Poppy Hatonn
JF-Expert Member
- Apr 9, 2021
- 3,095
- 4,632
India na China hawajailaani Russia. In the end wale waliompinga Joe Biden,in terms of world population ni wengi zaidi.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yeye yupo nyumbani kwake Dar anaingia na kutoka muda wowote autakao hivyo anaongea anavyojisikia.Wajuaji wa mambo mpo wengi kweli! We ulitakeje kwa mfano.
Putin hajawahi kufika Tanzania, ni habari ya uongo inayotembea whatsapp.Inaonesha hujui historia ya Russia na Tanzania. Unafuata mkumbo tu ati kisa dunia imeitenga Russia. Kwani ni Tanzania tu ambayo haikupiga kura. Sasa kuna nchi ambazo zimepiga kula ya kutokukubaliana na maazimio ya UN dhidi ya Russia.
Unajua kwanini Russia kaivamia Ukraine? Unahitaji kujua jambo kabla ya kutoa maoni yako. Eti Russia haijawai kuisaidia Tanzania? Ha ha ha! Unajua Russia haikuwai kuitawala Africa, bali ilikuwa mbele kusaidia ukombozi wa Kusini mwa Afrika. Ndo maana hata huyu Puttin kaishi Tanzania. Russia ilikuwa na chuo cha Lumumba ambako wanadiplomasia na wanasiasa wengi wa Afrika wamesoma huko. Wewe unafuata propaganda za Kimarekani na kuamini kila kitu.
Hata wakati wa vita ya Uganda, tulisaidiwa sana vifaa na Russia, japo Marekani na mataifa mengine kama Uingereza walikaa kimya. Russia imeleta wataalamu wengi wa kilimo, na nyanja kadhaa nchini, Pia wataalamu wetu wengi katika fani tofauti wamesomea Russia. Haya yote ni mahusiano tuliokuwa nayo.
Mwl. Nyerere ni kiongozi mmoja wapo wa waanzilishi wa nchi zisizo fungamana na upande wowote toka tumepata uhuru. Tanzania tunafahamika hivyo, na tumekuwa hivyo miaka yote. Hatuna adui!
Hahaha kuna wahuni wa kikristo wanasemaga Israel ni taifa teule.Umevunja nyumba kabisa na kuvunjavunja kila kitu sio kupindua meza tu!!
Unatumia Uhuru wako wa kujieleza vizuri.
Picha inayosemwa kuwa ni Putin na Samora ni Samora na komandoo mwingine wa kirusi mwaka 1984 siku ambayo Marehemu Samora alitembelea Bagamoyo kutizama mafunzo waliyokuwa wakipewa askari wa Msumbiji. Samora alifanya ziara Tanzania mwaka 1984 ndio akaenda hapo kambini.Unauhakika huo? Unajua majeshi ya Tanzania wakati huo wamepata mafunzo mengi Russia. Na wakufunzi wengi walitoka Russia. Nakumbuka nikiwa mdogo chipukizi, tulikwenda Russia kwa mafunzo ya mwaka mmoja, nilikuwa nasoma Shule ya msingi.
Tulifundishwa baadhi ya mbinu za kijeshi, namkumbuka Major general Mwita Marwa akija kutukagua, na tulifanya gwaride la heshima kwake, na baadae katika sherehe kubwa mbele ya Rais Nyerere. Tukapitishwa wachache sana tuliochaguliwa baadae kwenda Urusi.
Nadhani hujui mengi ya uvunguni kati ya Russia na Tanzania.
Honestly, kwa maoni yangu, mada yako inaongoza kwa kuwa ya hovyo tangu mwaka huu uanze.Ubaya wote hamna hoja NI vijembe na matusi. Nimezungumza vitu viwili hapo. Kwanza Tanzania kutopiga kura kulaani uvamizi na Kisha watanzania kupitia Russia badala ya Poland au nchi nyingine NI doa sababu Sasa Russia inatengwa kimataifa. Nchi zinatoa raia Russia nyie mnapitia uko.
Tanzania siyo WANAFIKI. Nchi Ina misimamo yake na itaisimamia kweli. Hatuungi kitendo cha NATO kuihadaa Ukraine. Na hatujikombi kwa USA. Kwa hilo tunasimama na mwenye hakiUbaya wote hamna hoja NI vijembe na matusi. Nimezungumza vitu viwili hapo. Kwanza Tanzania kutopiga kura kulaani uvamizi na Kisha watanzania kupitia Russia badala ya Poland au nchi nyingine NI doa sababu Sasa Russia inatengwa kimataifa. Nchi zinatoa raia Russia nyie mnapitia uko.
Hujui ujamaa ulivyotufanya tutembee peku na kuishi kwenye nyumba za nyasi miaka 40 baada ya Uhuru. Maendeleo ya kisekta yamekuja kuanzia 1995. Tulipojiunga na uchumi wa dunia. Tukirudi tulipotoka ni shida
Sijui Diplomasia ya Tanzania ikoje. Jambazi anavamia sehemu. Alafu unaruhusu akuondoe wewe ni kuonesha taifa halijui Nini Cha kufanya wakati gani.
Kipindi ambacho Tawala za Afrika zenye democracy uchwara, Ubabe na uonevu mkubwa kwa wakosoaji wa viongozi zikijizuia kulaani uvamizi. NI ishara kuwa udkkteta duniani unasimikwa na Tawala Hilo.
