Watanzania walioumia wakati wakileta fujo Kisutu jana wanaendeleaje?

Tlaatlaah

JF-Expert Member
Joined
May 18, 2023
Posts
51,453
Reaction score
41,274
Upendo na huruma imenijaa kama mTanzania walau kujua maendeleo ya afya zao baada ya masaibu waliyokumbana nayo jana.

Hata hivyo, je,
wale ni wanachadema kweli au ni kikundi cha vibaka tu na wezi waliokusudia kupora watu maeneo ya mahakamani?

Maana ukweli ni kwamba ukumbi wa mahakama ya kisutu unaenea watu 50 pekee, na tayari chadema ilikua na mawakili31 katika ukumbi huo, ikimaanisha walio salia ni mawakili wa serikali na maafisa wa mahakama na ulinzi.

Je, hao mamia waliochochewa kwenda kufanya mambo haramu kinyume na sheria walikua wanaelekea wapi kama sio kwenda kufanya ujambazi na uporaji kwenye mahoteli, ofisi na maduka yaliyo jirani na mahakama hiyo.

Unadhani walikua wana lenga kufanya uporaji na uharibifu huo kwa faida ya nani au chama gani, na hasa ukizongatia wengine walikua watu wazima tena mabibi kabisa wa kulea wajukuu nyumbani?🐒

Mungu Ibariki Tanzania
 
Upendo na huruma imenijaa kama mtanzania walau kujua maendeleo ya Afya zao baada ya masaibu waliyokumbana nayo jana.

Hata hivyo, je,
wale ni wanachadema kweli au ni kikundi cha vibaka tu na wezi waliokusudia kupora watu maeneo ya mahakamani?
Maana ukweli ni kwamba ukumbi wa mahakama ya kisutu unaenea watu 50 pekee, na tayari chadema ilikua na mawakili31 katika ukumbi huo, ikimaanisha walio salia ni mawakili wa serikali na maafisa wa mahakama na ulinzi.

Je,
hao mamia waliochochewa kwenda kufanya mambo haramu kinyume na sheria walikua wanaelekea wapi kama sio kwenda kufanya ujambazi na uporaji kwenye mahoteli, ofisi na maduka yaliyo jirani na mahakama hiyo.

Unadhani walikua wana lenga kufanya uporaji na uharibifu huo kwa faida ya nani au chama gani, na hasa ukizongatia wengine walikua watu wazima tena mabibi kabisa wa kulea wajukuu nyumbani?🐒

Mungu Ibariki Tanzania
Mkuu tunaendelea vizuri japo tayari tuna experience ya kuvunjika mifupa ya miguu kiafya tunaendelea vyema.

Tunakushukuru Sana Kwa kutujulia Hali .Hakika upinzani kamili unatoka ndani ya CCM
 
KUMBE KAZI YA JESHI LA POLISI NI KUTUMIA NGUVU
KUPIGA WAHALIFU,
KUWAVUNJA
KUUA.
NK.
Unafikiri kazi ya virungu,mabomu na bunduki za polisi kazi yake nini ? Kupiga,kuua na kuvunja vunja mbu? Au mende?
 
Familia zao ndizo zinahangaika nao baada ya kubondwa barabara na polisi
Comrade plz usinichochee kucheka tafadhali dah,

Inasikitisha sana na inafedhehesha sana familia kupewa zawadi ya mzigo wa malezi kwa mtu mzima kubebw ufala kifikra na kuchochewa kufanya mambo ya kilofa kabisaa

Tuwaaombee ahueni ya mapema huenda wamejifunza 🐒
 
SIKO INTRESTED SANA NA SIASA ZA KITOTO.

KUMBE KAZI YA JESHI LA POLISI NI KUTUMIA NGUVU
KUPIGA WAHALIFU,
KUWAVUNJA
KUUA.
KUWATUPA MAPORINI
NK.

MUNGU AWASAMEHE HAWAJUI WALITENDALO.
tuwaombee majeruhi wote wapate ahueni ya mapema na kuwashauri kuepuka kubebwa ufala kifikra na kuchochewa kufanya mambo ya kilofa yanayowaumiza wenyewe binafsi na familia zao 🐒
 
Hebu leta ushahidi wa hizo "FUJO"?
Huyu 👇 jamaa ndiye aliwaponza. Aliwaalika waende wote kukinukisha. Wakataka wajazane mamia kwenye chumba cha watu 50 tu. Wafuasi wakaingia mkenge bila kuchanganya na zao, halafu yeye akagoma kwenda!
 
Attachments

  • 6041359-3f34be6bafaa6cd5192aa8994cbf6feb.mp4
    12 MB
Upendo na huruma imenijaa kama mTanzania walau kujua maendeleo ya afya zao baada ya masaibu waliyokumbana nayo jana.

