Maskini wa akili buana πππ kila sehemu wanaleta uadui. Akili ya muafrika hata ukimbeba mgongoni atasema ulikuwa unamtembeza haraka, ulikuwa unanuka kwapa, atakutukana kila aina ya tusi. πππKwenye page ya Instagram ya miss world Baada tu ya kupost picha ya pamoja akiwa na Rais Samia huko visiwani na hizi ni baadhi tu ya comment alizoshushiwa mlimbwende huyo.
Nadhani akitafuta tafsiri sahihi ya comments hizo atajilaumu sana kuja Tz.
My Take; Uongozi ni kukubalika Kwa wale unaowaongoza,ukiona wengi wanakupinga ni wazi kuwa siyo tu huwenda umeshindwa kuwaongoza watakavyo Bali hawaielewi model ya Uongozi wako so inabidi utumie Busara za kiuongozi tu kuondoka kwenye hiyo nafasi Ili watu wachague mtu wanayeona anafaa kuwaongoza.
Mzalendo wa kweli atatanguliza maslahi mapana ya Taifa na hatosubiri mambo yaharibike sana.
Hii ni asili ya binadam wote awe Afrika awe ulaya, sema shida umakaririshwaMaskini wa akili buana πππ kila sehemu wanaleta uadui. Akili ya muafrika hata ukimbeba mgongoni atasema ulikuwa unamtembeza haraka, ulikuwa unanuka kwapa, atakutukana kila aina ya tusi. πππ
Wapuuzi tu...Kwenye page ya Instagram ya miss world Baada tu ya kupost picha ya pamoja akiwa na Rais Samia huko visiwani na hizi ni baadhi tu ya comment alizoshushiwa mlimbwende huyo.
Nadhani akitafuta tafsiri sahihi ya comments hizo atajilaumu sana kuja Tz.
My Take; Uongozi ni kukubalika Kwa wale unaowaongoza,ukiona wengi wanakupinga ni wazi kuwa siyo tu huwenda umeshindwa kuwaongoza watakavyo Bali hawaielewi model ya Uongozi wako so inabidi utumie Busara za kiuongozi tu kuondoka kwenye hiyo nafasi Ili watu wachague mtu wanayeona anafaa kuwaongoza.
Mzalendo wa kweli atatanguliza maslahi mapana ya Taifa na hatosubiri mambo yaharibike sana.
Yaani wapiga kura wangekuwa ni nyie wa Jf, Samia asingetoboa. But uzuri ni kwamba mnanogesha tu mchakato na nyie kujipatia vijiposho vyenu maisha yasonge basi!Kwenye page ya Instagram ya miss world Baada tu ya kupost picha ya pamoja akiwa na Rais Samia huko visiwani na hizi ni baadhi tu ya comment alizoshushiwa mlimbwende huyo.
Nadhani akitafuta tafsiri sahihi ya comments hizo atajilaumu sana kuja Tz.
My Take; Uongozi ni kukubalika Kwa wale unaowaongoza,ukiona wengi wanakupinga ni wazi kuwa siyo tu huwenda umeshindwa kuwaongoza watakavyo Bali hawaielewi model ya Uongozi wako so inabidi utumie Busara za kiuongozi tu kuondoka kwenye hiyo nafasi Ili watu wachague mtu wanayeona anafaa kuwaongoza.
Mzalendo wa kweli atatanguliza maslahi mapana ya Taifa na hatosubiri mambo yaharibike sana.
Tutabakia wote, unaenda ugenini badala wafurahie ujio wako wanakujibu "as Tanzanian's we don't need you again"π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£
Bongo sihami π
Kwani huyo aliye andika hiyo comment ndio anawakilisha watanzania wote?Tutabakia wote, unaenda ugenini badala wafurahie ujio wako wanakujibu "as Tanzanian's we don't need you again"π€£π€£π€£π€£
Sawa Tajiri wa akili,tutoe hapa tulipo ewe tajiri etuMaskini wa akili buana πππ kila sehemu wanaleta uadui. Akili ya muafrika hata ukimbeba mgongoni atasema ulikuwa unamtembeza haraka, ulikuwa unanuka kwapa, atakutukana kila aina ya tusi. πππ