Umeandika nini wewe ngurunda?We nenda kaharishe huo uvundo. Hiyo ni misukule, na mtu moja money hunter na comments 1000, na bado ID zingine ndiyo watu? Hiyo moja, pili kwa taarifa yako walioko kwenye hiyo mitandao ni 5% tu na almost wote siyo wapiga kura. Lingine watu walioko ktk hii mitandao ni watu wa aina yake hawako ktk uhalisia mitaani. Those are just artificial human beings. Huku mitaani kwa wapiga kura halisi palipo na binadamu halisi hawajui ht hiyo habari ya Rais kukutana na miss word 2025. Hii jamii ya mitandaoni itabaki mitandaoni haipo huku site.
Duh!!!Kwenye page ya Instagram ya miss world Baada tu ya kupost picha ya pamoja akiwa na Rais Samia huko visiwani na hizi ni baadhi tu ya comment alizoshushiwa mlimbwende huyo.
Nadhani akitafuta tafsiri sahihi ya comments hizo atajilaumu sana kuja Tz.
My Take; Uongozi ni kukubalika Kwa wale unaowaongoza,ukiona wengi wanakupinga ni wazi kuwa siyo tu huwenda umeshindwa kuwaongoza watakavyo Bali hawaielewi model ya Uongozi wako so inabidi utumie Busara za kiuongozi tu kuondoka kwenye hiyo nafasi Ili watu wachague mtu wanayeona anafaa kuwaongoza.
Mzalendo wa kweli atatanguliza maslahi mapana ya Taifa na hatosubiri mpaka mambo yaharibike sana.
View attachment 3412763View attachment 3412767View attachment 3412769View attachment 3412771View attachment 3412772View attachment 3412773View attachment 3412774View attachment 3412775View attachment 3412776