Watanzania wamechoka, usisubiri mambo yaharibike sana

Watanzania wamechoka, usisubiri mambo yaharibike sana

Kaka HIYO ni hatua ya kwanza. WATU wakichoka zaidi ni kuingia barabarani nawaona WATZ WENGI tukipotezA maisha maana hatuta KUWA na cha kupoteza. Mama alianza VIZURI YANI NILITAMANI akae Miaka mia ILA SIJUI nani alimuongeza KWENYE washauri wake masikkni.alimpotosha kilichopo NIKUTUMIa mabavu. NDO Aende MJINI.
Hawa tunawaita keyboard warriors lakini ipo siku tutawaita majina ya kishujaa... period
 
Yaani wapiga kura wangekuwa ni nyie wa Jf, Samia asingetoboa. But uzuri ni kwamba mnanogesha tu mchakato na nyie kujipatia vijiposho vyenu maisha yasonge basi!
Upeo wako umeishia hapa JF?
 
Kilicho baki tujue viongozi matapeli na watoto wao wanakaa nyumba zipi ili kikinuka tukamalize mchezo mapema. Au nasema uongo ndugu zangu?
Hawa tunawaita keyboard warriors lakini ipo siku tutawaita majina ya kishujaa... period ✌️
 
Kwani huyo aliye andika hiyo comment ndio anawakilisha watanzania wote?
Hawa celebrities hua wanakutana na kila aina ya matusi na kejeli kwenye page zao,so kwao hilo sio jambo jipya,wanajua kila nchi hua ina wapinzani na ina Haters.
Tanzania inajulikana Ni kisiwa cha Amani,akikutana na comment za hovyo zenye mlengo wa kisiasa anaweza kubadili mindset!!
 
Ni sawa lakini siyo kwa comment kama hizo. 90% zina lengo moja hapo lazima taa nyekundu iwake kama una akili timamu labda tu uamue kukaza fuvu.
 
Amini nakwambia odinga aliyaendesha maanadamano Kenya lakini imefika hatua ILI maanadamano yaanze SIO lazima ye aseme na hata akizuia hawamsikilizi

Bro Alex on da beats
Sasa kwanini tufike kote huko kisa kakikundi ka watu Fulani tu wenye interest zao binafsi
 
Tanzania inajulikana Ni kisiwa cha Amani,akikutana na comment za hovyo zenye mlengo wa kisiasa anaweza kubadili mindset!!
Mitandaoni kuna watu wa aina mbalimbali na kutoka nchi mbalimbali,
Hata haters wake waliopo nchi zingine wanaweza pia kujifanya ni wabongo na wanamkataa,
Celebrities hua hawachukulii too serious comments za haters,kwanza wala hua hawasomi comments zote,

Ukiendeshwa na comments za haters mitandaoni,basi hutaweza kufanya jambo lolote lile,
Hata wewe huenda pia unao haters,wengine unawajua na wengine huwajui.
 
Back
Top Bottom