Watanzania walioumia wakati wakileta fujo Kisutu jana wanaendeleaje?

Watanzania walioumia wakati wakileta fujo Kisutu jana wanaendeleaje?

Ccm inataka kucheza mpira na timu nyingine wakati Firimbi imeishika yenyewe. NO REFORMS NO ELECTIN. Mwaka huu ni zamu ya ccm kuisoma namba na huyo mshangazi wenu wa Kizimkazi
Unajuaje kama hakutokea?
 
Kila uovu hulipwa muda wake ukiwadia
gentleman,
ukichochewa kitapeli na wanasiasa vibaka kwenda kufanya mambo haramu hususani kinyume na sheria popote Tanzania, kwa lengo la kupora, kuharibu au kuvuruga amani ya waTanzania,

my friend,
utaumizwa kizembe sana na kupoteza maisha kilofa sana na kupeleka za wadi ya msiba kwa familia yako au hata mzigo wa umaskini huenda wewe ndie ulikua tegemeo lao.:NoGodNo:
 
Nchi ishakuwa ngumu hii👿
my friends, ladies and gentleman,
kua tajiri au maskini Tanzania ni uamuzi binafsi wa mtu,

kuumizwa au kupoteza maisha kilofa kwa kuchochewa na matapeli ya kisiasa kwa kubebwa ufala kifikra eti uende kuleta fujo mahali ni nonsese kabisa gentleman.

Inasikitisha sana, na inafedhehesha sana aisee:NoGodNo:
 
Dogo,
Wanasiasa VIBAKA ni wale wanaopora na kuiba uchaguzi.
Zingatia hilo
Gentleman,
samahani kwa maelezi marefu buti ni dawa hiyo kwa wadau,

Mwanasia kibaka ni yule anaekutapeli pesa zako badala ya kusomesha wanao, anataka eti umchangie yeye apate pesa ya kununuli gari, wisky na nyama choma astarehe huku anakuhadaa kua anakutetea,
Lakini pia anakutapeli kifikra ukafanye mambo haramu ili upigwe na uumizwe au kupoteza maisha kabisa ili yeye atumie maumivu na msiba wako kama jukwaa la kisiasa ili ikiwezekani wapate madaraka kwa manufaa ya familia yake,

mbaya zaid mwanasia tapeli anakubeba ufala kifikra,
huku familia yake na watoto wake wakiwa ngambo wanakula maisha huku yeye akitembea na tiketi ya ndege mkononi, akiashiria kwamba wakati wowote mambo ikiharibia anakwea pipa na kutokomea kwa mabwenyenye yananyomfadhili huku wewe kapuku ukiendelea kutaabika kwa ulofa wako :NoGodNo:
 
Mtoa mada endelea kumalizia makombo ya mifupa uliyotupiwa baada ya mabwenyenye unayoyatumia kula minofu yote na kusaza. Amini nakuambia baada ya kupiga wananchi na kutunyamazisha maana hatuwezi pamabana nao hatuna siraha majeshi yataanza kuchapana yenyewe tena kwa siraha zao wenyewe kwa wenyewe.
 
Gentleman,
samahani kwa maelezi marefu buti ni dawa hiyo kwa wadau,

Mwanasia kibaka ni yule anaekutapeli pesa zako badala ya kusomesha wanao, anataka eti umchangie yeye apate pesa ya kununuli gari, wisky na nyama choma astarehe huku anakuhadaa kua anakutetea,
Lakini pia anakutapeli kifikra ukafanye mambo haramu ili upigwe na uumizwe au kupoteza maisha kabisa ili yeye atumie maumivu na msiba wako kama jukwaa la kisiasa ili ikiwezekani wapate madaraka kwa manufaa ya familia yake,

mbaya zaid mwanasia tapeli anakubeba ufala kifikra,
huku familia yake na watoto wake wakiwa ngambo wanakula maisha huku yeye akitembea na tiketi ya ndege mkononi, akiashiria kwamba wakati wowote mambo ikiharibia anakwea pipa na kutokomea kwa mabwenyenye yananyomfadhili huku wewe kapuku ukiendelea kutaabika kwa ulofa wako :NoGodNo:
Tone tone,no reform no election, full stop!
 
Back
Top Bottom