Hata hivyo, je,
wale ni wanachadema kweli au ni kikundi cha vibaka tu na wezi waliokusudia kupora watu maeneo ya mahakamani?
Maana ukweli ni kwamba ukumbi wa mahakama ya kisutu unaenea watu 50 pekee, na tayari chadema ilikua na mawakili31 katika ukumbi huo, ikimaanisha walio salia ni mawakili wa serikali na maafisa wa mahakama na ulinzi.

Je,
hao mamia waliochochewa kwenda kufanya mambo haramu kinyume na sheria walikua wanaelekea wapi kama sio kwenda kufanya ujambazi na uporaji kwenye mahoteli, ofisi na maduka yaliyo jirani na mahakama hiyo.

Unadhani walikua wana lenga kufanya uporaji na uharibifu huo kwa faida ya nani au chama gani, na hasa ukizongatia wengine walikua watu wazima tena mabibi kabisa wa kulea wajukuu nyumbani?🐒

Mungu Ibariki Tanzania
Nchi ishakuwa ngumu hii👿
 
Yule anayetaka kwenda ikulu hata kama ni kwa ghiliba anaendelea je?
 
Wewe kama unayo elimu ya kutosha uneonaje ile picha ya Samia inaonyesha nini?
1. Ana hofu
2. Nyuma kama vile katekwa (captured), anasoma alichoandikiwa wala haelewi anachosoma. Kalazimishwa asome.
3. Weakness, sijui kama analala bila sleeping pills, very weak
 
Upendo na huruma imenijaa kama mTanzania walau kujua maendeleo ya afya zao baada ya masaibu waliyokumbana nayo jana.

Hata hivyo, je,
wale ni wanachadema kweli au ni kikundi cha vibaka tu na wezi waliokusudia kupora watu maeneo ya mahakamani?

Maana ukweli ni kwamba ukumbi wa mahakama ya kisutu unaenea watu 50 pekee, na tayari chadema ilikua na mawakili31 katika ukumbi huo, ikimaanisha walio salia ni mawakili wa serikali na maafisa wa mahakama na ulinzi.

Je, hao mamia waliochochewa kwenda kufanya mambo haramu kinyume na sheria walikua wanaelekea wapi kama sio kwenda kufanya ujambazi na uporaji kwenye mahoteli, ofisi na maduka yaliyo jirani na mahakama hiyo.

Unadhani walikua wana lenga kufanya uporaji na uharibifu huo kwa faida ya nani au chama gani, na hasa ukizongatia wengine walikua watu wazima tena mabibi kabisa wa kulea wajukuu nyumbani?🐒

Mungu Ibariki Tanzania
Tatizo ni kuwa nchi imejaa wasomi kibao lakini tunaongozwa na kilaza Samia. Ni aibu kwa watz na kwa ccm kwa ujinga wao
 
Upendo na huruma imenijaa kama mTanzania walau kujua maendeleo ya afya zao baada ya masaibu waliyokumbana nayo jana.

Hata hivyo, je,
wale ni wanachadema kweli au ni kikundi cha vibaka tu na wezi waliokusudia kupora watu maeneo ya mahakamani?

Maana ukweli ni kwamba ukumbi wa mahakama ya kisutu unaenea watu 50 pekee, na tayari chadema ilikua na mawakili31 katika ukumbi huo, ikimaanisha walio salia ni mawakili wa serikali na maafisa wa mahakama na ulinzi.

Je, hao mamia waliochochewa kwenda kufanya mambo haramu kinyume na sheria walikua wanaelekea wapi kama sio kwenda kufanya ujambazi na uporaji kwenye mahoteli, ofisi na maduka yaliyo jirani na mahakama hiyo.

Unadhani walikua wana lenga kufanya uporaji na uharibifu huo kwa faida ya nani au chama gani, na hasa ukizongatia wengine walikua watu wazima tena mabibi kabisa wa kulea wajukuu nyumbani?🐒

Mungu Ibariki Tanzania
Uzuri hata nafsi yako inakushuhudia kiwa hawakuleta fujo yeyote.
 
kejeli hizo za kiislamu, kweli madaraka yanalevywa …
Waislam ni watu wenye roho ya ibilisi walio ibeba kutoka wa waarabu ambao ndio waasisi dini yao na biashara za kuuza watu na kuwatoboa miguuni hivyo kuona kuislam katili ni kawaida sababu ndio msimamo wa dini yao
 
Uzuri hata nafsi yako inakushuhudia kiwa hawakuleta fujo yeyote.
jikite kwenye hoja na maumivu wanayoyapitia wale wanateseka kwa majeraha na kutesa familia zao kwa mzigo wa gharama za matibabu huko nyumbani :NoGodNo:
 
Back
Top Bottom