Kipindi hichi ambacho mwenyeji wako anapigwa na adui unakubali vipi adui akusaidie kutoka kwa mwenyeji na kukusafirisha?
Ivi vita ikiisha Leo Kuna watanzania watapokelewa Ukrane kweli. Hilo sio sawa kabisa.
Kama Urusi inalinda udkkteta duniani Basi lazima tukubali tu kumtenga kwa Sasa.
Baada ya vita uchumi wake utaumia na watakuwa bize kuujenga Tena chini ya vikwazo na madeni kibao.
Russia haijawahi kusaidia masikini wananchi vitu vya msingi zaidi ya kusaidia madikteta kutawala na baadae kuleta machafuko.
Nashauri tujitenge na Russia mapema tusikose mema ya duniani. Yasitukute ya 1984. Tunaimba ujamaa tunapigwa njaa tunaenda kupigia magoti Mabepari yanatupa mahindi kulisha watu wetu.
Kipi bora Watanzania wafe kwasababu ya kuitenga Urusi? Urusi na nchi za "Sadec" zina historia ndefu sana. Urusi na China ndio zilizosaidia ukombozi wa kusini mwa bara la Afrika. Je unajua undani wa vita kati ya Ukraine na Urusi? Ukidandia kwa kufwata vyombo vya habari vya magharibi utapotea. Poland nchi ambayo ilikataa wahamiaji toka Syria na Afghanistan, leo hii inasifiwa kwa kuwapokea wakimbizi wa Ukraine ambao ni wazungu wenzao, wamefanana hata nywele zao. Hii ndio dunia tunayoishi - fungua akili zako na si kuimba mambo ya vyombo vya habari vya magharibi.Sijui Diplomasia ya Tanzania ikoje. Jambazi anavamia sehemu. Alafu unaruhusu akuondoe wewe ni kuonesha taifa halijui Nini Cha kufanya wakati gani.
Kipindi ambacho Tawala za Afrika zenye democracy uchwara, Ubabe na uonevu mkubwa kwa wakosoaji wa viongozi zikijizuia kulaani uvamizi. NI ishara kuwa udkkteta duniani unasimikwa na Tawala Hilo.
Kipindi hichi ambacho mwenyeji wako anapigwa na adui unakubali vipi adui akusaidie kutoka kwa mwenyeji na kukusafirisha?
Ivi vita ikiisha Leo Kuna watanzania watapokelewa Ukrane kweli. Hilo sio sawa kabisa.
Kama Urusi inalinda udkkteta duniani Basi lazima tukubali tu kumtenga kwa Sasa.
Baada ya vita uchumi wake utaumia na watakuwa bize kuujenga Tena chini ya vikwazo na madeni kibao.
Russia haijawahi kusaidia masikini wananchi vitu vya msingi zaidi ya kusaidia madikteta kutawala na baadae kuleta machafuko.
Nashauri tujitenge na Russia mapema tusikose mema ya duniani. Yasitukute ya 1984. Tunaimba ujamaa tunapigwa njaa tunaenda kupigia magoti Mabepari yanatupa mahindi kulisha watu wetu.
Ni utapiamlo wa akili kufikiri kuwa wakati huu ambao Russia wako busy na jambo lao la vita kuwa wanawajali watu/wanafunzi wa nje ambao hata hawapo Russia bali wapo Ukraine.Wanajustfiy tu! Basi lingefanyika kimya kimya sio kuonesha wema wa Urusi wakati ambao dunia inashuhudia ukatili wake wa Hali ya juu kabisa kwa watu wa Ukraine
Ndiyo maana tunasema nchi yetu haifungamani na upande wowote. Kwa sera yetu hiyo ya kutofungamana na upande wowote hatuna lawama kwa hiloSijui Diplomasia ya Tanzania ikoje. Jambazi anavamia sehemu. Alafu unaruhusu akuondoe wewe ni kuonesha taifa halijui Nini Cha kufanya wakati gani.
Kipindi ambacho Tawala za Afrika zenye democracy uchwara, Ubabe na uonevu mkubwa kwa wakosoaji wa viongozi zikijizuia kulaani uvamizi. NI ishara kuwa udkkteta duniani unasimikwa na Tawala Hilo.
Kipindi hichi ambacho mwenyeji wako anapigwa na adui unakubali vipi adui akusaidie kutoka kwa mwenyeji na kukusafirisha?
Ivi vita ikiisha Leo Kuna watanzania watapokelewa Ukrane kweli. Hilo sio sawa kabisa.
Kama Urusi inalinda udkkteta duniani Basi lazima tukubali tu kumtenga kwa Sasa.
Baada ya vita uchumi wake utaumia na watakuwa bize kuujenga Tena chini ya vikwazo na madeni kibao.
Russia haijawahi kusaidia masikini wananchi vitu vya msingi zaidi ya kusaidia madikteta kutawala na baadae kuleta machafuko.
Nashauri tujitenge na Russia mapema tusikose mema ya duniani. Yasitukute ya 1984. Tunaimba ujamaa tunapigwa njaa tunaenda kupigia magoti Mabepari yanatupa mahindi kulisha watu wetu.
Kwa hiyo ulitaka wafe?,ungekuwa na nduguyo huko usingefurahia huu uamuzi?Sijui Diplomasia ya Tanzania ikoje. Jambazi anavamia sehemu. Alafu unaruhusu akuondoe wewe ni kuonesha taifa halijui Nini Cha kufanya wakati gani.