Watanzania walioumia wakati wakileta fujo Kisutu jana wanaendeleaje?

Unawasifia Kwa ujinga lakn laana zao Huwa tunaziona zinawafuata baada ya miaka mingi hasa yakisataafu yanateseka sana na mengine hufa baada ya kukosa kampani za uraian ,maana wanaanza kua victim wa saikolojia wakiona walio kua wanatendea watu nao watandendewa baada ya kuzeeka ,au kustaafu ,watot wao wa kiume wanageuka kua mashoga na WA kike wasagaji ,Mungu hadhiakiwa apandacho mtu ndicho atakachovuna ,ukipanda Kwa majonzi utavuna Kwa majonzi ,na ukipanda Kwa furaha utavuna Kwa furaha
 
Weka akiba ya maneno au utabadilisha ID zako nyingi uje usifie CHADEMA na kuipongeza kama chameleon.
 
Mkuu tunaendelea vizuri japo tayari tuna experience ya kuvunjika mifupa ya miguu kiafya tunaendelea vyema.

Tunakushukuru Sana Kwa kutujulia Hali .Hakika upinzani kamili unatoka ndani ya CCM
Mmmmh! migambo wanaruka na kukanyagana.
 
 
Mmeo aliporudi toka kazini hakukusimulia, ulichokijua ni kumfungulia mapaja tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…