Wapalestina na Wayahudi ni kama bibi na bwana hivyo sioni vile Kenya itainhilia ndoa hiyo Maana suluhu itapatikana ndani yao tu.wakenya mmeniangusha sana kwa kitendo cha kukimbia kupiga kura.mnaogopa nini kujulikana msimamo wenu?
Akili za kuku ni pongezi?Nionyeshe tusi, ukithibitisha kama kuna matusi hapo, nitaomba msamaha.
Karibu bro tushiriki kuzaliwa masihi.Mbege haina lolote la kutisha, Alooh Sijapanda kask ....nmeshakula likizo zangu zote apa sina ujanja..Vp apo 254 Mmeshaua viumbe hai wangap [emoji23][emoji23]Najua Leo kuku, mbuzi,ng'ombe wengi watapoteza Maisha
Aisee kweli,ila wengi hawalioni hilo, njaa mbaya sana asikwambie mtu!Je kama Tz tukikosa misaada kutoka kwa baba(US) itakuwa majanga bora tungebaki kimya wamalizane wenyewe. Huo mgogoro wa huko mpaka Yesu atarudi ataukuta.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Karibu bro tushiriki kuzaliwa masihi.View attachment 658851
Karibu bro tushiriki kuzaliwa masihi.View attachment 658851
Aisee kweli,ila wengi hawalioni hilo, njaa mbaya sana asikwambie mtu!
Biting the hand that feeds you literally.Aisee kweli,ila wengi hawalioni hilo, njaa mbaya sana asikwambie mtu!
Nimeona gari za K... nyingi sana Arusha na Kilimanjaro.Hahaa mbege nenda rombo, wakenya leo hadi mwakani wamejaa huko , maeneo ya tarakea hadi himo hapatoshi leo mazee....yaani mnapiga mdudu aka kiti moto alafu mbege kwa sana...wachagga tunawapenda sana[emoji3] [emoji119]
Kabla ya kupiga kura msimamo ulisha julikana kutoka kwa waziri mwenye mamlaka. MFAICHamna tofauti na nilichokisema, maana kura unapiga kama unayo haja ya kupiga, hakuna anayelazimishwa au kuelekezwa bastola kichwani, ni maamuzi binafsi ya kila nchi bila shuruti.
Sio Kenya pekee waliosusia, kuna nchi zingine lakini la kushangaza, kati ya nchi zote duniani nyie pekee ndio mnaojisifu eti mlipiga kura.
Mk254 alifunguwa huu uzi kuziba mafuriko ya uzi mwingine, lakini ni uzi ambao haujaufanyia research ya aina yoyote.Vijana wengi wa kenya international politics hawazijui. JKT ya tanzania ilipoanzishww mafunzo yalitolewa toka Israel. Lakini msimamo wa Tanzania kisiasa ni kwamba waisrael waache kuwatesa wapalestina. Ushirikiano wa mambo mengine Tanzania inashirikiana na israel. Kwahiyo wakenya ni vyema mkaujua msimamo wa Tanzania vyema. Nchi ya kenya haina msimamo ndio maana wakishindwa kupiga kura. Ndio maana Tanzania ilisimama kidete kuwatetea wachina kuhusu kiti chao UN. Tanzania is very stable country kwenye masuala ya international politics. Na ushirikiano wetu sisi na USA unajulikana na wamarekani wakivuka mstari tunawaonya tena kwa sauti kubwa.
Tanzania ni sovereign state, haipangiwi na nchi yoyote cha kufanya. Tunafanya kwa maslahi ya nchi yetu. Si kwaajili ya wengine.
Mk254 alifunguwa huu uzi kuziba mafuriko ya uzi mwingine, lakini ni uzi ambao haujaufanyia research ya aina yoyote.
Nilifungua huu uzi kuhoji unafiki wenu wa kukenulia meno wakoloni wa Morocco ilhali mnajifanya watetezi wa Wapalestina.
Japo kuna Watanzania wamenikomesha kwa mimi kuwatetea watu wa mbali wa Western Sahara ilhali hapa karibu tunao waliokaliwa wa Zanzibar, tena eti wamekaliwa na hiyo hiyo Tanganyika inayojifanya kuhuzunishwa na hali ya Wapalestina wa kuleeeee, mbali sana nje ya Afrika.
Hivyo imenibidi kupiga kimya maana kama ni kweli mumekalia Zanzibar kama wanavyodai hawa Watanzania, basi hapa sina la kujadili maana nitakua najadili na mkoloni mweusi tena mwenye ngozi nyeusi kama yangu na anaongea Kiswahili, mnafiki wa kutupwa.
Hivyo wacha niendelee kutafuna minofu ya Krisimasi kwa amani nikisubiri kuaga mwaka na kupokea mwengine mpya kwa neema za Mwenyezi Mungu.
MK254,
..msimamo wa serekali yetu kuhusu mgogoro wa Sahara Magharibi vs Morocco unafedhehesha.
..na zaidi Mfalme wa Morroco ametupa "ZAWADI" kutokana na serekali yetu kulegeza msimamo.
..pamoja na hayo siwezi kuelekeza lawama zote kwa serekali ya awamu ya 5.
.Kwa kumbukumbu zangu Tz tulianza kujikomba-komba kwa Morocco wakati wa awamu ya 4. Naamini awamu ya 4 ndiyo waliobadilisha muelekeo wetu.
..walichokosea awamu hii ni kukubali "ZAWADI." kitendo hicho ni cha kujidhalilisha. Tungebadili msimamo wetu wa awali, lakini tukakataa "zawadi" watani zetu kama Kenya wasingetucheka kama inavyotokea sasa hivi.
..Sikutegemea tuboronge namna hii huku Wizara ya Mambo ya Nje ikiongozwa na mtu mwenye uzoefu kama Balozi Dr.Mahiga.
NB.
..hata siasa zetu za ndani nazo zimechukua muelekeo mbaya.
..CCM ya miaka hii inafanana na KANU ya enzi za Mzee TOROITICH ARAP MOI.
Mlichokipigania mmekipata, nendeni mkanywe chai na Bw. Trump. Mmetia kila hila mpaka mmefanikiwa, mara kufunga ofisi, mara kuzima simu ilimradi msipige kura, khaa.Labda akina Mwanzi1 watakuelewa maana imetoka kwa Mtanzania.