Watanzania walioumia wakati wakileta fujo Kisutu jana wanaendeleaje?

Upendo na huruma imenijaa kama mTanzania walau kujua maendeleo ya afya zao baada ya masaibu waliyokumbana nayo jana.

Hata hivyo, je,
wale ni wanachadema kweli au ni kikundi cha vibaka tu na wezi waliokusudia kupora watu maeneo ya mahakamani?

Maana ukweli ni kwamba ukumbi wa mahakama ya kisutu unaenea watu 50 pekee, na tayari chadema ilikua na mawakili31 katika ukumbi huo, ikimaanisha walio salia ni mawakili wa serikali na maafisa wa mahakama na ulinzi.

Je, hao mamia waliochochewa kwenda kufanya mambo haramu kinyume na sheria walikua wanaelekea wapi kama sio kwenda kufanya ujambazi na uporaji kwenye mahoteli, ofisi na maduka yaliyo jirani na mahakama hiyo.

Unadhani walikua wana lenga kufanya uporaji na uharibifu huo kwa faida ya nani au chama gani, na hasa ukizongatia wengine walikua watu wazima tena mabibi kabisa wa kulea wajukuu nyumbani?🐒

Mungu Ibariki Tanzania
Unawasifia Kwa ujinga lakn laana zao Huwa tunaziona zinawafuata baada ya miaka mingi hasa yakisataafu yanateseka sana na mengine hufa baada ya kukosa kampani za uraian ,maana wanaanza kua victim wa saikolojia wakiona walio kua wanatendea watu nao watandendewa baada ya kuzeeka ,au kustaafu ,watot wao wa kiume wanageuka kua mashoga na WA kike wasagaji ,Mungu hadhiakiwa apandacho mtu ndicho atakachovuna ,ukipanda Kwa majonzi utavuna Kwa majonzi ,na ukipanda Kwa furaha utavuna Kwa furaha
 
Ha ha ha ha ha ha ndio mnavyowadanganya!! Nchi hii ilikwishakombolewa na baba wa Taifa na Marehemu KARUME, hawa wapumbavu wenzako wanatumia vibaya neno ukombozi, kwani ukombozi ni lazima Chadema ipate Madaraka?? Ovyo kabisa nyie ati ukombozi, upi sasa labda kukomboa mashoga wakadinyane kama mwenzenu aliyepata mume Ubelgiji.
Weka akiba ya maneno au utabadilisha ID zako nyingi uje usifie CHADEMA na kuipongeza kama chameleon.
 
Mkuu tunaendelea vizuri japo tayari tuna experience ya kuvunjika mifupa ya miguu kiafya tunaendelea vyema.

Tunakushukuru Sana Kwa kutujulia Hali .Hakika upinzani kamili unatoka ndani ya CCM
Mmmmh! migambo wanaruka na kukanyagana.
 
SIKO INTRESTED SANA NA SIASA ZA KITOTO.

KUMBE KAZI YA JESHI LA POLISI NI KUTUMIA NGUVU
KUPIGA WAHALIFU,
KUWAVUNJA
KUUA.
KUWATUPA MAPORINI
NK.

MUNGU AWASAMEHE HAWAJUI WALITENDALO.
Upendo na huruma imenijaa kama mTanzania walau kujua maendeleo ya afya zao baada ya masaibu waliyokumbana nayo jana.

Hata hivyo, je,
wale ni wanachadema kweli au ni kikundi cha vibaka tu na wezi waliokusudia kupora watu maeneo ya mahakamani?

Maana ukweli ni kwamba ukumbi wa mahakama ya kisutu unaenea watu 50 pekee, na tayari chadema ilikua na mawakili31 katika ukumbi huo, ikimaanisha walio salia ni mawakili wa serikali na maafisa wa mahakama na ulinzi.

Je, hao mamia waliochochewa kwenda kufanya mambo haramu kinyume na sheria walikua wanaelekea wapi kama sio kwenda kufanya ujambazi na uporaji kwenye mahoteli, ofisi na maduka yaliyo jirani na mahakama hiyo.

Unadhani walikua wana lenga kufanya uporaji na uharibifu huo kwa faida ya nani au chama gani, na hasa ukizongatia wengine walikua watu wazima tena mabibi kabisa wa kulea wajukuu nyumbani?🐒

Mungu Ibariki Tanzania
ukiulizwa kilichowapeleka kisutu ni nini? kesi iko youtube, lissu hakuwepo mahakamani wao walienda kufanya nini? wengine walikamatwa salender bridge wanadai wamekamatiwa kisutu, wengine wamekamatwa barabarani nje ya mahakama wanadai wamekamatwa kisutu sasa huu upotoshaji maana yake nini? polisi hadi wakupige lazima uwafanyie ukaidi
 
Upendo na huruma imenijaa kama mTanzania walau kujua maendeleo ya afya zao baada ya masaibu waliyokumbana nayo jana.

Hata hivyo, je,
wale ni wanachadema kweli au ni kikundi cha vibaka tu na wezi waliokusudia kupora watu maeneo ya mahakamani?

Maana ukweli ni kwamba ukumbi wa mahakama ya kisutu unaenea watu 50 pekee, na tayari chadema ilikua na mawakili31 katika ukumbi huo, ikimaanisha walio salia ni mawakili wa serikali na maafisa wa mahakama na ulinzi.

Je, hao mamia waliochochewa kwenda kufanya mambo haramu kinyume na sheria walikua wanaelekea wapi kama sio kwenda kufanya ujambazi na uporaji kwenye mahoteli, ofisi na maduka yaliyo jirani na mahakama hiyo.

Unadhani walikua wana lenga kufanya uporaji na uharibifu huo kwa faida ya nani au chama gani, na hasa ukizongatia wengine walikua watu wazima tena mabibi kabisa wa kulea wajukuu nyumbani?🐒

Mungu Ibariki Tanzania
Mmeo aliporudi toka kazini hakukusimulia, ulichokijua ni kumfungulia mapaja tu.
 
Back
Top Bottom