Upendo na huruma imenijaa kama mTanzania walau kujua maendeleo ya afya zao baada ya masaibu waliyokumbana nayo jana.
Hata hivyo, je,
wale ni wanachadema kweli au ni kikundi cha vibaka tu na wezi waliokusudia kupora watu maeneo ya mahakamani?
Maana ukweli ni kwamba ukumbi wa mahakama ya kisutu unaenea watu 50 pekee, na tayari chadema ilikua na mawakili31 katika ukumbi huo, ikimaanisha walio salia ni mawakili wa serikali na maafisa wa mahakama na ulinzi.
Je, hao mamia waliochochewa kwenda kufanya mambo haramu kinyume na sheria walikua wanaelekea wapi kama sio kwenda kufanya ujambazi na uporaji kwenye mahoteli, ofisi na maduka yaliyo jirani na mahakama hiyo.
Unadhani walikua wana lenga kufanya uporaji na uharibifu huo kwa faida ya nani au chama gani, na hasa ukizongatia wengine walikua watu wazima tena mabibi kabisa wa kulea wajukuu nyumbani?🐒
Mungu Ibariki Tanzania