Kwenye page ya Instagram ya miss world Baada tu ya kupost picha ya pamoja akiwa na Rais Samia huko visiwani na hizi ni baadhi tu ya comment alizoshushiwa mlimbwende huyo.
Nadhani akitafuta tafsiri sahihi ya comments hizo atajilaumu sana kuja Tz.
My Take; Uongozi ni kukubalika Kwa wale unaowaongoza,ukiona wengi wanakupinga ni wazi kuwa siyo tu huwenda umeshindwa kuwaongoza watakavyo Bali hawaielewi model ya Uongozi wako so inabidi utumie Busara za kiuongozi tu kuondoka kwenye hiyo nafasi Ili watu wachague mtu wanayeona anafaa kuwaongoza.
Mzalendo wa kweli atatanguliza maslahi mapana ya Taifa na hatosubiri mpaka mambo yaharibike sana.