto wako ungezungumza hayo? So ikitengwa Ndio nini na wewe unaogopa kutengwa au ?! Nilichokiona kwako Una mahaba ya kijinga na Ukraine Kama vile una udugu nao sbb ni hiyo tu huna lolote
Wanajustfiy tu! Basi lingefanyika kimya kimya sio kuonesha wema wa Urusi wakati ambao dunia inashuhudia ukatili wake wa Hali ya juu kabisa kwa watu wa Ukraineπππ
View attachment 2139266
Urusi ya kijamaa ilidondoka 1990 Hadi 1991. Wakaruhusu ubinafshaji na watu binafsi wakamiliki mitaji. China iliachana na ujamaa 1980. Na kuibuka kwa mabilionea kibao wanaomilikk uchumi. Nchi ya kijamaa iliyobaki ni moja tu duniani. Korea kaskazini ambayo mitaji yote Yani Benki, viwanda humilikiwa na Serikali. Sisi tuliingia Ubepari baada ya mabadiliko ya China na Russia na tukakosa wa kutusapoti na kuanza ubinafshaji 1995. Russia iliporuhusu democracy ya vyama vingi 1990 na Uchina 1980.Mijitu ilio zaliwa 90 ni wa ajabu sana. Unajua sihasa za ujamaa au unaongea bila kufanya utafiti labda kwa msaada nikupe nchi ambazo hazita iwacha tz iteseke. 1 China ni yakijamaa, Cuba niyakijamaa, 3 urusi niyakijamaa. Fidel Castro, mau tsun, via lenin. Julius nyerere. Nenda ukasome usikurupuke.